ardhi

  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya makazi Solutions inauza Ardhi Kinyemela kwa Wageni

    Sasshivi wanamiradi iko Tanga na wanaiuza kwa raia wa Zanzibar, nimekwenda kuuliza endapo wana miradi Zanzibar wameniambia ipo, baada ya kuonesha nia ya kununua wakaniambia siruhusiwi maana mimi ni Mtanzania bara. Nikawauliza kwanini wananchi wa Zanzibar wananunua ardhi bara, akaniambia hata...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Ardhi uje utusaidie Kata ya Kihonda Yespa – Morogoro kuna migogoro mingi ya ardhi

    Kilio cha wanyonge sisi Wakazi wa Kihonda Yespa, Manispaa ya Morogoro nyuma ya tuta la mwendokasi, tunaomba maafisa ardhi waje kutatua migogoro mikubwa huku mtaani kwetu, kuna kiongozi anasema yeye ni Diwana Kata ya mabibo na ndiye Naibu Meya Manispaa ya Ubungo. Kaja maeneo tuliojenga tangu...
  3. JamiiForums Tanzania Kliniki ya Ardhi yafanyika kuelekea wiki ya Afya mahala pa kazi Njombe

    Katika kuelekea wiki ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi mwaka 2026 Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Njombe pamoja na Halmashauri ya Mji zimeanza kutoa huduma za Kliniki ya Ardhi kwa wananchi katika viwanja vya Mjimwema, mkoani Njombe April 26, 2026. Akizungumza katika Kliniki hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza ulipaji Kodi ya Ardhi kwa Wakati kuepusha usumbufu

    Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na hatua zitakazochukuliwa kwa wale watakaoshindwa kutekeleza wajibu huo. Akizungumza jijini Dodoma...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi baadhi ya Maafisa wanazungusha Watu ilimradi tu 'ueleweke'

    Unapeleka transfer pale Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi umenunua ardhi tuseme ili wakupe form Namba 33 ya transfer apart kuwa umelipia malipo ya Serikali under control number wanakuzungusha hata three-month ili mradi tu uwape hela ya kuwapoza. Kwa mwendo huu Rushwa itaisha Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Vitu viwili vilivyo vitakatifu: Ardhi na uumbaji

    Kuna vitu kamwe havipaswi kuchezewa kunajisiwa wala kuharibiwa kwa namna yoyote ile.. Vitu hivyo ni ardhi na uumbaji Unajua katika imani nyingi na mitazamo ya kiroho, ardhi na uumbaji huchukuliwa kuwa vitu vitakatifu kwa sababu ni kazi ya mikono ya Muumba. Na hilo halijaja kwa bahati mbaya bali...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aagiza kiongozi wa CCM aliyetajwa kwenye mgogoro wa ardhi akikutwa na hatia avuliwe madaraka, siyo chama cha kunyang'anya

    Akiwa katika yake Nsimbo, Katavi Waziri Mkuu amepokea malalamiko ya mwananchi aliyedhulumiwa eneo lake na kumtaja kiongozi mmoja wapo wa CCM kuhusika katika mchakato huo ambapo Waziri Mkuu ameagiza kiongozi huyo achnguzwe na akibainika ameshiriki avuliwe uongozi. Amesema chama hicho siyo cha...
  8. JamiiForums Tanzania Miji ya Makombola iliyo chini ya ardhi huko Iran imeangamizwa na majeshi ya Israel

    Iran ilikuwa ikijivunia kuficha na ku hifadhi Mabomu na Makombola yao chini ya ardhi mpango wao huo umebuma baada ya tecknolojia ya Israel kuyagundua yalipo na kuwaangamiza. Hili ni pigo kubwa sana kwa utawala wa magaidi wa Iran 🇮🇷 https://x.com/imtiazmadmood/status/2032400792808739018?s=61
  9. JamiiForums Tanzania Kununua ardhi halafu huna pesa ya kujenga ni ujinga, Bora hiyo hela ufanyie biashara

    Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
  10. JamiiForums Tanzania Jaji Mtembwa: Samia Ardhi Kliniki, Chachu Ya Kupunguza Migogoro Ya Ardhi Simiyu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” ambayo ni chachu ya kupunguza migogoro kabla ya kufikishwa Mahakamani. Jaji wa Mahakama Kuu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri wa kisheria juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari ndugu zangu. Kuna ndugu yangu ana nyumba huko Mbezi Msakuzi. Leo wameitwa na mwenyekiti wa mtaa na kuelezwa kuna mtu amekwenda ofisini kwake akamueleza anaomba ampatie barua ya kufufua mipaka ya eneo lake. Kwa maelezo ya mwenyekiti, mama huyo anadai mumewe alinunua eneo mwaka 1989 na ana...
  12. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Temeke: Tumeamfikisha Askofu Mahakamani kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ardhi

    Katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke imefanikisha kumfikisha mahakamani Askofu Renatus Joseph Nyalali, Askofu kutoka kanisa la Hosanna Assemblies of God Tanzania (HAOGT), kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kutoa nyaraka za...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wanamiliki migodi ya dhahabu na almasi wakati wabara hawaruhusiwi kumiliki ardhi ndogo, huu muungano Julius alirogwa ?

    Wapo wazanzibari wanamiliki migodi Geita, Mbeya, Mara, Mererani, Ruvuma, n.k. Mtanzania wa Bara huwezi kugusa mgodi unaomilikiwa na m=Mzanzibari hadi upewe ruhusa yake na hata ukiruhusiwa kuchimba, ukipata madini ni yeye anaamua mgawanyo. wapo waliotajirika na kuwa mabilionea kwa madini ya Bara...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Makonda: Migogoro ya Ardhi itapungua wananchi wakisikilizwa mapema

    Migogoro ya ardhi imeelezwa kuwa inaweza kupunguzwa kwa kuimarisha mfumo wa kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi mapema kabla hazijafikishwa mahakamani. Hayo yameelezwa jana Jumatano Februari 25, 2026 na Mbunge wa Arusha Mjini, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi: Takribani malalamiko ya Viwanja ya Wananchi yamepatiwa ufumbuzi Dodoma

    Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma. Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji la Dodoma wanaodai viwanja na halmashauri ya jiji la Dodoma...
  16. JamiiForums Tanzania Wadaawa wa KIIRAQW wapata nafasi ya kusikilizwa kwa lugha yao, Baraza la Ardhi Dodoma latoa tumaini la haki sawa

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya, Mkoa wa Dodoma limewasikiliza wananchi wa jamii ya Kiiraqw waliofika katika Baraza hilo kuwasilisha hoja na ushahidi wao katika mgogoro wa ardhi, wakidai kumiliki kihalali shamba lenye ukubwa wa ekari nane lililopo Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma. Hatua...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi wadai DC wa Kilosa anasababisha maafa na hafuati Sheria, mwenyewe asema si kweli

    Wakazi wa Kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kuingilia kati migogoro ya ardhi inayoendelea katika eneo hilo ili kupatikana suluhisho la kudumu. Ombi hilo limetolewa katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, ulioandaliwa na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Saud Arabia na Qatar Zimemruhusu Iran Apige Base Za USA Kwenye Ardhi zao

    Habari ndio hio ya mjini fresh kabisa Saud Arabia, Qatar, na inasemekana pia Iran atapiga base iliopo UAE, Oman, Kuwait Warabu wameisha choka na ujinga wa USA wamewapa green light Iran wapige base ya USA kwenye nchi zao kama USA akishambulia Iran. Safari hi USA kaukalia wacha awe anatafuta...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Kwa sasa ukiunganishiwa umeme Meter mpya zinakuja na deni la kodi ya ardhi la tangu mwezi Julai 2025

    Ni jambo linalofikirisha kidogo, wakuu salam sitatoa. Hali ya kutoheshimiana kati ya shirika la umeme Tanzania TANESCO na wateja wake imezidi kushamiri. Hivi inatokana na suala lisilo la kiungwana la shirika hilo kufunga mita mpya zikiwa na deni la pango la ardhi kwa miezi ya nyuma hata kama...
  20. JamiiForums Tanzania Samia: Mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchi nzima zihakikishe kunatengwa maeneo ya kijani na upandaji miti

    Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…