asilimia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matatu Association yatangaza ongezeko la nauli kwa asilimia 10 kuanzia Jumatatu, Oktoba 19, 2026

    Chama cha Wamiliki wa Matatu nchini (Matatu Owners Association) kimetangaza ongezeko la nauli za usafiri wa umma kwa asilimia 10 kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta, hatua inayotarajiwa kuongeza gharama za usafiri kwa Wakenya. Rais wa chama hicho, Albert Karakacha, alisema uamuzi huo umefikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania NSSF wanatoa riba ya kiasi au asilimia ngapi wanaporudisha pesa yangu baada ya kukaa nayo?

    Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwaza dunia imekosewa au haijakamilika ujue tayari umeyabananga. Dunia iko perfect asilimia mia moja.

    UKIWAZA DUNIA IMEKOSEWA AU HAIJAKAMILIKA UJUE TAYARI UMEYABANANGA. DUNIA IKO PERFECT ASILIMIA MIA MOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ukishasikia mtu anakuambia dunia hii haijakamilika. Imekosewa. Au sehemu sahihi ujue tayari keshaingizwa kingi. Yupo ndani ya mifumo ya wajanja na wahuni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Agizo la wafanyabiasha wadogo baadhi ya maeneo limetekelezwa kwa asilimia 50%

    Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza nzuri wamechonga. Ukitazama ni ubunifu mzuri Swali langu lengo la kujenga Barabara / Road reserve...
  5. JamiiForums Tanzania Hadi sasa maishani mwako degree(s) yako imechangia mafanikio yako kwa asilimia ngapi?

    “Change is the end result of all true learning.” — Leo Buscaglia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya asilimia 90 ya Wanandoa sio wenza wa ndoto zao.

    Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline. Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa...
  7. JamiiForums Tanzania MRADI WA MAJI MTO RUVUMA WAFIKIA ASILIMIA 97.6 YA UTEKELEZAJI

    Mradi wa Maji Mto Ruvuma wenye thamani ya Shilingi bilioni 38.15 umefikia asilimia 97.6 ya utekelezaji na tayari umeanza kutoa huduma kwa wananchi tangu Agosti 2026. Mradi huo utazalisha lita milioni 5 za maji, na unatarajiwa kunufaisha wakazi 82,000, huku ukiongeza upatikanaji wa maji kutoka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Asilimia 99.5 ya watu duniani ni machawa

    Hii ni kwa sababu uchawa ni kusifia kitu au mtu ata katika madhaifu yake. Mtu ambaye siiyoo chawa atakuambia wapi umekosea na wapi umepatia.
  10. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanaume wasiooa Marekani imeongezeka kwa karibu asilimia 50, kiwango cha juu zaidi

    Siyo poa Wakuu! Idadi ya Wanaume Vijana Wasiooa Marekani Yafikia Milioni 30.4 Dondoo Ripoti ya mwaka 2026 imeonyesha kuwa mwaka 2025, wanaume milioni 30.4 wenye umri wa miaka 20–39 nchini Marekani hawakuwa wameoa, ikilinganishwa na milioni 20.7 mwaka 2000. Hilo ni ongezeko la takriban 47%...
  11. JamiiForums Tanzania Mnufaika wa mikopo ya asilimia kumi aeleza tija ya utalii wa mikutano kwa wajasiriamali, atuma salamu za pole kwa rais samia

    Mjasiriamali kijana Ifra Ahmed, anayejishughulisha na uendeshaji wa saluni za kike na za kiume, ameeleza namna wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaohudhuria mikutano ya kimataifa wanavyochangia kukuza biashara yake. Ifra, ambaye amepata mikopo isiyo na riba kutoka Halmashauri ya Jiji la...
  12. JamiiForums Tanzania DKT. KIJAJI: MOTO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA KILIMANJARO WADHIBITIWA KWA ASILIMIA 90

    Na. Philipo Hassan - Kilimanjaro Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), leo Septemba 5, 2026, ametembelea eneo ulipozuka moto ndani ya Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa lengo la kujionea hali ya eneo hilo na hatua zinazochukuliwa kudhibiti na kuzima moto huo. Akizungumza baada...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtumishi anapohama asilimia za utendaji katika mfumo wa PEPMIS zinarudi 0, hii inaumiza

    Watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine wanakabiliwa na changamoto ya mfumo wa PEPMIS, ambapo wanapohamishwa, asilimia zao za utendaji kazi zinaonekana kuanza upya kutoka sifuri, hata kama mtumishi alikuwa amefikisha, kwa mfano, asilimia 60 katika Halmashauri aliyotoka. Hali...
  14. JamiiForums Tanzania DAWASA: Mradi wa Usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka umefikia Asilimia 88

    Mradi wa kwanza wa kisasa na usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka Mbezi Beach unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) umefikia asilimia 88 ya utekelezaji wake huku ukitajwa kunufaisha kaya takribani 11,000 katika Wilaya ya Kinondoni...
  15. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wake zetu wanataka tuwe kwao vile ambavyo hawataki watoto wao wakiume wawe kwa wake zao- Sodoku Myebusi

    Mke anataka mshahara wote umkabidhi yeye. Anataka umsikilize yeye kuliko mtu mwingine yeyote Duniani. Wanawake wengi wanapenda mwanaume ambaye kwake atakuwa bwege. Afanye kila kitu ambacho mwanamke huyo atataka. Mali zote ziandikishwe jina lake mwanamke. Mume awahi kurudi nyumbani, akiweza...
  16. H

    JamiiForums Tanzania BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS

    BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS. ▪️Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Agosti 28, 2026) limemthibitisha Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ndejembi apitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais

    Wakuu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametangaza kuwa Deogratius John Ndejembi amepitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais kwa kura 324 sawa na 100%, na kwamba aliongea na baadhi ya mabalozi wa nchi mbalimbali nchini na walimwambia wameridhika uteuzi huo. Ndejembi, alikuwa ni Mbunge wa Chamwino...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  19. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAi new features: Mdau toa asilimia hapo ubora wa picha unauonaje ?

    Photo by JamiiAi 🏝🏜
  20. JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote

    Na Benny Mwaipaja, Addis Ababa Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…