arumeru

  1. Blasio Kachuchu

    DC Arumeru asisitiza uhakiki wa Taarifa za Anwani za Makazi kukamilishwa katika halmashauri zote za wilaya hiyo

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, ameiomba Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuwezesha zoezi la Uhakiki wa Taarifa za Anwani za Makazi katika Halmashauri ya Meru baada ya kukamilisha zoezi hilo katika Halmashauri...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Arusha: Mume avunja nyumba mtoto akiwa ndani, alimpa talaka mke

    Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa Mume wake, Baada ya kumpa talaka Mahakani. Mwanamke huyo anadai kwamba nyumba hiyo walijenga pamoja...
  3. D

    KERO TANESCO Arumeru kuna shida gani? Umeme unakatika kwa siku zaidi ya mara 10

    TANESCO wilaya ya Arumeru mkoani Arusha kuna tatizo gani tangia jana. Jana umeme ulikatika zaidi ya mara 10, usiku ukakatika tena mara kadhaa, asubuhi hii umekatika tena, mbona hamna taarifa kuna nini? Mmetuunguzia vifaa vyetu, tunaotegemea kazi ya kukata, kukereza na kuunga vyuma tunafanyaje...
  4. Bushmamy

    Arusha: Mwanamke auawa na mwanamke mwenzanke kwa kipigo

    Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa. Mdogo wa marehemu...
  5. S

    Meneja TANESCO, Arumeru hakuna umeme tangu asubuhi

    Tangia saa 2 asubuhi leo huku Halmashauri ya wilaya ya Meru TANESCO wamekata umeme mpaka sahizi. Kwanini umeme ukatwe kwanza bila taarifa? Na mpaka sahizi? Kuna tatizo gani. Kwanini Huu utaratibu usio wa kistaarabu? Huyu meneja wa TANESCO wilaya ya ARUMERU afuatiliwe, kama vipi akae pembeni
  6. J

    RC Makonda awasimamisha Kazi watumishi 13 Arumeru kwa ubadhirifu wa tsh million 600, yumo Mganga mkuu wa Halmashauri!

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600 Source Mwananchi Vijana Msilale bado Mapambano 😂🔥 == Watumishi 13 wa sekta ya afya kutoka Halmashauri ya Arusha Dc wilayani...
  7. A

    DOKEZO Huku Arumeru kuna jamaa wanavamia mabweni ya Wasichana (Shule ya Sekondari ya Nshupu) na kufanya uhalifu

    Shule ya Sekondari ya Nshupu iliyopo Kijiji cha Nshupu, Wilaya ya Arumeru, Kata ya Nkoaranga Mkoani Arusha haina milango na katika baadhi ya majengo ikiwemo yale ambayo wanaishi Wanafunzi wa kike wa shule hiyo. Kutokana na hali hiyo kumekuwa na matukio ya wahalifu kuvamia na kufanya uhalifu...
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 LGE2024 Mkutano Mkuu wa Chadema Arumeru Magharibi wafana

    Ni katika mikakati ya Chama hicho kujiweka sawa kwa ajili ya chaguzi zijazo Taarifa kamili hii hapa
  9. S

    Mbona kimsingi mgawo wa umeme umeisha? Kwanini meneja wa wilaya ya Arumeru unatunyanyasa wananchi wa Kikatiti?

    Huku Kikatiti umeme ulikatwa asubuhi na kurudishwa saa 12 jioni. Saa 1 na nusu wameukata tena. Kwanini mwatunyanyasa hivi?
  10. S

    Arusha: Kuanzia Usa-River mpaka King'ori ni wiki sasa umeme unakatwa kila ikifika saa 12 jioni

    Huyu meneja katika huu mgawo wa umeme anabagua maeneo kulingana na hali ya watu wanaoishi eneo husika. Anaongozwa na wenye hela anapewa rushwa. Unakuta eneo linakatwa kwa wiki nzima jioni, kwa mfano kuanzia Usa-River mpaka King'ori ni wiki sasa umeme unakatwa kila ikifika saa 12 jioni. Jioni...
  11. Stephano Mgendanyi

    Ahadi za Makamu wa Rais Tanzania kwa Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

    MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
  12. MamaSamia2025

    Sabaya atawafaa CHADEMA Ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi

    Natumaini mko wazima. Leo nimeona nitoe ushauri wa kitaalamu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kwenye siasa kinachoonyesha ukubwa wa chama ni namba kwa maana ya idadi ya wanachama, wabunge, madiwani na viongozi wengine waliopatikana kupitia chaguzi mbalimbali. CHADEMA iko vizuri kwa idadi...
  13. Bushmamy

    Arusha: Wanakijiji Arumeru walazimika kuvaa Ndoo na Helmets vichwani kujikinga na Mawe ya ajabu yanayorushwa hewani

    Wanakijiji wa kijiji cha kiwawa kilichopo Arumeru wamelazimika kuvaa ndoo na kofia ngumu vichwani kufuatia mawe yanayorushwa usiku na mchana pasipo kujua mawe hayo Yanatokea wap. Aidha wanakijiji hao wameshindwa kufanya shughuli zao za Kila siku zikiwemo za kujiingiza kipato kutokana na hofu...
  14. Idugunde

    Arumeru: Wandishi wa habari wapigwa mawe na mizimu na kutimka mbio. Mawe hayajulikani yanatoka wapi. Yanamwagika kama mvua

    Waandishi wa Habari mkoani Arusha wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika Kijiji cha Kiwawa Wilayani Arumeru, ikiwa ni baada ya waandishi hao kufika kwenye eneo hilo kufuatilia taharuki ya wananchi kupigwa kwa mawe yanayohisiwa kurushwa na mizimu.
  15. K

    Mbunge wa Arumeru, Dr. Pallangyo umetukosea sana Watanzania. Endelea Kuringa yana mwisho

    “Ukishakuwa mpinzani ile keki ya Taifa huioni sawa sawa, naringa kama ni Mbunge wa Chama Tawala na pia naringa kama ni Mbunge wa Serikali iliyopo madarakani" - John Palangyo, Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki #LiveOnClouds360 https://t.co/XHlBZOzVNd
  16. E

    Utitiri wa shule za chekechea na Tuition wilayani Arumeru

    Wakuu narudia tena kuirudisha hii mada mpaka tupate majibu kutoka wizara husika. Kumekuwa na utitiri wa shule nyingi za chekechea na zingine zikiitwa Tuition zinazochukua watoto chini ya miaka mitano ambao hawajaanza shule. Katika safari zangu nilizotembea katika mji wa Arusha nimeona mjini...
  17. K

    Askofu Shoo, Wabunge Timotheo Mzava wa Korogwe na Dkt. Pallangyo wa Arumeru wanalichafua kanisa au wanachafuliwa?

    Mbunge wa Korogwe Vijijini Timotheo Mzava anatarajiwa kufunga ndoa na Binti wa Mbunge wa Arumeru Mashariki Dr. Jonh Pallangyo. Ndoa hii inalalamikiwa na mtu anayetambulika kwa jina la Anna na wachungaji huko Arusha na Tanga wanafahamu upo mgogoro. Mgogoro huu nimeusoma kwenye gazeti kwamba Mzava...
  18. JOHNGERVAS

    Elisaria Pallangyo ni nani? Je, anafaa kuwa DC wa Arumeru?

    Habari Wakuu, Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa. Lakin I piia nimeona Nina LA MTU mmoja anayefahamika kwa jina LA Elisaria Pallngyo ambaye watu Wa...
  19. MMASSY

    Ubunifu waibeba Arumeru ujenzi wa madarasa

    Naibu waziri ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe David Lusinde (Mb) amesema kitendo cha ubunifu wa ujenzi wa shule tatu za mchepuo wa kingereza ambazo zitakuwa zinamilikiwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Arusha Dc zitasaidia kuchochea kasi ya Ujenzi wa madarasa kutokana na mapato ya shule hizo kila...
  20. funaku

    DC Jerry Muro hongera kwa kuanzisha English Medium School Arumeru

    DC Jerry Muro ni DC kijana na mchapa kazi kwani katika wilaya yake anewezesha uanzishwaji wa Shule ya mchepuo wa kingereza yaani English Medium. Katika mkoa wa Arusha kuliwahi kuwa na Shule ya English Medium ijulikanayo kama Arusha School ambayo mfadhili wa Simba Mo Dweji alipata kusoma hapo...
Back
Top Bottom