angalia

Angalia (Tazama) - Neno hili linamaanisha kuelekeza macho kwenye kitu fulani ili kukiona.
  1. JamiiForums Tanzania Kinacholeta maendeleo sio ukubwa wa nchi au rasilimali, ebu angalia nchi ndogo kama Finland inaisadia Tanzania!

    Ukiangalia kwa undani utajua kuwa nchi za watu weusi hazina watu wenye akili . Inawezekana vipi kanchi kadogo Kama Finland kakawa kanatupa misaada.!!?
  2. JamiiForums Tanzania Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  3. JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
  4. JamiiForums Tanzania H.polepole asikilizwe ebu angalia

    Tanzania wajumbe wanajipatia BAISKELI za bure nchi nzima, Traole Raisi wa Burkina Faso anapambana kukuza Sekta ya Kilimo nchini kwake wasiwe Wategemezi kwa wazungu.
  5. JamiiForums Tanzania Natengeneza tovuti (website), hii nilimtengenezea mwanajamiiforum angalia

    Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za...
  6. JamiiForums Tanzania Natengeneza tovuti (website), hii nilimtengenezea mwanajamiiforum angalia

    Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za...
  7. JamiiForums Tanzania Angalia Japan ilivyokuwaga Katili

    Hebu cheki Japan ilivyokuwaga katili dhidi ya China na mataifa mengine ya Asia. Ilikuwa katili km Ujerumani na iliua wachina milioni 26; ila watu bado wanaiomea huruma kupigwa mabomu ya nuclear ambayo yote yaliua watu km 200k tu when wao wameua mamilioni
  8. I

    JamiiForums Tanzania Angalia hi uone watu wanavyo sumbuliwa na imani

    Kanali wa Kikosi cha Walinzi wa Kifalme wa Saudi Arabia ameshiriki safari yake ya kusisimua na ya kihisia kutoka kuwa mtetezi mwaminifu wa Ufalme wa Kiislamu hadi kuwa mfuasi wa Yesu Kristo — uamuzi uliokaribia kumgharimu maisha yake. Katika video hii, Muhammad, aliyewahi kuwa afisa...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna shuhuda nyingine zinatia ukakasi. Angalia hii

    KAMA PICHA INVYOJIELEZA
  10. JamiiForums Tanzania Fatma Mwasa: Rais Samia ametoa TZS327bn kwaajili ya barabara za mkoa wa Kagera| Angalia hii orodha uone kama kuna barabara inakuhusu kwa safari zako

    https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
  11. JamiiForums Tanzania Ulijisikaje au ulikuwa na reaction gani pindi una angalia movie /series za kutisha sana , hasa nyakati za usiku

    Habari wanajukwaa , Wana nzengo katika jukwaa hili .... Leo tuongee jambo , ULIJISIKIAJE pindi una ANGALIA MOVIE / series za KUTISHA SANA yaaaani zile Kila dakika ni KUTISHA tuu Mimi muda huu naangalia ya KUTISHA balaa inaitwa The Strain....yaaaani ni series ya kuhusiana. Na virus na...
  12. JamiiForums Tanzania UTAPELI: njia za kuingiza kipato Kwa kuangalia video tiktok,YouTube na kulipwa!

    Salamu wakuu! Picha linaanza unafatwa kwenye comment labda umechangia mada flani TikTok Kuna Fursa ya kujiingizia kipato Kwa siku kama itakupendeza niandikie neno nifundishe wanaweka na namba ya kumcheki, Sasa ikishamcheki direct atakutumia video nyingi za kukuonesha watu wanavyo ingiza...
  13. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua maCCM ni Wahuni Angalia Athony Mtaka Alivyofichwa

    GT Wakuu such a potential person una mficha kwa madhumuni gani. Huyu jamaa kama JPM angekuweoo lazima angepewa nafasi kubwa sana kusimamia serikali. Najua kabisa moyoni ana majonzi analia kilio cha Samaki but he is a great Man wahuni hawataki kabisa kumsogeza mbele maana hawezi kukubali...
  14. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujijua kuwa kama una positive Energy angalia hizi sifa

    Kama unataka kujijua kuwa Una positive energy. Hizi ni baadhi ya sifa. -Ukiona unapendwa Sana na watoto wadogo 1-5 , watoto wadogo Mara nyingi wana uwezo wa Ku-sense positive Energy -Ukiona ukikaa sehemu panastawi na watu unaokaa nao wanastawi pia. -Ukiona Una uwezo wa kuunganisha watu mfano...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli daima utajitenga na Uongo: Angalia busara za John Pambalu

    Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga. Kumbe sio ndoto ni kweli: Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda. Then next page kuna hii: Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki...
  16. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

    GT Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
  17. JamiiForums Tanzania Unapomkosoa mtawala Dikteta au nchi za kiafrika Kwanza angalia mtazamo wa mtawala juu yako. Je ni positive au negative?

    Habari za Leo! Unapomkoaa Boss au mtawala au kiongozi wako. Moja ya mambo muhimu ya kuzingatia ni mtazamo wake juu yako. Je ni Negative au positive? Kama mtazamo wake ni Negative, hata ukimkosoa kiungwana na kiupole kwake ataichukulia kama dharau, chuki na vita. Hivyo majibu yake yanaweza...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete CCM ina Wazee unawaita Wazee kwenye hili angalia hatua zako mbele kuna shimo kubwa

    Mh Rais Mstaafu Jakaya Kikwete naomba kukung'ata sikio ila pia naomba pia sio lazima chukua wazo langu mimi ni mdogo sana ila natamani kuona ccm na Taifa lina kuwa tulivu na ccm ina tawala hata kama miaka mia ila zingatia haya. Wewe ni Rais mstaafu kama wastaafu wengine wa serikali epuka kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Angalia jinsi Chauma "walivyosepa na kijiji" Tabora, umati ni maelfu kwa malaki, wasipuuzwe, wanakamata nafasi chama kikuu cha upinzani

    Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora! Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Angalia na usome hii meme na usicheke

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…