application

  1. Mtoto wa nzi

    Application nzuri ya kufownload movies free kwenye Computer/Laptop

    Habari wadau. Nilikuwa natumia hii moviebox ..... Sasa naona hakuna option ya kufownload yaani ni shida. Msaada tafadhali app nzuri... Isiyotumia torrents.... Asante.
  2. Kikubwa Pumzi

    Writing Samples ni nini? Na natuma nini nikitakiwa kwenye job application?

    Wakuu naomba msaada kidogo. Kuna kazi nimeomba (hasa za research na translation), wameomba nitume writing samples. Sasa hapa ndipo napata maswali: 👉 Hizi writing samples ni nini hasa? 👉 Natakiwa kutuma nini? Najiuliza: Je, natuma documents zote nilizowahi kuandika? (maana ni nyingi na zina...
  3. N'yadikwa

    Azam TV kwenye application sio poa

    Mafundi wenu sijui ndio wanafanyia majaribio ya kurekebisha sauti huku. Application mara nyingi imekuwa kama second option kwenu ingali watu tunalipia!?, kwa kuwa customer desk lenu halifikiki kirahisi chukueni ujumbe wenu hapa, tunao subscribe kwenye Application yenu tutendeeni haki the...
  4. jjs2017

    Application ya Jf inashida gani?

    Hii app ya Jf inatatizo gani wakuu Mbona haitaki kufunguka kiasi cha sisi watumia app kuhisi kuwa Jf haipo tena kumbe ipo huku kwenye website
  5. Yesha

    Bellarmine Mugabe, co-accused abandon bail application

    JUST IN: Bellarmine Chatunga Mugabe and his cousin Tobias Matonhodze, who are facing attempted murder and immigration-related charges, have withdrawn their bail application at the Alexandra Magistrates Court in Johannesburg. Their legal team has instead requested a plea negotiation, where the...
  6. Mad Max

    Msaada: Wakuu hii Application ya X (Twitter) inakula sana nafasi kwenye simu. Nifanyeje?

  7. kahawatime

    Application ya Simulizi

    Habari wakuu nawakaribisha katika application yetu ya kahawa time inayopatikana app srote kwa watumiaji wa iphone na Ipad na Play store kwa watumiaji wa Android… pata simulizi kali kutoka kwa waandishi maarufu kama Story za Eddy, Patrick Ck, na wengine wengi
  8. Fascinating

    Hitalafu za Huduma za Amazon (AWS) imesababisha kutopatikana kwa Application nyingi Duniani ikiwemo snapchat, Fortnite na Canva

    Kitengo cha huduma za mtandaoni cha Amazon, Amazon Web Services (AWS) kimekumbwa na hitilafu na kusababisha changamoto ya upatikanaji wa huduma kwa makampuni mbambali duniani. Huduma zilizopata changamoto ni pamoja na tovuti na programu kadhaa maarufu, zikiwemo game ya Fortnite, mtandao wa...
  9. Beberu Mwitu

    Application ya mikopo ya ukopeshaji imegonga mwamba, sijui nilipe huu mkopo au niingie mitini?

    Habari zenu wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada hii tata; Ipo hivi, mwanzoni mwa mwezi Septemba nilichacha sana kifedha ikabidi nifanye re-installation ya App moja ya mikopo na kuchukua kiasi cha Sh 200,000. Baada ya hapo update ikaja kuwa mkopo ulipwe ndani ya siku saba ilhali mwanzo...
  10. K

    App gani yenye uwezo wa kutengeneza maneno yaani transcripts kutokea kwenye video zilizo kwa lugha ya kiswahili?

    Wana JF habari Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
  11. Melancholic

    Msaada wa anayejua namna ya kudownload application kwenye Tv

    Wakuu mimi ni mdau mkubwa wa soka la nje sasa Ligi zimerejea rasmi. Na kama mjuavyo kwa watu wa kawaida kama sisi kununua kifurushi cha 180k kupitia Dstv ili kuangalia mpira kwetu ni gharama sana. Hivyo wengi wetu tumeamua kutumia simu zetu kuangalia ligi ya uingereza kupita Application mbali...
  12. R

    Ni application gani inaweza kupima eneo kwa kutumia simu ya mkononi

    Mwenye idea ya kitu kama hicho anisaidie. Unashika simu unzunguka eneo na inakupa dimensions and finally total area
  13. O

    TUNAFANYA HUDUMA ZA APPLICATION ZA VYUO AVN NUMBER NA HELSB MKOPO ONLINE : Simu: 0622569980 Barua Pepe: vyuohelsbajiraapplication@gmail.com

    Karibu kwenye huduma ya APPLICATION YA AVN NUMBER, VYUO NA HELSB(MKOPO WA ELIMU YA JUU) Hapa, tunatoa msaada kwa watu wote wenye uhitaji wa kupata AVN number kupitia mfumo wa HELSB (MKOPO). Huduma hii inapatikana kwa urahisi na inakusudia kuwasaidia wananchi katika mchakato wa kupata taarifa...
  14. O

    itle Replies Views Date TUNAFANYA APPLICATION YA AVN NUMBER ,HELSB NA VYUO. THE ONLINE STATIONARY nitext kupitia 0622569980

    Habari, tunafanya huduma zifuatazo
  15. L

    application za kuchukua coordinate za kiwanja

    habari wdau ukiachana na Google map na Google earth kuna application za kuchukua coordinate za kiwanja ambazo zinaendana na mfumo wetu wizara ya ardhi
  16. Last sentinel

    Basic computer application tutor,computer programming courses

    Hellw JF,kama unatafuta mwalimu wa computer courses na computer programming mchek 0759-124378 Anipatikana magari 7,mbezi ya kimara
  17. Mjina Mrefu

    Application Nzuri ya Kudownload Videos YouTube

    Wakuu, Naomba mwenye kujua Application ambayo naweza kushushia video YouTube. Nilikua natumia Application kama Snaptube, Videoder na Vidmate. Ila sasa hivi naona zimekua restricted, hazidownload Msaada wakuu.
  18. KJ07

    Msaada wa MEXT SCHOLARSHIP APPLICATION ya JAPAN

    Habari za wakati huu wana jukwaa. Niko mbele yenu hapa kuomba kama kuna yoyote aliyewahi kuomba na kupata Scholarship za MEXT za nchini JAPAN aweze kunipa guidance ya mambo kadhaa maana dirisha ndo limegunguliwa. Natanguliza shukrani na naomba kuwasilisha. Asante.
  19. D

    Najaribu kutengeneza simple word processing application inayorun kwa browser

    Kuna wakati huwa nakuwa sina office kwenye PC au natumia PC ya mtu nakuta nataka kuchapa kitu nakutana haina office. Option iliyopo ni kutumia Google Docs ambapo ntahitaji kusign in na vitu kama hivyo. Sasa just for fun nimeamua kuunda plugin ya chrome ambayo itakuwa inaweza kufanya basic tasks...
  20. R

    Ku fail kwa application ajira portal

    Habari za wakati huu… Napenda kuuliza mimi nimesoma BA.Social work ajira portal wametangaza kazi za Community development kwenye qualification wamesema wenyee io au equivalent na kazi ipo kwenye kipengele chetu najaribu kuapply inasema failed, Ni social work haiusiani na community development...
Back
Top Bottom