askofu bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Askofu Bagonza kuongoza mapokezi ya Lema KIA

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe anatarajia kuongoza mapokezi na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema, Machi Mosi mwaka huu, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na viongozi kadhaa wa dini. Lema aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kuanzia mwaka 2010 hadi...
  2. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ajiepushe na upindifu wa kimantiki unaoweza kuzaa taharuki ya kijamii bila uhalali

    Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni vidole vya Mlinzi wa Lissu vikionyesha kidole cha pili kikiwa kifupi kuliko kidole cha nne na duara B...
  3. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza na Askofu Mwaipopo, msaidieni mwenzenu Dkt. Mwaikali kwa kumpa uchungaji Dayosisi zenu

    Kama unafiki wa kidini upo basi kuumbuliwa ni sasa. Dkt Mwaikali aliyekuwa Askofu Dayosisi ya Konde, kibarua kimeota nyasi. Sasa Maaskofu waliokuwa wakimpigia chapuo la nguvu ni Benson Bagonza wa Dayosisi ya Karagwe na Ambele Mwaipopo wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika Sumbwanga. Hawa Maaskofu...
  4. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza tafuta miafaka ndani ya KKKT kabla ya kuingilia masuala ya siasa

    Inashangaza kuona kiongozi wa dini ambaye ni muasisi wa mgogoro uliopo ndani ya kanisa la KKKT katika jimbo la Konde. Ambapo ya baada Askofu Dk Edward Mwaikali wa Jimbo la Konde kuondolewa katika nafasi yake na uongozi wa kanisa hilo kutokana na sababu za kiutendaji, Askofu Bagonza aliifanya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mbowe ametoka Gerezani lakini hayupo huru

    Na Baba Askofu Bagonza Kalikawe HAYUKO HURU; YUKO NJE YA GEREZA Niwakumbushe? Mwezi Februari 1990, Nelson Mandela akatolewa jela. Akaja Tanzania kushukuru. Tukajipanga na mabango na kushangilia MANDELA IS FREE! Akasimama Kambarage, akasema MANDELA IS NOT FREE, HE IS OUT OF PRISON. Kwa nini...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wamenikwaza sana! Rais Samia na Mamlaka zake zisikubali huo mtego

    Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu. Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa Watanzania wengine wengi ni hatua ya Viongozi wa Dini kuomba Rais Samia na Mamlaka zake zitumie busara...
  7. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais. Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na Rais, na wasaidizi wa rais wanaweza kuwa wamekosea kurusha picha za Lissu kukaguliwa, kusisitiza...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza atoa somo la uraia, uvumilivu wa kusikiliza hoja kinzani ndiyo siasa yenyewe

    Mgongano wa mawazo ndiyo afya, nchi inapitia ktk tetemeko la kisiasa baada ya kifo cha Rais aliyekuwa anahudumu Askofu Bagonza atoa mawazo yake kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na sayansi ya siasa. Spika au rais wote wana huru wa kutoa mawazo yao wakiwa katika nafsi iliyo nje ya taasisi ya...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge

    MAMA TUVUSHE, TUKUVUSHE Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge. Bila ushabiki wala uzembe, tuangalie yafuatayo kwa makini: 1. Ukubwa wa CCM si mtaji, ni hatari. Bila upinzani imara, CCM ni sawa na chatu aliyefugwa ndani chungu cha mfinyanzi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tuna muhimili mmoja unaopakwa rangi

    Tuna mhimili mmoja. IKUBALIKE BILA MANUNGUNIKO. Asubuhi Wanaupaka rangi ya serikali. Mchana wanaubadili rangi unakuwa mahakama. Jioni unapakwa rangi ya bunge. Hakikisheni rangi imo ya kutosha kwenye makopo na wapakaji wawe sharp ili kuokoa muda. V Kuna kitu hakiko sawa.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza na kauli fikirishi na tata.

    "Kufafanua kauli si kubadili kauli" Hii imetokana na Spika Ndugai kumuomba msamaha Rais. Ndugai ameombaje msamaha ikiwa amesema waliosambaza wamepotosha. Je waliisambaza wameigiza sauti ya Ndugai?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wanaomshughulikia Mbowe ni sawa na waliomshughulikia Mandela (Makaburu)

    By Talanta Mhanga kupitia twitter: "Japokuwa Mbowe ni tofauti na Mandela, mbinu za kumshughulikia zikifanana na zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa; na waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja, si nguvu ya dola" -...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Msajili wa vyama Jaji Mutungi sio mtu sahihi kuandaa kikao cha wadau wa siasa Tanzania

    Fuatilia mahojiano hapo chini.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

    Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito: Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema: Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila...
  15. Mag3

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu

    Wahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!" Si ajabu nchi iliyojaaliwa maziwa na asali hivi leo ni nchi masikini. Je kuna haja ya kujiuliza tumefikaje huko kama Watanzania? Adui wa taifa hili ni moja tu...aliyehatamia madaraka toka uhuru! A fool and his money are soon...
  16. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Je, misamaha ya kodi za majengo imefutwa kwenye Shule za kata, Misikiti, Makanisa, Mochwari, Vyoo vya Umma n.k ?

  17. mshale21

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ahoji maswali 8 tozo za simu, majengo

    ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza ametoji maswali nane juu ya tozo za miamala ya simu na majengo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea). Tangu kuanza kwa tozo hizo, zimeibua mjadala kwa wananchi huku Serikali...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza katiba mpya na Ben Rabiu Saanane

    Askofu Bagonza ametweet kwakusema Kama unachefuliwa na wanaodai katiba mpya watakapokuja watakaomdai Ben Rabiu Saanane si ndio utatapika? Nini maoni yako.
  19. Torch

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Leadership is not about size, It's about knowledge and Wisdom

    KWA UCHACHE TU 1. Matatizo ya kisiasa hayatatuliwi kisheria. 2. Matatizo ya kisheria hayatatuliwi Kisiasa. 3. Suala la Katiba Mpya lina sheria na siasa. Mazungumzo yasiyo na hila ndani yake hayakwepeki. 4. Walipokuwa tayari hakuwa tayari. Atakapokuwa tayari hawatakuwa tayari. Mtu wa tatu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna watu wanasali Novena kumlilia Mungu leo siku ya tano

    Anaandika Askofu Bagonza Chanjo Mbowe ,Katiba mpya, Tozo za miamala na Rais Samia. Mambo haya 5 yameshikilia mustakabali wa nchi kwa sasa. Amani, haki, Maendeleo na ustawi vinatikiswa. Jiulize: 1. Kwa nini itumike nguvu na jitihada za ziada kuwaaminisha watu wakachanje wakati afya ni mali...
Back
Top Bottom