asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Daktari: Mimba zinapoharibika, Asilimia 80 vyanzo vya kuharibika huwa havijulikani (sababu zinazotajwa huwa ni 20% tu)

    Tatizo la ujauzito kuharibika limekuwa likitokea kwa wingi miaka ya hivi karibuni hasa katika nchi zinazoendelea na zile zinazoendelea, utafiti wa kitaalamu ni kuwa asilimia 80 ya mimba zinazoharibika huwa hazijulikani sababu ya kuharibika kwake. Hivyo, zile sababu ambazo huwa zinatolewa na...
  2. Mafuta kwa Zanzibar bei nafuu, mishahara yapandishwa kwa asilimia 15. Zanzibar ni kama mkoa?

    Hali ndivyo ilivyo hapo.. Wana raisi wao na huku pia ni lazima (sio ombi) aidha awepo raisi au makamu wa raisi wa Zanzibar mwenye kitambulisho cha uraia wa Zenji. Achana na bei za mafuta kwa zanzibar kuwa 2600 huku kwetu yakiwa 3,300. Hii ya ongezeko la mihahara kwa asilimia 15.6 bado zanzibar...
  3. Mwaka wa 2021 Uchumi wa Kenya ulikuwa kwa asilimia 7.5

    Uchumi wa Kenya ulikuwa kwa 7.5% mwaka wa 2021. Hii ni asilimia kubwa sana ya ukuaji wa uchumi katika East and Central Afrika na ni mojawapo ya asilimia kubwa ya ukuaji wa uchumi duniani katika mwaka wa 2021. ========= Economy grows fastest in 11 years on easing Covid curbs THURSDAY MAY 05 2022...
  4. Kuna hekima kubwa yenye mantiki juu ya asilimia kubwa ya vijana kukosa pesa za ziada

    Ni vyema vijana tukashukuru mfumo wa maisha uliopo ambao sio rafiki kwa sisi vijana kumiliki pesa nyingi katika umri mdogo. Kama tunavyojua ujana una mambo mengi na pesa ni lugha ya dunia combination ya vitu hivi viwili yaani pesa na ujana matokeo yake kwa vijana wachache yaweza kuwa mazuri ila...
  5. Huyu Dada amewakilisha wanawake Asilimia 99

    Wakuu! Bila kupoteza muda
  6. Utafiti: Asilimia 10 ya Watanzania wana Kisukari

    Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, Dk. Omary Ubuguyu amebainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, zaidi ya milioni 5.7 (takribani asilimia 10) wanusumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari. Aliyasema hayo jijini Dodoma katika uzinduzi wa mpango wa kuzuia ulemavu wa kutoona unaoweza kusababishwa na...
  7. Utafiti Tanzania: Mimba milioni moja zisizotarajiwa utungwa kwa mwaka, 39% huharibiwa

    Licha ya sheria kukataza utoaji mimba, vitendo hivyo hufanyika na mara nyingi kwa njia zisizo salama. Pamoja na kwamba takwimu zinaonesha tatizo la vifo vya uzazi linapungua, bado kuna baadhi ya mambo yanachangia liendelee kuwepo ikiwemo suala la utoaji mimba usio salama ambao unachangia tatizo...
  8. Ripoti hii ya CAG asilimia kubwa ni ya enzi ya utawala wa Jiwe, ulijaa upigaji

    Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
  9. Elon Musk ofa kuinunua Twitter kwa asilimia 100 kwa dola bilioni 41. 39

    Elon Musk ametoa ofa ya kuinunua kampuni ya Twitter kwa dola 54.20 kwa kila hisa. Hii ni ongezeko la asilimia 38 tangu tarehe 1st April Twitter alipotangaza amenunua asilimia 9. Elon mwanzoni mwa wiki hii alikataa maombi ya kujiunga na bodi ya Twitter. Wataalamu alitafsiri kukataa kwa ilo ombi...
  10. M

    Asilimia 90 ya ngano inatoka nje, kwahiyo tunakulaga chapati za Urusi, wananunua wanapaki wanatuuzia

    Hivi Tanzania hatuwezi kulima ngano, maana tunanunua ngano nyingi sana nje, hizo feza zingebakia hapa. Ardhi ipo ya kutosha ni. Serikali tu kuweka mipango na kuwawezesha watu. Hizi pesa anazotumia bakharesa kununua ngano Urusi zingerudi kwa watanzania na nchi ingepiga hatua, nimeona watanzania...
  11. Ummy Mwalimu: 1.4% ya Watanzania bado wanajisaidia vichakani

    Waziri wa afya amesema kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 hadi 14 Desemba 2021. Ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 11, 2022 wakati akitaja mafanikio yaliyopatikana kupitia kampeni ya Nyumba ni Choo kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka mitano ya...
  12. T

    Jumanne Kishimba: Asilimia 90 ya wataalam wetu wanajua kusoma na kuandika ila hawana maarifa

    Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi. Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila...
  13. K

    Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  14. TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS . Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi.
  15. Uchumi wa dunia unatarajiwa kupungua kwa asilimia 2.6 kutokana na vita vya Ukraine

    Wachumi wa Umoja wa mataifa wanaonya kwamba matarajio ya ukuaji wa uchumi mwaka huu yanafifia kwa haraka kutokana na athari mbaya za vita nchini Ukraine. Shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa mataifa(UNCTAD) limeshusha sana makadirio ya awali yenye matumaini ya ukuaji wa uchumi wa dunia...
  16. Kwanini 90% hawafaidi hatua ya ujana?

    Ujana : nihatua ya ukuaji anayoipitia mtu baada ya kumaliza hatua ya utoto ili kuelekea utuuzima na uzeeni na hii hatua hutakiwa kuwa Makini na mtulivu wa fikra pamoja na akili nyingi kuliko hatua nyingine yoyote, na hii ndio hatua pekee ya utambulisho halisi wa mtu kifikra, kiutendaji na hata...
  17. Serikali: Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania ni asilimia 9.81

    Kauli za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo aina ya Sinovac dozi milioni moja kutoka Serikali ya Uturuki, leo Machi 23, 2022. "Kwa niaba ya Serikali chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaishukuru Serikali ya Uturuki kwa kupokea ufadhili...
  18. Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

    MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022: "Leo nazungumza na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza baada ya miezi saba na nusu ya kuwa...
  19. Asilimia 70 wauguzi Hospitali ya Amana ni wanawake

    Madaktari Bingwa 30 hutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa Amana Wilayani Ilala. Hayo yalisemwa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa Amana, Dkt.Bryson Kiwelu katika madhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambapo alishiriki siku hiyo na Watumishi wake Wanawake. Dkt.Bryson Kiwelu alisema...
  20. Dkt. Jabir Bakari: Asilimia 27 pekee ya Watanzania ndio wanamiliki Simu janja (Smartphone)

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabir Bakari amesema hadi takwimu za mwezi January mwaka huu ni Asilimia 27 pekee ya Watanzania ndio wanamiliki Simu janja (Smartphone) na kusema malengo ya Serikali ni kuhakikisha Watumiaji wa Smartphone wanafikia 100%, Dr. Jabir...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…