Mzuka Wanajamvi!
Kumeibuka na watu wa ajabu jamvin siku hizi. Wanadharau, kuwakebehi na kuwadhihaki sana vijana wachapakazi na wanaojituma wa Arusha. Angalieni iyo video hapo chini muabike nyie kina johnthebaptist Accumen Mo Juma1967 Mkaruka
Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma.
Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi
====
Ajali imetokea mchana huu eneo la Veyula mjini Dodoma. Basi kampuni ya ARUSHA express ikitokea Arusha kwenda Mbeya, Imegongana uso...
Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha.
Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/=
Kati ya Sqm 450 na 600sqm
Kisiwe mbali na Lami.
Iwe imepimwa safi kabisa.
Mwenyenacho, tafadhali tutafutane.
✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu...
Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu...
Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa,
Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali ,
Natanguliza shukrani wakuu
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.
Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara
Swali...
Naandika kwa majonzi sana hawa ndugu zetu wa huku Arusha nao wamebahatika kuwekeawa lami mwaka huu japo ni nusu mradi kamili wa kuifikisha lami inapotakiwa kuishia bado aujakamilika.
Lami hii sasa imekuwa ikileta huzuni baada ya furaha kwani waendesha bodaboda wa huu mtaa wameigeuza rami hii...
First, I want to introduce myself. My name is Emilian, I am eighteen years old, I'm from America and I am currently in Arusha, staying with a friend. The area of Arusha I am staying is North of Usa River and Maji ya Chai, nearby the University of Arusha. I am currently trying to become a...
Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.
Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.
Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika...
Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi.
Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wananchi wa Meru Arusha wamepigwa na butwaa kwa vitendo vya udokozi na wizi wa vitu mbambali pamoja na vyakula vya aina mbalimbali vilivyoiva au vibichi.
Kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kuibiwa hasa jikoni na kuibiwa vyakula kama ugali, ndizi, karoti na...
Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi.
tumeni c.v...
Salaam Wakuu,
Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja.
Je, Polisi watachukua hatua yoyote?
Pia soma:
- Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa
- Kada...
.
Zaidi ya wafanyabiashara 5,000 wanaofanya biashara katika soko la Samunge jijini Arusha wanataraji kupatiwa mitaji ya kuendesha biashara zao na mhubiri maarufu nchini Nabii Mkuu Dkt GeorDavie.
Mbali na kupatiwa mitaji hiyo pia mhubiri huyo anataraji kutoa msaada wa kukarabati miundombinu ya...
Hii ni fedheha kubwa kwa vijana Marasta wa Arusha kuutweza utu wao kwa ujira kiduchu wa Dola toka kwa watalii. Inakuaje kijana unajidhalilisha kisa pesa/pombe?
NB: kazi (Halali) kipimo cha utu
Kuliwa KANDE si ujanja