amos makalla

Amos Gabriel Makalla (born 16 September 1971) is a Tanzanian CCM politician and has been a Member of Parliament for Mvomero constituency since 2010. As of 2013, he was the Deputy Minister of Information, Youth, Culture, and Sports.Makalla received his Masters of Business Administration degree from Mzumbe University.
As of 2018, Makalla was Regional Commissioner for Mbeya.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa asema tayari hatua zimechukuliwa dhidi ya Amos Makalla kuhusu CHADEMA kununua virusi vya M-pox na Ebola

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla. Katika barua yake, Msajili ameeleza kuwa tayari ofisi yake ilishachukua hatua...
  2. mwanamwana

    PreGE2025 ACT Wazalendo yamtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kumchukulia hatua Makalla kauli ya CHADEMA kutaka kupandikiza M-Pox na Ebola nchini

    Chama cha ACT Wazalendo kimemwandikia rasmi Msajili wa Vyama vya Siasa malalamiko dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amosi Makalla kutokana na matamshi yake ya madai kuwa CHADEMA kinaendesha harambee ya kununua virusi vya M-pox na Ebola kwa lengo la kuzuia uchaguzi mkuu wa...
  3. GENTAMYCINE

    PreGE2025 Hivi ni kweli CCM mmemtuma Msemaji wenu Amos Makalla aseme huu UCHAFU ambao kiukweli unawatia AIBU?

    Nimejiuliza maswali mengi sana na nimebakia tu kuwa na Aibu kwani CCM ni Chama ambacho nakishabikia (japo siyo Mwanachama) na yawezekana kwa huu UCHAFU ambao uko Ubongoni mwa Msemaji wa CCM Amos Makalla ukanifanya niendelee kuwa Mzito wa kutaka kuwa Mwanachama halali wa CCM. Hivi CCM ambaye...
  4. Zanzibar-ASP

    Wanachama wa CCM wanakiri wazi wazi kuwa Wasira na Makalla ni mizigo mizito kwa Chama chao, hawatoshei kabisa

    Kama kuna vitu vya ovyo ambavyo vimewahi kufanywa na mwenyekiti wa CCM katika utendaji wa CCM basi huenda ni uteuzi wa Stephen Wasira kuwa makamu mwenyekiti wa CCM na Amos Makalla kuwa katibu mwenezi Wanachama wa CCM taifa. Wanachama wa CCM wengi kwa sasa wanakiri wazi wazi kuwa hao jamaa ni...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    Rais Samia mteue haraka Paul Makonda au Humphrey Polepole kuchukua nafasi ya Amos Makalla

    Huyu mtu uliyetuwekea kuwa katibu mwenezi uwezo wake ndio kama hivyo tena, fanya hima kuteua mmoja kati ya hawa niliokutajia, hawa ndiyo wanatakiwa huku mtaani. Vinginevyo utaaibika mama, usidhani kuwa waliokuzunguka wanakupenda. Asante.
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Absalom Kibanda ahoji CHADEMA kutaka Habari Leo wachukuliwe hatua badala ya Makalla, asema ni kuingilia Uhuru wa Habari

    Yaani hii imenishangaza kwakweli, inakuaje aachwe aliyetamka halafu lawama liende kwenye gazeti? Yaani ni kama vile hawajamuona Makalla kabisaa kwa kwenda kulishukia gazeti. Au wanakubali alichokisema Makalla, maana hata kusema wanazua taharuki bado hawajakana alichosema Makalla Pia soma Pre...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Habari Leo waondoa taarifa ya Makalla kuwatuhumu CHADEMA kutaka kusambaza Ebola, wasema haikuwasilishwa kwa usahihi

    Wakuu, Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke? Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya inaondoa the fact kwamba Makalla ametamka upuuzi huo? Pia soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka...
  8. W

    PreGE2025 Zitto asema kauli ya makalla siyo 'Uenezi' bali ni 'Unazi', amtaka aifute na kuomba msamaha

    Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini. Kupitiaukurasa ake wa X Zitto ameandika: "Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu...
  9. W

    PreGE2025 Richard Mabala ataka Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola au achukuliwe hatua kwa kusema uongo

    Mwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa kusema uongo, ameandika; "Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA wadai kauli ya Makalla inafukuza Watalii, wataka gazeti la Habari Leo wafunguliwe kesi

    John Heche awa Mbogo kuhusu Makalla kudai CHADEMA italeta Mpox na Ebola, 'Ni mjinga na mhujumu uchumi' ataka Habari Leo wafunguliwe kesi Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
  11. R

    Msajili wa vyama vya siasa, kama unaweza kum summon Mnyika kuhusu No reoforms No election, basi Amos utamsummon kwa m-pox na ebola saga

    Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka. Soma Pre GE2025 - CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Amos Makalla: Rais Samia anaingia kwenye rekodi ya Marais bora Afrika

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na mambo aliyoyafanya kwa Taifa anaingia katika rekodi ya Marais bora Afrika. "Mimi nimewahi kuwa Bungeni, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uongozi wake ndio Rais anayeingia...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi, labda Uchaguzi wa Ukoo

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Chadema hawawezi kuuzuia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka huu, kwani upo kikatiba na sheria. Makalla ameyasema hayo Jumamosi Machi 22, 2025 akizungumza na wanachama wa chama hicho mkoani Simiyu...
  14. Upekuzi101

    Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

    CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike. Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na...
  15. ChoiceVariable

    Madai ya Amos Makalla kwamba Chadema kutaka kupandikiza Ebola & M Pox ili kuzuia Uchaguzi yasipuuzwe na mamlaka

    Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali. Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao. So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia serious haya madai ya Katibu Mkuu wa CCM bwana Amos Makala...
  16. P

    PreGE2025 Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

    wakuu, hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa CHADEMA bila ushahidi ni hatari. Hili si jambo la kuchekewa kwa vyombo vya usalama wala msajili wa vyama...
  17. Mindyou

    PreGE2025 Katibu Uenezi CCM Amos Makalla ameenda China ikiwa ni miezi 4 imebaki mpaka kampeni zianze? China kuna siri gani?

    Wakuu, Kama picha zinavyojionesha Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Amos Makalla ameongoza ujumbe wa NEC ya CCM katika ziara yake nchini China. Makala alikutana na Mkurugenzi Mkuu, Ofisi ya Masuala ya Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara wa IDCPC Rao Huihua mjini Beijing...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makalla Jimbo la Kigamboni mmezidi kujipitisha, msipojirekebisha tutawaengua

    Minyukano ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), inayoendelea kupigania Jimbo la Kigamboni imeuibua uongozi wa Chama hicho unaodai haufurahishwi na vitendo hivyo huku ukiahidi kuwashughulikia iwapo hawata jirekebisha. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  19. Cute Wife

    PreGE2025 Hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika kwenye haki ya wafungwa kupiga kura, Makalla amepotosha!

    Wakuu, Mwaka 2022 Mahakama ilibatilisha kifungu cha 11 (1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na wanaotumikia adhabu ya kifungo cha zaidi ya miezi 6 kujiandikisha ili kupiga kura. Hivyo kwa kufuta kifungu hiki ilifanya wafungwa...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Amos Makalla: Lissu na wenzako (CHADEMA) nendeni mkafanye reforms zenu, CCM imeshafanya reforms za kutosha

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla amesema kuelekea katika uchaguzi mkuu, CCM inaamini imeshafanya reforms za kutosha, hivyo amemshauri Tundu Lissu na wenzake pia wakafanye reforms zao. Amesema wapinzani wanasema CCM ndiyo...
Back
Top Bottom