Ataangua anguko kubwa kuliko hata walivyomuhujumu Magufuli
What goes around comes around
Atakataliwa kila upande na atapingwa na kila mtu
Kila aina ya kashifa itafukuliwa
Kuanzia Kizimkazi scandal, Dp world, Bagamoyo, IPTL, Ngorongoro, na madudu yote ya CAG
Kiufupi Samia atakuwa na mwisho...