askofu bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza awajia juu Mwijaku, Makalla asema 'Mnaiunga mkono No Reform, No Election bila kujua'

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) JUZI KUFURU; Leo HIJJA au Utalii…halafu JINAI. Wanyambo na Wajaluo wana msemo usemao, “Give me a Break”. Wakisema hivyo wanamaanisha vituko vyako vimezidi, wape muda wapumzike kidogo. 1. Akatoka mmoja juzi. Kamlinganisha rais wetu na Mitume...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Sitaki kumwambia Mtu kajiandikishe, kama ana imani na Mfumo wetu wa Uchaguzi akajiandikishe, kama hana basi aache

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt Benson Bagonza anazungumzia mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Kila Mtu anatakiwa kujihoji kisha amuulize Mungu baada ya hapo atafanya maamuzi, Mwaka 2024 nilipogundua Watu...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson: Kwa wema au kwa ubaya, tusimsahau Magufuli

    Na Askofu Benson Kalikawe Bagonza KWA WEMA au KWA UBAYA, TUSIMSAHAU MAGUFULI Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo kilivyo...
  4. Bams

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kwa wema au ubaya, tusimsahau Magufuli

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook: Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo...
  5. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Malumbano, MJINGA, MWEREVU, na MSHAMBA 'No reform No election"

    MALUMBANO: MJINGA, MWEREVU, na MSHAMBA. MJINGA: No Reform, No Election. MWEREVU: Hatuna muda wa kufanya Reforms hizo. MJINGA: Tutakusaidia kuzuia uchaguzi ili upate muda wa Reforms. MSHAMBA: Kama una nguvu za kuzuia, zitumie kuzuia wizi wa kura. MJINGA: We mjinga vipi? Mbona unanukia wizi...
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tawala za Afrika na biashara ya nishati

    TAWALA ZA AFRIKA NA BIASHARA YA NISHATI Tutanunua umeme kutoka Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kaskazini. Mikoa hiyo ina barabara nzuri, nyama choma nyingi na watalii wengi lakini haina uhakika wa umeme. Kenya itatumika kama posta. Itapokea kifurushi toka Ethiopia na kukikabidhi Tanzania. Hakuna...
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Miaka mitano imepita lakini Dkt. Bashiru bado hana mpinzani

    MIAKA 5 IMEPITA LAKINI Dr. BASHIRU BADO HANA MPINZANI! Miaka 5 iliyopita, siku kama ya leo, Dr. Bashiru Ally, akiwa Katibu Mkuu wa CCM, alisema maneno mazito. Kwa maoni yangu, hayajajibiwa mpaka leo. Naheshimu kimya chake ambacho kina nguvu kuliko maneno yake. Ni juu yetu kudadavua uzito wa...
  8. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Salamu za Askofu Bagonza kwa Makalla na Wenzake, Sisi Tumeshazipokea. Mwenye Kusikia na Asikie.

    Salamu za Kwaresima toka kwa Baba Askofu Bagonza (PhD). DHAMIRI SAFI, DIRA YA TAIFA Tuongozwe na Katiba? Tuongozwe na Mtu? Tuongozwe na Dhamiri? Tuongozwe na Chama? Tuongozwe na Vyombo? Niliwahi kukumbusha: Kule kwa jirani, “Hawa walipaza sauti, Wale wakanyamaza. Lakini sasa, kila mwaka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura katika mfumo wetu wa uchaguzi ni kupoteza muda. Bila mageuzi ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  10. Mkunazi Njiwa

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mfano wa "REFORM" ya Rais Samia ni kama hivi anavyowahusisha "PPP" katika ujenzi wa barabara ya Kiberashi mpaka Singida(340kms)

    4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana. REFORM: Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee. Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Watu wanatekwa na kupotea kama sindano Nchini

    Askofu Bagonza aeleza namna 4R za Rais Samia Suluhu Hassan zilizotekwa na baadhi ya watu kwa kushindwa kuzifuata kama alivyokuwa akitaka Rais zifuatwe. Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza kanena

    Badala ya kupiga madongo na kuweka uchawa tubadilike kwa manufaa ya nchi
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza ataka walimu wasio na ajira (NETO) wasikilizwe na siyo kukamatwa na kutishwa

    Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Askofu Benson Bagonza achukizwa na kamata kamatwa inayofanywa na Jeshi la Polisi kwa Viongozi wa Walimu wasio na ajira ambao wamejitokeza kuikumbusha Serikali juu ya hatma yao ya haki ya kupata ajira ambayo wameisubiri kwa muda mrefu tangu walipo...
  14. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Wizi na ulaghai kwenye uchaguzi utabomoa jina na heshima ya nchi

    Tunaikaribia Nigeria. Mambo haya yanaathiri utambulisho wa taifa letu. Baadhi yetu tumefaidi matunda ya jina zuri la taifa letu ndani na nje ya mipaka. Jina hilo lilijengwa kwa gharama kubwa na waasisi wa taifa letu. Popote ulipojitambulisha ni Mtanzania, watu waliinama kwa heshima kubwa...
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Madai ya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi yasimilikiwe na chama chochote

    "Si dalili njema kuona vijana wengi wameanza kushabikia uongozi wa kibabe (Trump na Traore) huku wakibeza demokrasia. Na wengine wengi wanamkumbuka JPM na kutamani arudi. JPM alikuwa na mazuri yake lakini si katika eneo hili la demokrasia na utawala bora. Tushtuke na Tuamke. Madai ya mabadiliko...
  16. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Naogopa kuamini ahadi za uchaguzi za Rais Samia sababu hazina misingi ya kisheria na kikatiba

    Na Askofu Bagonza RAIS SAMIA HALAZIMIKI KUFUATA NJIA YA JPM KUHUSU CHAGUZI ZETU: Ndiyo. Rais Samia anatoka chama kile kile alichoongoza hayati JPM. Ndiyo. Rais Samia alikuwa Makamu wa JPM, lakini HALAZIMIKI kurithi misimamo ya JPM kuhusu chaguzi zetu na mahusiano mabaya na vyama vya upinzani...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza anaiponda CCM na wanasiasa wa siku hizi kupitia Sauti ya Ujerumani muda huu

    Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena Walio madarakani...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza alonga ushindi wa Lissu na "ushindi" wa Mbowe: Ninaandika kupongeza. Sina pole za kutoa.

    ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Juzi Kamati ya Uchaguzi wa CHADEMA ilimtangaza...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mbowe ameshinda kuliko alivyoshindwa. Tuzo ya Mo Ibrahim inamhusu

    Askofu Benson Bagonza anaandika... "Naandika kupongeza. Sina pole za kutoa. Nawapongeza Mwenyekiti (CHADEMA taifa) Tundu Lissu na Makamu wake, mtani wangu John Heche. Hata mimi siamini kama mmeshinda lakini sina pa kukata rufaa. Mwaka huu nina bahati sana. Makamu wote wa vyama vikubwa ni watani...
  20. B

    JamiiForums Tanzania ASKOFU BAGONZA - TUSIITAKE SERIKALI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU, LABDA PAWEPO JINAI

    WARSHA KUHUSU MAFUNDISHO POTOSHI Katika kongamano lililowaleta viongozi kadhaa wa dini mbalimbali Tanzania, baba Askofu Bagonza alichangia mada Bagonza ataja hatari SITA kuhusu Mafundisho potoshi. Wewe zako ni zipi? https://m.youtube.com/watch?v=ZGhFhp6v6WE Baba Askofu Bagonza amesema kuna...
Back
Top Bottom