Ni utafiti binafsi.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Vijana wengi wataathirika na tabia ya ukaaji inayotokana na matatizo ya kisaikolojia.
Kutojiamini na msongo wa mawazo kunawaathiri vijana wengi hivyo utawaona wanavyotembea na zaidi ukaaji wao kwenye viti, sofa, kwenye magari, madaladala na...