Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makala umetoa matamko sana tangia ule kiapo cha kuwa Mkuu wa Mkoa, cha ajabu hakuna linalotekelezwa hata moja
1) Ulianza na machinga ukachimba biti weeeh mwisho siku hakuna lililotekelezwa.
2) Ukaenda kukagua mradi wa mwendo kasi Mbagala ukachimba biti ukatoa siku 3...