Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!!
Kama unamjua mtu wa namna hiyo au ni wewe mwenyewe unaweza Kuja dm au comment namba ya simu, nitakupigia
Habari zenu, kwa mwaka sasa nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la Sinus tachycardia, nimetumia propranolol miezi kibao ila zimenisaidia kupunguza maumivu tu ila sijapona.
Mwenye tiba ya huu ugonjwa anipe suluhishi maana doctor aliniambia hiyo hali ukitumia dawa itatoweka ila hakuna kilichosaidia...
Wakuuu asalam asifiweee
Moja kwa moja to the point, nimekuwa natumia windows 10 pro, imekuwa ikinidai kuactivate windows mara kwa mara
Mara ya kwanza nilitoa hela kusaidiwa kuactivate sasa jamaaa akaweka external yake akafanya anavovijua chap chaoa huku akinificha akawa anatumia commands...
Hali ya kisiasa miaka hii ni ya utata sana, matumizi ya pesa kutoka kwa viongozi ni kufuru, siku hizi tunapewa majiko ya gesi bure bila kuomba, tunapewa matukutuku bure, mabaisikeli bure bila kuomba!
Na maokoto bure japo tunaitwa chawa wakati sisi si wachafu huku wansotubeba ndio wachafu! Yote...
Namna ya kufungua na kumiliki akaunti benki kuu ya Tanzania ,namna ya kununua na kumiliki bondi ,faida zake nakadhalika!Nimeuliza hivi kwa sababu ninataka nimshauri kaka yangu afanye nini hasa akijiandaa kustaafu kazi ndani ya miaka 5 ijayo
Habari wana jf nimeona kozi mpya chuo cha maji pale ubungo. Wameanza kutoa bachelor in plumbing and service engineer naombeni msaada kwa anayeijua vizuri fursa zake au changamoto zake
Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na vyuo vya uvuvi kwa ngazi ya diploma . Matokeo yake yanaruhusu nimejalibu kufuatiria website ya feta hakuna taarifa wizara ya mifugo na uvuvi pia sijaona chochote naomba kwa mwenye ufahamu anaipe ualewa zaidi.
Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu.
Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu.
Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru.
Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi...
Nimejaribu kusoma na kufuatilia habari mbali mbali za Mashariki ya Kati naona kama ulimwengu mzima upo gizani bila ya kujua nini hasa kifanyike ili Mashariki ya Kati kutulie.
Jee Dunia nzima hatujui nini kifanyike ili watu wa Mashariki ya kati waishi kwa amani?
Ni ajabu sana mpaka leo, wanasayansi hawajaweza kujua idadi kamili ya nywele za mtu. Wana-estimate tu.
Scientists and researchers estimate the average number of hairs based on hair type and color. On average:
Blondes: ~150,000 hairs
Brunettes: ~110,000 hairs
Black hair: ~100,000 hairs
Redheads...
Funzo; Kama nchi, ni bora kupambana ili kujitegemea kuliko kutegemea misaada mana kuna muda nchi tajiri zinapata marais watata kama Trump. Leo kaanza na Lesotho, kesho nani? Trump anajiamini kupitiliza kwa sababu ya utajiri wake na ni bebari wa kiwango cha juu mpaka Ukrain kasalimu amri.
Habari...
Salaam wakuu,
Kuna usemi kwamba siasa za Afrika zinafanana.
Hakainde Hichilema Namfananisha na mpinzani flani wa nchi flani ya waliolala.
Je, kuna mambo makubwa yapi amefanya mpaka sasa kuliko maraisi waliopita hapo Zambia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.