askofu bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Nani aliruhusu wauawe? Hata aliyehukumiwa kifo na mahakama ni mpaka mama aweke sahihi

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza; NANI KAMA MAMA? Wekeni Mawe Chini! Najua hamtaki niseme NANI KAMA MAMA? Simaanishi huyo Mama mnayedhani nataka kumzungumzia. Basi wekeni mawe yenu chini ili niwasimulie: 1. Mama mmoja, Mjane, mwenye mtoto pekee na wa kiume...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Hili la Askari wa kukodi (Mercenaries) lisikaliwe kimya

    Ameandika Askofu Bagonza Kuna mambo ukiyakalia kimya yanaisha yenyewe kwa sababu hayakusaidii wala hayakuumizi. Kuna mambo ukiyakalia kimya hayaondoki yenyewe na ni ya hatari. Hili la Askari wa Kukodi (Mamluki au Mercenaries), LISIKALIWE kimya. Kama ni kweli wapo, WAONDOLEWE mara moja kimya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Bagonza: Tuombe Mungu atuepushe na amani inayoletwa na Bunduki, Virungu na mabomu

    Askofu wa Dayosisi ya kKKT Karagwe, Askofu Bagonza akizungumza katika misa ya uzinduzi wa Sharika mpya katika Jimbo la Ihembe amewataka waaamini kuendelea kumuomba Mungu katika uchaguzi huu ili kupata amani itakayoletwa na haki na si virungu, mabomu wala bunduki. "Tumuombe Mungu ili haki ilete...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bangoza: Kuna Watu Wana Leseni Ya Kuua license to kill katika nchi yetu Tanzania

    Askofu Benson K. Bagonza amesema nchi hii imegawanyika katika itikadi za kisiasa na kuwa hali ya nchi imefika pabaya maana tumeweza kushinda changamoto ya ukabila na udini ila hili la itikadi za kisiasa tumegawanyika vibaya maana kuna watu wana leseni ya kuua watu, kukata miguu, kupoteza watu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Tuache kutekana wala kukamatana kwa tofauti za maoni, Maoni siyo kura turidhiane kwanza

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Facebook Askofu Bagonza ameandika haya: UCHAGUZI SI “Tumbo la Kuhara”: TURIDHIANE KWANZA. Sikati tamaa kuleta wito wa MARIDHIANO katika Taifa letu kabla ya uchaguzi mkuu mwezi ujao. Uchaguzi Mkuu siyo “tumbo la kuhara” kutufanya tuharakishe bila kujali...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tafakuri ya Askofu Bagonza kwa yanayoendelea CHADEMA, CCM na Tume huru ya Uchaguzi Tanzania

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook Askofu Bagonza ameandika tafakuri hii: FIKIRI MPAKA UTOKE JASHO: Usihukumu na Usibariki. 1. Ukiona makatibu wenezi wa Upinzani wanapita nyumba kwa nyumba kukusanya kadi za wapiga kura na namba za NIDA wakati chama tawala kiko kimya ujue wapinzani wanataka...
  7. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Benson Bagonza: Fikiri mpaka utoke jasho; Usihukumu na Usibariki

    Habari za muda huu wana jf FIKIRI MPAKA UTOKE JASHO: Usihukumu na Usibariki. 1. Ukiona makatibu wenezi wa Upinzani wanapita nyumba kwa nyumba kukusanya kadi za wapiga kura na namba za NIDA wakati chama tawala kiko kimya ujue wapinzani wanataka kupiga kura kabla ya siku ya kupiga kura. Penye...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Anaripoti Askofu Bagonza:“Gari la Mchungaji Wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Lachomwa Moto

    Wapendwa Great Thinkers. Nchi yetu inapitia kipindi kigumu sana. Nimewawekea taarifa ya video hapa ili mpate taarifa kamili. =================== Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Usiku wa kuamkia leo, tarehe 5/9/2025 watu “wanaojulikana”...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nipeni sababu, kwa nini Askofu Bagonza hajagombea hata Udiwani?

    Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati. Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule. Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime. Askofu Bagonza kwa nini...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Uchaguzi umekwisha, tuonane mezani

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema hali ya sasa ya kisiasa nchini, baada ya kuenguliwa kwa Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina, inathibitisha hitaji kubwa la wadau wa siasa kurudi mezani kujadiliana. Akizungumza...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Namwogopa mtu ambaye haogopi hali iliyopo nchini kwa sasa

  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Mungu akimpendeza atatenda tena

    Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao. Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka TAFAKURI ya kina. Askofu Bagonza Kaandika hivi: "Wamesahau Mungu wetu haongeki na hapokei maelekezo. Kwake...
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Wote tuko njiapanda, Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reforms?

    Wakuu, nawasogezea wino mzito wa Askofu Dkt. Benson Bagonza alioutumia kuwasilisha fikra tunduizi kupitia ukurasa wake Facebook === WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani? Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Matajiri na wageni kuchangia CCM isiwe taabu. Mshikamano wa maskini usiwe nongwa wakati mshikamano wa matajiri umeruhusiwa

    Anaandika Askofu Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook: HEKIMA, AKILI na Ujanja/Hila. Leo 17/8/2025, KKKT imetafakari juu ya kuongozwa na HEKIMA ya Mungu. Mtume Paulo anasema, “Hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza amerudi tena. Sasa hivi anauliza "Mahakama imetupindua tuishtaki wapi?"

    Wakuu, Kuna haja ya kumlinda Askofu Bagonza kwa wivu mkubwa sana. Jana kufuatia mwenendo wa Kesi ya Lissu, Askofu Bagonza ameshusha waraka mwingine kupitia ukurasa wake wa Facebook. Ameandika yafuatayo: MAHAKAMA “IMETUPINDUA”: Tuishtaki wapi? Bila kuathiri mwenendo wowote wa kesi...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Gala ya CCM imegalagala kwa mafanikio. Tone tone ya “wahaini” iachwe ili itoneshe fikra za mshikamano wa akina “PANGU PAKAVU”

    Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook. HII SIYO GALA NI KUGALAGALA Nawapongeza CCM kwa dinner gala ya kuchangisha fedha za kampeini. Hatujaambiwa zimepatikana ngapi mpaka sasa, lakini matokeo ya awali yanaonyesha ushindi. Tuombe mtangazaji...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mamlaka yanajaza kiburi

  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: MKEKA WA CCM, Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook. ==== MKEKA WA CCM: Mashaka ni Mengi Kuliko Matumaini. CCM ni kama Marekani. Uchaguzi wake unawala macho hata wasiohusika. Leo mkeka umeshangaza watu. Mimi nimejikaza na kufanikiwa kutafakari haya: 1. Waliokatwa...
Back
Top Bottom