angalia

Angalia (Tazama) - Neno hili linamaanisha kuelekeza macho kwenye kitu fulani ili kukiona.
  1. JamiiForums Tanzania Angalieni hii ramani ya nyumba alafu mnishauri kitu

    Ndugu Je hii ramani inaenea kwenye eneo la aquare mita 150 na kubakiza sehemu ya kupaki kagari na kuanika nguo.... Naombeni mawazo yenu ikibidi sana naombeni na vipimo Mimi nilikuwa na waza icheze kwenye square mita 72 au 81 square meter... Naombeni mawazo yenu na vipimo vizuri kadiri muwezavyo
  2. JamiiForums Tanzania Angalia huu udhaifu mkubwa kwenye akili ya binadamu ambao wanaojipa title ya mamlaka wanautumia kwa maslahi yao

    ‎Mwaka 1961, mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Yale, Stanley Milgram, alifanya jaribio ambalo lilionyesha jinsi ubongo wa binadamu unavyofanya maamuzi unapokua chini ya mamlaka fulani na kuibua swali zito kuhusu utii wa binadamu kwa mamlaka. ‎ ‎Katika jaribio hilo linalojulikana kama Milgram...
  3. JamiiForums Tanzania Kama mkristo ama muislam uko kwenye mfungo inakuhusu angalia kabla ujawa unapoteza swaumu yako..mbarikiwe mmalize salama

    5 Things You Must Remove From Your Life Before Fasting Fasting is not just about stopping food — it is about preparing your spirit to host God. If these things remain in your life, your fasting may become hunger strike instead of spiritual power. 1. Unforgiveness If you are still holding...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna muda mwingine naona sheria za Tanzania zipo kwa sisi wananchi wa kawaida sio viongozi. Embu angalia hii

    Kukamatwa kwa wachina wakadai bilioni 6 sijui walihesabu vipi baadae taarifa inasema bilioni 2 wametangaza labda wamechota wakati wa kubeba. Sasa unapotaka sheria embu fanya hivi ingia nyumba za wakubwa basi si walikuwa wanajipost
  5. JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu baada USA kumkamata raisi wa Venezuela kulikuwa na ajenda ambao walijitokeza wakiwa upande wa CCM na account zao,Haya angalia na hii

    Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii . Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka. Hili group la CCM lina amrisha sana .
  6. JamiiForums Tanzania Angalia usanii wa wanaojiita wanaharakati

    Polepole hakua mjinga atoke cuba na kuja nchini kuhamasisha UKOMBOZI ilihali akijua usalama wake upo rehani, hii ni mbinu ya UKOMBOZI lazima uwe tayari kuwa sadaka ili wengine waone dhamira ya dhati huwezi waambia watu tupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yetu wewe upo abroad nje ya nchi unaishi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Angalia Tume HURU ya KUJICHUNGUZA

    TUMÉ HURU YA KUJICHUNGUZA......
  8. JamiiForums Tanzania Makampuni mengi ya sanaa,umisi yana nini angalia hii

    kuna media ilikuwa inaongoza kwa kupendwa na watoto na watoto wengi wamejikuta wakiwa kama mazombi au umaskini wa ajabu.
  9. JamiiForums Tanzania Israel yaangalia uwezekano wa kuishambulia tena Iran!!!

    🚨 Israel yaionya Marekani: Majaribio ya Makombola ya Iran yanaweza kuficha shambulizi la Iran dhidi ya nchi yake. Maafisa wa Israel wameutahadharisha utawala wa Trump kwamba zoezi kubwa la kombora la IRGC huenda likawa kificho kwa shambulio la kushtukiza linaloweza kutokea dhidi ya Israel...
  10. JamiiForums Tanzania Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram

    Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA. Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Heche angalia usalama wako maana umewataja wenye bunduki , risasi, vifaru, magari ya deraya na zana zote za maangamizi duniani

    Just kutoa tahadhali! Angalia maisha yako, chukua tahadhali. Tetesi: eti wa kule wamemkolimba kuficha ushahidi wa MO 29!
  12. JamiiForums Tanzania KERO Angalia vyanzo vyote hivi vya maji, na wananchi wa Morogoro wanateseka na maji. Hii nchi ina akili?

    Vyanzo kuu vya maji vya Mkoa wa Morogoro: 1. Mito mikuu: · Mto Wami - unaopita Morogoro mjini · Mto Mgeta/Ruvu - ni tawimto muhimu · Mto Mkondoa · Mto Ngerengere 2. Milima na Mito Midogo: · Milima ya Uluguru - huchota mvua nyingi na kuleta mito mingi. · Mito ya Uluguru (kama...
  13. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Serikalini hakuna mwenye akili angalia Press ya Msigwa muda mchache ujao

    Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa. Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu. Tuhuma...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell

    Angalia hii then unitofautishie kati ya Idd Amin Dada na deshi deshi. My self I can't tell. Kulingana na kinachoendelea https://youtube.com/shorts/I37o60xwIYE?si=tIJ8dUV13hfkSZ_h
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kabla hujatoka kuandamana tarehe 9 Disemba angalia hii picha

    Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda. Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao. Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kuandika kuhusu PAPU taarifa zimeongezwa angalia mishahara yake

    Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo...
  17. JamiiForums Tanzania TEHAMA | Angalia Hoja Hizi Kisha Toa Maoni

    Jacob Mfadhili Sio kama sifahamu iyo C , lakini chai ya mtoto(mpya) haiwezi kuwa ya moto kama mkubwa (expert)kaka ,, Mimi nakuelewa unapo mwambia mtu ajifunze low level ama assembly ama C, mueleze pia gharama za matumizi yake, mtu Hana hata uwezo wa kununua PC mfano, alafu ajifunze C kuna muda...
  18. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mwanamke ni msafi angalia miguu yake

    Take Note.
  19. JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  20. JamiiForums Tanzania Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…