Mwanamke aitwaye Joyce Emmanuel James Mkazi wa Mtaa wa National uliopo Ngudu Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza ameelezea jinsi alivyopitia changamoto tangu akiwa mjamzito hadi kujifungua Watoto wawili mapacha kabla ya wakati na kupelekea pacha mmoja kufariki ambapo amesema umbali wa kutoka Kwimba...
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
Mkuu usije ukadhani upo peke yako ambaye haufurahishwi na tabia za hao watu wanaojiona dunia ni ya kwao peke yao tu.
Angalau sasa tuna mtu ndani ya Afrika anayethubutu kuwapa 'shit' moja kwa moja. Kuna jasiri mmoja alijilipua juzijuzi hapa akawaambia 'who are you?, lakini wewe unakandamiza...
Mzee Warioba ameongea mengi ambayo sasa yamenukuliwa mitandaoni
Aliyoongea CCM ya sasa haina ubavu wa kuyaongea kwa vile sasa CCM si chama cha wananchi, bali viongozi ambao hawafai kuitwa viongozi.
Dondoo muhimu
Serikali inahusika na mauaji
Waliouwawa ni wengi hata kuliko waliouwawa vita ya...
Muhindi kumzurumu muhaya ni ngumu sana,
Ili ni funzo mnielewe
Nauliza Mh Raisi Samia watu WALIOKUWA wanauza UNGA nchini akiwemo huyu Mohamed aliyekamatwa na Mzee Magu na kukili kosa na kulipa cash money ya prebegaining dheni akakimbia nchi
Ndo unajitapa uliwarejesha nchini?
Nani hasiye...
Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.
Huu ujumbe wa Polepole...
Kuna zawadi moja ya thamani isiyolipiwa kwa pesa ni neno......
"SHUKRANI"
Ni neno dogo lakini lenye uzito mkubwa. Moyo wa shukrani huonyesha tabia ya mtu hata kabla hajazungumza.
Nimeandika hii thread baada ya jana kupigiwa simu na mama mmoja akasema mwanangu DR AM 4 REAL Nakushukuru sana...
Asante Gambo , hakika tutakukumbuka Ila ndo hivyo tulitaka utuhudumie Ila haikuwa riziki .
Pamoja Sana katika upambanaji wako .
Nayafikiria maisha mapya bila vyeo sijui yatakuaje na mke wako ameshaporwa uafisa na sasa anapiga chaki
Pole Sana jemedali
ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati Wanajamii Forums kwa sapoti kubwa mliyonipa mwezi huu. Kwa neema ya Mungu na msaada wenu, nimeweza kufanya kazi na wateja wengi waliotoka moja kwa moja kupitia hii forum. 💼🏗️
Naahidi kuendelea kutoa huduma...
Ee Mungu nakushukuru umetuvusha nusu mwaka salama.
1. Maadui walikuja ili watuangamize, ukawatawanya! Asante sana Mungu.
2. Magonjwa yalitupata, ukatuponya nayo yote. Nakushukuru Mungu wetu.
3. Umebariki kazi za mikono yetu, tumepata pesa ya kununua mahitaji muhimu. Asante Mungu mkuu.
4...
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .
Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.
Maazimio yalikuwa.
-Vyama...
Well presented with illustrative cartoons to drive the points home.
Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo
Mwanzo: Dakika ya 20:22
Mwisho: Dakika ya 37:26
https://youtu.be/F2RbjppeaKc
Mungu ibariki Simba Sc nzima
Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana.
Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba...
Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru.
Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi…
Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense.
Ni nani anaevunja amani ; anaedai...
Nina furaha kubwa wiki hii,nimefanikisha mwanamke na mwanaume mmoja,kukutana na kukubaliana kuoana.Moyo wangu umejaa furaha baada ya wote kunipigia simu na kuniambia baba asante sana,harusi yao itakuwa mwezi wa 6.Mungu wangu asante sana