askofu bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Benson Bagonza: Fikiri mpaka utoke jasho; Usihukumu na Usibariki

    Habari za muda huu wana jf FIKIRI MPAKA UTOKE JASHO: Usihukumu na Usibariki. 1. Ukiona makatibu wenezi wa Upinzani wanapita nyumba kwa nyumba kukusanya kadi za wapiga kura na namba za NIDA wakati chama tawala kiko kimya ujue wapinzani wanataka kupiga kura kabla ya siku ya kupiga kura. Penye...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Anaripoti Askofu Bagonza:“Gari la Mchungaji Wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Lachomwa Moto

    Wapendwa Great Thinkers. Nchi yetu inapitia kipindi kigumu sana. Nimewawekea taarifa ya video hapa ili mpate taarifa kamili. =================== Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Usiku wa kuamkia leo, tarehe 5/9/2025 watu “wanaojulikana”...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nipeni sababu, kwa nini Askofu Bagonza hajagombea hata Udiwani?

    Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati. Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule. Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime. Askofu Bagonza kwa nini...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Uchaguzi umekwisha, tuonane mezani

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema hali ya sasa ya kisiasa nchini, baada ya kuenguliwa kwa Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina, inathibitisha hitaji kubwa la wadau wa siasa kurudi mezani kujadiliana. Akizungumza...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Mungu akimpendeza atatenda tena

    Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao. Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka TAFAKURI ya kina. Askofu Bagonza Kaandika hivi: "Wamesahau Mungu wetu haongeki na hapokei maelekezo. Kwake...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Wote tuko njiapanda, Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reforms?

    Wakuu, nawasogezea wino mzito wa Askofu Dkt. Benson Bagonza alioutumia kuwasilisha fikra tunduizi kupitia ukurasa wake Facebook === WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani? Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Matajiri na wageni kuchangia CCM isiwe taabu. Mshikamano wa maskini usiwe nongwa wakati mshikamano wa matajiri umeruhusiwa

    Anaandika Askofu Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook: HEKIMA, AKILI na Ujanja/Hila. Leo 17/8/2025, KKKT imetafakari juu ya kuongozwa na HEKIMA ya Mungu. Mtume Paulo anasema, “Hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza amerudi tena. Sasa hivi anauliza "Mahakama imetupindua tuishtaki wapi?"

    Wakuu, Kuna haja ya kumlinda Askofu Bagonza kwa wivu mkubwa sana. Jana kufuatia mwenendo wa Kesi ya Lissu, Askofu Bagonza ameshusha waraka mwingine kupitia ukurasa wake wa Facebook. Ameandika yafuatayo: MAHAKAMA “IMETUPINDUA”: Tuishtaki wapi? Bila kuathiri mwenendo wowote wa kesi...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Gala ya CCM imegalagala kwa mafanikio. Tone tone ya “wahaini” iachwe ili itoneshe fikra za mshikamano wa akina “PANGU PAKAVU”

    Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook. HII SIYO GALA NI KUGALAGALA Nawapongeza CCM kwa dinner gala ya kuchangisha fedha za kampeini. Hatujaambiwa zimepatikana ngapi mpaka sasa, lakini matokeo ya awali yanaonyesha ushindi. Tuombe mtangazaji...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mamlaka yanajaza kiburi

  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: MKEKA WA CCM, Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook. ==== MKEKA WA CCM: Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini. CCM ni kama Marekani. Uchaguzi wake unawala macho hata wasiohusika. Leo mkeka umeshangaza watu. Mimi nimejikaza na kufanikiwa kutafakari haya: 1. Waliokatwa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwenye siasa ambako hakuna ITHIBATI, wenye elimu wamehamishia magodoro bungeni; wasio na elimu ndio wanachangia kila hoja

    Anaandika Askofu Benson Bagonza wa KKKT Karagwe, kwenye ukurasa wake wa Facebook. ==== FUNGA MDOMO, KALAMU, ROHO… halafu? Leo tumeamka na taarifa za kufungiwa kwa baadhi ya waandishi wa habari kwa sababu Bodi ya ITHIBATI imewatema. Eti hawana vyeti. Jamii yetu ina viroja: 1. Wenye vyeti...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Kuna watu wanaua wenzao kwa kisingizio cha kulinda taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki halafu litawasahau

    Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza anasema "wapo wanaowaua wenzao kwa kisingizio cha kulitetea taifa, ndugu hao watakufa na taifa litabaki alafu litawasahau" :
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Jumapili na Baba Askofu Bagonza

    🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi.
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Kiongozi siyo tu awavumilie wakosoaji na watukanaji, bali pia awazuie wanaompenda na kumtetea au kujibu hoja za wanaokosoa

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kuypitia ukurasa wake wa Facebbok ==== Uimara wa nchi hautokani na wananchi kutokosoa wala kutotukana. Uimara na mshikamano wa taifa hutokana na wanaokosolewa au kutukanwa; kuwa na ngozi ngumu na ustahimilivu. Kiongozi siyo tu...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wafalme na Watawala wabaya ili wafanye watakavyo, huanza kwa kuchafua hekalu

    Askofu Bagonza akihubiri katika Ibada ya kuweka Wakfu Vifaa na Alama za Kanisa zitakazotumiwa na Askofu Mteule wa Dayosisi ya Mwanga, amesema. Wafalme wabaya na watawala wabaya ili wafanikiwe, huwa wanaanza kuchafua hekalu. Hekalu likishashachafuka na kudhoofika, unabii hukoma, na wafalme...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda

    "Ulevi wa madaraka huondoa uvumilivu wa kusikiliza yale usiyoyapenda. Tukiikaribisha serikali kutuamulia nani ni nabii wa kweli na nani ni nabii wa uongo tutajikuta tunalazimika kupeleka nakala za mahubiri yetu kwa viongozi wa vitongoji siku ya ijumaa kabla ya jumapili ili watukubalie kama...
Back
Top Bottom