askofu bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ni Uongo mtu kuchaguliwa kwa HILA akatawala kwa HAKI

    Ni katika Salamu za Pasaka za mwaka huu wa 2026 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema kwamba kwa sasa vijana hawana cha kujifunza kutoka kwa viongozi wao. Anahoji: Wajifunze Uongo? Wizi? Rushwa? , kuteka watu, ubabe...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Asiyeutaka Urais CCM hajazaliwa

    ASIYEUTAKA URAIS CCM HAJAZALIWA! Wakristo tumo kwenye juma takatifu. Tunaalikwa kutohukumiana katika habari ya vyakula na vinywaji (Wakolosai 2: 16-17). Ndani ya CCM tusihukumiane kwa habari ya kuutaka urais au kutoutaka. Urais ni sehemu ya CCM na CCM ni sehemu ya urais. Asiyeutaka urais CCM...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza (PhD) aipongeza na kuishauri Jamhuri

    NAIPONGEZA JAMHURI na KUISHAURI Wale mnaopenda kuwapopoa kwa mawe wale msiokubaliana nao, nawaomba mnipopoe. Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili “Mtundu” wa Taifa, Tundu Lisu, imeamua kukata rufaa kwa kesi ambayo haijahukumiwa au haijafika mwisho. Wamejuaje kuwa wameshindwa na kuamua...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Chama hufa kikianza kufikiri hakitakufa. Kama kimeanza. Wanachama waandae rambirambi

    VILIVYOUMBWA HAVINA U-milele! Nimetoka kanisani. Watu walifunga ndoa nyingi jana. Leo wamekuja wachache. Nimekuta Gen Z Masalia wamejaza simu yangu kwa maswali yaliyoibuliwa na Gen Z mwenzao anayedai kuna chama kitaishi milele au mpaka mwisho wa dunia. Wanataka kujua nina maoni gani? Nasema...
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wasemaji wengi wanasababisha wakosoaji wengi

    DHAHABU: Wasemaji Wengi Wanasababisha Wakosoaji Wengi. Tabia ya kufichaficha mambo, inasababisha serikali kujikanyaga na kutoa matamko yanayokinzana. “Matamko-mgongano” yakiwa mengi, yanasababisha wasemaji na wazushi wengi kama ilivyo sasa. Ebu ona hili la kuuza RIZEVU/NYANTAKOLWAKOLWA yetu ya...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza kuhusu kuuzwa kwa Akiba ya Dhahabu: Tusile Mbegu kama mvua haijanyesha!

    Anaadika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. HAZINA ILIPO NDIPO MOYO WAKO ULIPO: Tunaiuzaje? (Mathayo 6:21). Wajaluo wana kitu kinaitwa “NYANTAKOLWAKOLWA”, yaani “akiba au hazina maalum isiyoguswa guswa bila utaratibu”. 1. Hazina hii hutunzwa mahali pa...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Anaandika Askofu Bagonza: Nadhani Tunajichanganya? Au ni Mimi Najichanganya?!

    ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?! 1. SAFARI YA VATICAN Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Upofu na ukiziwi ukimpata mtawala, mahabusu na magereza hugeuka vyuo vikuu vya mabadiliko katika nchi

    Ameandika Askofu Bagonza na moja ya nukuu nzuri sana kwa watawala uwafikie hiyo ============== Upofu na ukiziwi ukimpata mtawala, mahabusu na magereza hugeuka vyuo vikuu vya mabadiliko katika nchi Hapajawahi kutokea mfungwa wa kisiasa aliyerudi toka gerezani akamnyenyekea mtawala aliyemuweka...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza :Kenani Kihongosi Ana Hoja Lakini Kaishika Kichwa Chini Miguu Juu!

    Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza. Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Rais Samia kabadilisha mwandishi wa hotuba?!

    Nimemsikia Rais Samia Suluhu akiwahutubia mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini. Hotuba yake imepiga hatua moja mbele. Rais Samia “ameishavua nguo lakini anaogopa kuoga maji”. Ama maji yana moto sana au ni baridi sana. NAMPONGEZA mwandishi wa hotuba. NAMPONGEZA Rais kwa kuwa mwaminifu wa...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwa kuwa Rais anakerwa na kukosekana kwa haki, hata kama hajui kuwa kuna watu wanashikiliwa, ajifanye amejua ili waachiwe

    Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook anasema: RAIS APOKEE NYONGEZA YA KERO Mh. Rais Samia amewatubia Majaji na Mahakimu. Ametumia fursa hiyo kueleza kero zake juu ya mwenendo wa mahakama na utendaji wa Majaji na Mahakimu. Ametaja: Ubambikiaji wa...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wenye maoni tofauti wanajiona salama kuwa nje ya nchi kuliko nchini

    Haya ni maoni ya Askofu Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu Matukio kadhaa ya uvunjifu wa Haki za Binadamu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Adai Uhuru wa Demokrasia kuwa Mwarobaini wa tatizo hilo.
  13. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa . "Ni vema tukafanya haraka kulitibu taifa kabla halijajitambua kama linaumwa, sasa linaumwa lakini halijui kama linaumwa, siku...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Walijua watafanya makosa ndiyo waseme maridhiano

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa wahusika walijua mapema kuwa watatenda makosa, kwa lengo la baadaye kusema tufanye maridhiano, na kwamba walichokikusudia tayari kimeshatekelezwa. Kwa mujibu wake...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Nchi hii hakuna mwenye amani, sio waliochaguliwa au waliopiga kura

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hapa nchini Tanzania hakuna mwenye amani; si waliochaguliwa, si waliopiga kura, si waliogoma kwenda kupiga kura, wala wasio na upande wowote. Amesema hata waliokuwa...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Nalazimika kuwapongeza Polisi kwa kutozuia maandamano ya "Wakatoliki", basi wafute kesi ya Mwandambo

    Anaandika Askofu Bagonza mtandaoni........... POLISI NA “WAKATOLIKI" 1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza hisia zao kwa Balozi wa Papa hapa nchini. 2. Nachukulia uvumilivu wao kama ishara ya kuacha...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Yesu alimwita Herode kuwa Mbweha. Unang’aka kuitwa Lofa?

    Wakuu Askofu Kalikawe Bagoza anasema; Yesu alimwita Herode kuwa ni Mbweha (Luka 13:32). Unang'ka kuitwa Lofa? Mimi nimeitwa fala nikanenepa 🤣🤣
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Hivi sasa KKKT haisemwi vizuri. Hakuna dhambi tunayoikemea ndani ya kanisa ambayo hatuitendi wenyewe

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema hivi sasa KKKT haisemwi vizuri kutokana na kupoteza ushuhuda wa kimatengenezo. Amesema hakuna dhambi wanaikemea ambayo haitendwi ndani ya kanisa hilo, akihoji kama haipo itajwe. Mwananchi...
  19. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Kuazimisha tukiwa tuko Chumbani huku mtaani wakiwa wamemwagwa Askari bado hatuko huru

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema “Kama tusivyotaka mataifa mengine kutuamulia mambo yetu, ndivyo tusivyopenda watumishi wetu (viongozi) kuupunguza uhuru wetu kwa kisingizio chochote”. Bagonza amebainisha hayo...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Utesaji wa vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi unalivunjia heshima taifa letu

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ Utesaji unalivunjia heshima taifa letu. Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi, vinatumia mateso na udhalilishaji (torture) ili kuwalazimisha watuhumiwa waseme...
Back
Top Bottom