anapaswa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI? Anaandika, Robert Heriel Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
  2. S

    Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa. Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali. Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
  3. Spika Tulia Ackson anapaswa awajibike kwa kujiuzulu, kutokana na kutamka kuwa anayemsema vibaya Rais Samia, anapaswa ashughulikiwe!

    Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya. Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa...
  4. D

    SoC02 Hakuna mtoto wa bahati mbaya, Anastahiki uwepo wako. Kila mtoto anapaswa kuzaliwa kwa wazazi waliotayari kuwa nae

    VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI SABABU DAIMA TENDO LA NDOA LINA ATHARI ZA DAIMA KWENU NA KWA WATOTO WENU. "Natamani nikipata mtoto...
  5. A

    SoC02 Je, ni nani anapaswa kusimamia suala hili?

    Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii. Madhara haya yamekua moja kwa moja katika afya yao ya akili na kusababisha kushindwa kushirikiana na...
  6. Sipendezwi na jinsi inavyolazimishwa sasa CDF kuwa chini ya Waziri wa Ulinzi 'Kiprotokali' wakati Waziri wa Ulinzi ndiyo anapaswa kuwa chini ya CDF

    Hakuna Kitendo Kimenishangaza na Kimeniuma kama kuona Juzi CDF na Chief of Staff wake wakienda Kiunyonge na Kiuhuruma kwa Waziri wa Ulinzi Kujitambulisha. Sijawahi kuona popote pale Waziri wa Ulinzi anakuwa Juu ya Jeshi tena Kiprotokali wakati Jeshi ni Serikali Kificho ya Kimedani na...
  7. Wababe wa vita walioogopwa sana na wazungu lakini maisha yao yakaishia pabaya, Putin anapaswa kujifunza kwao

    1. Napoleon Bonaparte Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku. Alihamishwa kabisa...
  8. Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

    Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
  9. Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

    Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao...
  10. J

    Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

    Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19. Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema...
  11. B

    Ni nani anapaswa kujitathimini Kati ya Jeshi la Polisi na Chama cha Mapinduzi?

    Binadamu tumeweka siasa Mbele maisha ya watu na utu wao nyuma. Katika kipindi chote ambacho matendo maovu ya Jeshi la Polisi yanafanyika hakuna aliyewahi kusikia Chama cha Mapinduzi wakikemea. Tumesikia namna mwanachama wa CCM Bwana Sabaya alivyokuwa anakamata walinz wake nakuwapiga Kisha...
  12. Mtoto anatakiwa kunyonya maziwa ya mama kwa muda gani?

    Habari, Huu ni uzi kwa ajili ya watoto naomba kuuliza kama. Una uzoefu au wewe ni Dr. Naomba kuelimishwa. Je, mtoto mchanga anatakiwa kunyonya maziwa ya mama kwa muda gani? Kuna watu wanasema miezi 6 bila chochote. Ukimpa maji ataumwa tumbo ukimpa chakula mapema namaanisha uji, hatofanana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…