ardhi

  1. JamiiForums Tanzania Kuna kipindi unaomba ardhi ipasuke

    Yaani huyu mtu sio wa humu nimefundishwa humu niache umalaya wa mdomo nije kusocialize. So kuna jamaa yangu mmoja anamzungu huyu jamaa alitoka tz akaenda kusoma sasa kwa miaka mingi akarudi na mkewe nawatoto. Kama kawaida wakamkanyaga akafilisika kiasi fulani so hivi ninavyoongea asingekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali inapoingia mikataba ya karne ya mahekta ya ardhi na wawekezaji ni pigo kubwa kwa kizazi kijacho

    Wakuu Kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja tangu Mama aingie madarakani utafiti unaonyesha kuwa mikataba mikubwa ya mahekta ya ardhi imesainiwa na wawekezaji wageni hapa nchini. Mikataba hiyo iliyosainiwa inasoma miaka 99 Hadi 100!! Hii unaleta sintofahamu juu ya umiliki wa ardhi wa kizazi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi hali imeanza kuwa mbaya

    Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali More deep detail to follow with specific...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Kintinku

    Taarifa mitandaoni zinaeleza kuwa leo tarehe 10 Mei, 2022 saa 9:22 mchana limetokea tetemeko la ardhi Kusini mwa Kintinku. Tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa 4.30 kwenye kipimo cha Ritcher. Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo la ardhi limepita Moshi...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nyerere alifanya nini kwenye ardhi ya Tanzania?

    Kuna siri gani kwenye ardhi ya Tanzania kwamba wanasiasa wa nchi za nje wakija kujiungamanisha nayo (wakilelewa Tz) wakirudi kwao wanaukwaa urais? 1. Samora Machel alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais. 2. Chisano alipotoka Tz kurudi kwao akawa rais. 3. Filipe Nyusi alipotoka Tz kurudi kwao...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini kuwekeza kwenye Ardhi usiyo ijua?

    Kwako Mwananchi, Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au kiholela. Mfano ( A) Imezoelekea kununua eneo la Ardhi kwa kushirikisha Serikali ya mtaa...
  7. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

    Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi na Makazi; Mkopo wa nyumba uliishia wapi?

    Nakumbuka mwezi mei mwaka 2020 , Wizara ya Ardhi iliweka tangazo kwenye tovuti yake walitangaza watumishi wa umma wanaotaka mkopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kufanya maombi na fomu ziliwekwa, watu tulijitokeza na kuingia gharama kubwa katika kukamilisha masharti, miongoni mwa masharti ilikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Information and Communication Technology Officer II - 25 post at Ministry of Lands

    POST INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II – 25 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development APPLICATION TIMELINE: 2022-03-31 2022-04-13 JOB SUMMARY To assist in data conversion exercise of town planning drawings...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa ardhi tuliyonayo tunashindwa nini kuzalisha alizeti tukawa wauzaji wa mafuta kwa Afrika

    Sehemu nyingi za Tanzania alizeti inastawi vizuri sana. Kuanzia Singida na hata maeneo ya Handeni. Wakulima wadogo wanalima na wanavuna. Hawa think tanks wetu hawajaangalia uwezekano wa kufanya uwekezaji mkubwa wa zao hili kiasi cha kutoa ajira nyingi kwa vijana na pia kutiweka kuwa wauzaji...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yamwaga Ajira 1440+

    Ingien ajira.go.tz Land valuation, surveyors, cartographers, geographist,GIS, town planners and alike. Data recorder kwa Level ya degree.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Magereza mna ardhi kubwa, mnaposhindwa kuitumia wananchi wanavamia

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka magereza kulinda maeneo yao ili kuepuka migogoro. Amekosoa tabia ya kugawiana maeneo kwa maaskari magereza ambapo amesema wananchi hujenga wakiona wengine wanajenga. Rais amewataka Magereza watenge maeneo yatakayotumika kama zawadi kwa wastaafu wa magereza na...
  13. JamiiForums Tanzania Utafiti: Maji yaliyoko chini ya ardhi ni mara 20 ya maji ya mito na maziwa

    Bara la Afrika lina maji ya chini ya ardhi ya kutosha na hivyo kupelekea kila mtu kupata maji ya kunywa ya kutosha ili kukabiliana na ukame kwa angalau miaka mitano, na hata katika baadhi ya maeneo, hadi miaka 50. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na shirika la utafiti wa Jiolojia la...
  14. JamiiForums Tanzania Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania

    Makonda kugombea ardhi ni somo kwa Watanzania Ndani ya Jiji la Dar es Salaam kuna mnyukano. Ni baina ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohammed (GSM). Wanagombea ardhi. Makonda analalamika kuwa GSM anataka kumdhulumu mali yake. Wakili wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ashiriki wiki ya maji, amshukuru Rais Samia na kuwahakikishia watanzania kutatua changamoto za ardhi

    Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ndugu Ridhiwani Kikwete ameshiriki Uzinduzi wa Wiki ya Maji huko Simanjiro Mkoani Manyara iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Mje. Dkt. Philip Isdor Mpango. Akitoa salamu za Wizara ya Ardhi, Mhe. Kikwete amempongeza na...
  16. JamiiForums Tanzania Katavi: Serikali waombwa kuingilia kati mgogoro wa ardhi, wadai wawekezaji wamepewa kinyume na utaratibu wa sheria

    BAADH ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameiomba Serikali ya Mkoa huo kuingilia kati mgogoro wa ardhi wa zaidi ya hekali 40 zilizopo katika Kitongoji cha Jelemanga "A" na "D"kijini cha Milala. Mgogoro huo uliodumu muda mrefu unatokana na baadhi ya wananchi kudai kuchukuliwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utalii

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula na Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete watafanya ziara kwenye Mikoa ya Singida, Mwanza na Mara kuanzia tarehe 15 Machi 2022 hadi 19 Machi 2022 Hii ni kwa ajili ya kufanya shughuli 3 za Kukagua Mpango wa Matumizi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao

    Inadaiwa kuwa huu mchongo unawahusisha vigogo wa kwenye mamlaka za juu na ndiyo maana kuna danadana zinaendelea. Taarifa za uhakika kutoka wa watu ambao wamekuwa sehemu ya waathirika wa mradi huo kwa ardhi yao kutaka kuuzwa kwa bei ya chini amedai kuwa wameshafanya vikao vingi lakini hakuna...
  19. S

    JamiiForums Tanzania North Korea yasema imefanya jaribio la kutengeneza mfumo wa setilaiti ya udukuzi wa kivita (millitary reconnaissance satellite)

    North Korea imesema ilicheki ufanisi wa mifumo ya kamera na mifumo mingine ktk jaribio lake muhimu zaidi la kutengeneza setilaiti ya udukuzi wa kivita. Hayo yanajiri baada ya nchi hiyo kulaumiwa jana kwa kurusha kombora la balistiki. Setiliti hizi hutumika ktk oparesheni za kijeshi na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Belarus yaamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia, itarejesha tena silaha zake za nyuklia kwenye ardhi yake

    Nchi ya Belarus kupitia kura iliyopigwa Jumatatu, imeamua kuachana na sera yake ya kutokuwa na silaha za nyuklia na hivyo ipo tayari kurejesha silaha zake za nyuklia iliyozikabidha kwa Putin pasi na masharti yoyote. Pia imeamua kuyaweka majeshi ya Russia kwa kudumu katika ardhi yake. Hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…