Mpaka sasa ukitaka kupakua app kwenye Play Store, chaguo kuu lilikuwa Cancel na Ukicancel, download inaanza upya kutoka mwanzo.
Google inaanza kujaribu Pause & Resume kwenye downloads za Play Store! ๐ Sasa utaweza kusimamisha download ya app na kuendelea baadaye pale ilipoishia, badala ya...