asali

Sohan asali (Persian: سوهان عسلی‎, romanized: sohān-e asali; from asal "honey") is a kind of Iranian cuisine pastry or candy (sohan). It is made of honey, sugar, saffron, almond or other nuts and cooking oil.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu nimeota nafanya mapenzi..

    Wakuu nimeota nafanya mapenzi. Na huyo mtu naefanya nae alipaka asali kwenye naniliu yake akawa analazimisha mimi et nilambe. Naniliu yake. Wakuu hi inamaana gani. Alafu huyo demu alikua mkali sana aiseee. Wakuu nafanya nn hi hali ijirudie tena. Maana hata sikumfanya vzr Mwenye simu hayupo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Asali haiharibiki iwapo ikitunzwa vizuri hukaa Kwa miaka mingi

    Nimekuwa nikisikia na kusoma machapisho ya watu kuwa asali haihairbiki kabisa, je ni kweli? Na kwa ninihaiharibiki?
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Viongozi wa Dini na Kimila wasema uchaguzi umefanyika kwa Uhuru na Haki, Uchaguzi ujao amani itawale kama sasa

    Wakuu, Kumbe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni wa huru na wa haki? Mbona hamkusema? HIivi kweli unajitokezaje kusema kuwa Uchaguzi ni huru na wa haki baada ya kuona mabomu ya machozi, kuenguliwa kwa wapinzani, polisi kukamata wapinzani kwenye kampeni na wizi wa kura ambao ushahid wake...
  4. JamiiForums Tanzania Kanuni za mchezo zimebadilika, mahusiano hayapo kama yalivyokua hapo awali

    Asili ya muingiliano wa mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke kila upande una jukumu lake. Mwanaume ni provider na protector, mwanamke ni reciever na helper, na huu ndio ulikua msingi wa kumuweka mwanamke kando kwenye masuala magumu na muhimu. Bahati mbaya hapo karne za katikati kuna baadhi...
  5. JamiiForums Tanzania Mapenzi Haya! Kweli nimeamini Nyuki hawezi kumlazimisha Nzi aamini kwamba Asali ni Tamu kuliko Mavi

    Ndugu zangu leo nimechanganyikiwa nimemfumania Mpenzi wangu tuliyekuwa kwenye mahusiano kwa Miaka 2 sasa. Amebananishwa kwenye uchochoro saa mbili usiku na Dereva bajaji wanakulana mate, Sikutaka kuanzisha ugomvi maana ni Mpenzi tu huyu sio mke baada ya hapo nimemuuliza dereva bajaji amekiri...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Chana amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia

    WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA Na Happiness Shayo-TABORA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia huku akitoa rai kwa Wafanyabiashara kuchangamkia fursa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

    Je, unajua kwamba: - Kijiko kimoja cha asali kinatosha kuweka mtu hai kwa masaa 24 - Moja ya sarafu za kwanza ulimwenguni zilikuwa na ishara ya nyuki - Asali ina enzymes hai. Kijiko cha chuma huua enzymes hizi. Njia bora ya kutumia asali ni kijiko cha mbao, ikiwa sio, unaweza kutumia...
  8. JamiiForums Tanzania Kamati ya Olimpiki wanalamba asali

    Hii Kamati wanalamba asali mwanzo - mwisho ila hamna Medali kwa Miaka 40 sasa. Tandau tunakulilia.
  9. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande. Kwa akili ya...
  10. JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

    ASALI HAITIWI KIDOLE SEHEMU YA KWANZA MTUNZI: EDGAR MBOGO WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247. TAHADHARI: Hadithi hii ya #ASALI_HAITIWI_KIDOLE inayo somwa na mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea, ni hadithi yenye kisa chenye ubunifu kwa hasilimia mia moja, sehemu, mitaa na majina...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Chupi za kike sio kwaajiri ya kujistiri tu bali pia husaidia kuamsha hisia za kungonoka kwa mwanaume

    Vifuniko vya asali (chupi) kwa wanawake sio kwaajiri ya kujistiri tu sehemu zenu za siri bali pia zina mchango mkubwa sana katika kuamsha hisia za kungonoka kwa mwanaume. Kwa kulitambua hilo ndio maana watengenezaji wa nguo za ndani za kike wamekua na aina mbalimbali za chupi kama bikini...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Karibu nikuuzie asali mbichi

    Karibu nikuuzie asali mbichi safi ya nyuki wakubwa Dumu Lita 20 kwa bei ya 170,000/= tu karibuni Sana.
  13. JamiiForums Tanzania Fursa ya asali kwa mtaji wa 200k

    FURSA YA ASALI KWA MTAJI WA CHINI YA 200K . Kwa kutumia laki na 70 (170,000) utapata yafatayo:- 1#. Pure Asali lita 20. 2#. Free Delivery to Magufuli stand kwa walio Dar. 3#. Free packaging kwenye chupa za lita moja moja. Lita moja ni Tsh 8500, unaweza kuuza hata kwa elf 12 kwa lita na...
  14. JamiiForums Tanzania Mliojaribu huu Mseto Tukuka wa Nazi Mbichi, Mtindi, Karanga Mbichi, Konyagi, Asali na Moshi wa Pombe Jani ni kweli vinamfanya Mtu aone Moto Bedroom?

    Nipeni Majibu yenu haraka kwani kuna Mtu kanilia sana Vyangu na Kunikwepa, lla Leo Kajaa na yuko sasa Maghetoni.
  15. JamiiForums Tanzania Vipipi kifua, Colgate na Asali mpaka sasa ndio viungo vya ukweli kwa shoo za kibabe zinazoacha legacy kwenye mapenzi

    Shalom, Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi. Unapoingia kwenye mapenzi hakikisha unafahamu nyenzo muhimu zenye kuacha Alama ama Legacy kwenye Mapenzi...
  16. JamiiForums Tanzania Je Ndoto ya kugombea Urais inaweza kusahaulika kwa kuvimbishwa Asali?

    Ebu tupitie vugu vugu la kuelekea uchafuzi mwaka 2025. Rais wa sasa huyu mtoeni na hana sifa za umri na kikatiba, wajibu wake kiumri, kichama na kikatiba yeye anapaswa kwenda kulea wajukuu huo ndio umri sahihi wa miaka 65 mwakani. Pia genge lolote linalotaka kujisahaulisha mtazamo wao...
  17. JamiiForums Tanzania Hapo ulipo Asali imekufikia au bado?

    Wakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa. Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea. Hivyo Asali imeshafika kwa waheshimiwa madiwani kwahiyo Mbunge ananufaika pia na marupu rupu ya udiwani.
  18. JamiiForums Tanzania Ufanisi wa manjano na asali katika kutuliza kikohozi

    Manjano na asali imekuwa tiba iliyokuwa ikinisaidia sana katika makuzi yangu endapo nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi. Unachanganya manjano kwenye asali, pia siku zingine unakamulia maji maji ya Tangawizi bila kuweka na machicha yake kwa sababu inaweza kusabibisha karahaa kwenye koo. Mara...
  19. JamiiForums Tanzania Kama sukari mnaona ghali tumieni asali

    Si lazima sana watu wote kuhangaika na matumizi ya sukari. Kwanza sukari si nzuri ki afya. wataalamu wengi wameilaani sana. Mimi nashauri badala ya kulia lia tuje na mbadala. Serikali haizalishi sukari siyo kazi yake hiyo. kama watu mnaona sukari ni ghari basi tumieni tu asali hiyo ni njema zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…