Mgogoro wa Ardhi shamba No 7 Mambegwa-Kilosa ni bomu linalotoa Moshi

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Kuna taarifa zinazoenea kuwa, wakulima waliokuwa wakimiliki mashamba katika shamba namba saba lililopo ktk kijiji cha mambegwa wilayani kilosa kunyang'anywa mashamba yao.

Ingawaje wakulima hao walipewa mashamba hayo kihalali mwaka 2009 yakiwa ni mapori na misitu minene, lakini inasemekana kuna mwekezaji amepewa bila hata kuwaahirikisha wakulima husika. Inasemekana kuwa Mwekezaji anayahitaji mashamba hayo bila kutaka kutoa fidia kwa wakulima.
Wakulima kwa ujumla wao wanaomba serikali kuingilia kati mgogoro huo ili mwekezaji na Wakulima kila mmoja apate haki yake.
 
Back
Top Bottom