Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,220
- 26,031
Umetoa maagizo juu ya machinga halafu huyafuatilii.
Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena!
Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.
Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!
Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta uchafu uleule unaanza kurudi tena, nimeenda Mbezi nako hapafai!
Kama hamziwezi izo kazi semeni, kuanzia wewe, Wakuu wako wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri.
Watanzania wanaotoa maagizo na kuyasimamia utekelezaji wake bila kuchoka wapo wengi sana