amos makalla

Amos Gabriel Makalla (born 16 September 1971) is a Tanzanian CCM politician and has been a Member of Parliament for Mvomero constituency since 2010. As of 2013, he was the Deputy Minister of Information, Youth, Culture, and Sports.Makalla received his Masters of Business Administration degree from Mzumbe University.
As of 2018, Makalla was Regional Commissioner for Mbeya.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    PreGE2025 Makalla: CCM na Vyama 18 wapo tayari kwa uchaguzi wale wenzetu hawajasaini hawatoshiriki

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka watanzania kusimama na Rais Samia Suluhu Hassan katika kulinda amani iliyopo nchini kwani Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine. Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla alieleza hayo wakati akizungumza na...
  2. Just Pray

    PreGE2025 Video: Makalla, Wapenzi wa Simba na Yanga msiwaunge mkono Chadema muda utakapofika

    “Wapenzi wa Simba na Yanga msiwaunge mkono Chadema muda utakapofika “ Makalla
  3. Carlos The Jackal

    PreGE2025 CCM kupitia Makalla imesema haina muda wa kufanya mabadiliko

    Jionee mwenyewe Ndugu Mtanzania
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Amos Makalla: CCM haijiweki yenyewe madarakani, Watanzania ndio wanaamua

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu. Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM...
  5. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Makalla aburuzwa Mahakamani kwa kauli yake kuwa CHADEMA inataka kununua Virusi vya Mpox na Ebola ili kuzuia uchaguzi

    Dawson Kagine kupitia Mtandao wa X, amesema kuwa ''Amos Makalla ashtakiwa Kwa kesi ya Jinai. Mimi na ndugu Yangu wa damu Martin Maranja tumemshataki Ndugu Amos Makalla Kwa matamshi yake ya kijinai kwa kuwaambia Watanzania kwamba CHADEMA inachangisha tone tone ili inunue virusi vya MPOX na...
  6. J

    PreGE2025 Amos Makalla: Rais Samia ametuhakikishia Tanzania ni salama

    •Nchi yetu ni salama, mipaka yetu ni salama chini ya uongozi wa Dr Samia Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa hali ya usalama Tanzania ipo shwari chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye Amiri...
  7. Mindyou

    PreGE2025 Lindi: Wanachama 50 wa ACT Wazalendo, watimkia CCM kwenye mkutano wa Amos Makalla

    Zaidi ya wanachama 50 wa Chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM), wakisema walichojifunza upinzani ni ukaidi na vurugu na sio kufanya mambo yenye manufaa kwa wananchi. Wanachama hao wamepokewa leo Aprili 13,2025 na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Makalla: CHADEMA hawatakuwepo kwenye uchaguzi, Asije akawadanganya mtu eti watakinukisha, akanukishe yeye na familia yake

    Wakuu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakina fursa wala mipango ya kuwanufaisha wananchi, zaidi ya maneno matupu na kampeni ya kuomba michango, na kwamba...
  9. Mindyou

    PreGE2025 Katibu Uenezi CCM Amos Makalla: CHADEMA wanapumzika wamechoka huu mwendo hawauwezi na sisi tumewakubalia

    KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema wamewakubalia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupumzika. Aliyasema hayo April 13 wakati akizungumza na wananchi wa Tarafa Lionja, Kata Lionja, Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, waliofika kumpokea...
  10. Dalton elijah

    PreGE2025 Makalla: Nikiangalia Vyama vya Upinzani ni kama havipo

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameyasema hayo, leo, Aprili 13, 2025, Lindi Mjini, katika...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Serikali Kulipa fidia ya Shilingi Bilioni 6 kwa wananchi wapisha ujenzi wa Kiwanja wa Ndege Kilwa Masoko

    Serikali imeahidi kulipa madai ya fidia ya shilingi bilioni sita kwa wananchi waliotoa maeneo yao ili kupisha ujenzi wa Kiwanja wa Ndege Kilwa Masoko mkoani Lindi kabla ya Juni 30 mwaka huu. Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Fedha Dkt.Mwigulu Nchemba kwa njia ya simu wakati Katibu wa NEC...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 CCM yapokea Wanachama wengine zaidi ya 70 kutoka CUF, wakiongozwa na Vedasto Ngombale

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea wanachama wapya zaidi ya 70 kutoka Chama cha Wananchi (CUF), wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kaskazini, Vedasto Ngombale. Wanachama hao walipokelewa jana, Aprili 10, 2025, na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
  13. W

    PreGE2025 Amos Makalla: Mwaka huu CHADEMA wamepumzika, Kama hawatoshiriki uchaguzi watashiriki mwaka 2030

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika. Ameyasema hayo Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Somanga, mkoani hapa mara baada ya kukagua maendeleo ya Daraja la Somanga-Mtama...
  14. L

    PreGE2025 CPA Amos Makalla atua Kusini mwa Tanzania kwa kishindo hii leo. Apokelewa na maelfu ya watu

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makalla. Ametua kwa kishindo na kupokelewa na maelfu ya wananchi mkoani Lindi. Ambapo katibu Wetu Msomi mahiri na mtaalamu wa mahesabu na mwenye uzoefu mkubwa sana ndani ya serikali na chama. Amefanya...
  15. Emilio Mzena

    Hofu ya no reforms no election; Amos Makalla atangaza ziara ya kusini

    Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani. CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10 mpaka 18 mwaka huu. Hiyo ni baada ya kijiji anachozoa Tundu Lissu na John Heche huko kwenye ziara yao...
  16. L

    PreGE2025 Picha: Katibu Mwenezi CCM, Amos Makalla amtembelea hospitali Mwenezi wa BAWACHA aliyedaiwa kushambuliwa na mlinzi wa Heche

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo , unyenyekevu na ukarimu wa hali ya juu sana,ndio chama chenye kujua kila mtu anathamani na mwenye...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Makalla amjibu Heche kuhusu kukomesha kubeti kwa vijana, auliza watakomeshaje wakati hawashiriki uchaguzi?

    Wakuu, Mambo yanazidi kuchangamka huko, ni bandika bandua! ===== katibu wa NEC Itikadi Mafunzo na Uenezi Taifa Amos Makalla amemjibu Heche kuhusu kukomesha kubeti wakiingia madarakani. Ameuliza CHADEMA watakomeshaje wakati hawashiriki uchaguzi? Je, hilo lipo kwenye ilani yao? Kama ipo...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Amos Makalla: Vyama viko vingi vitashiriki uchaguzi, sio lazima CHADEMA

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kuwa uchaguzi utafanyika hata bila ushiriki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwani vyama vingine vingi vimeshajipanga kushiriki. Akizungumza kwenye mkutano wa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makala avishwa vazi la kichifu Mufindi - Iringa

    Katibu wa Siasa, Itikadi, uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Amos Makalla akivishwa vazi la uchifu la kabila la Wahehe akiwa Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: Mbeya itabaki kuwa ngome ya CCM

    Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi na Mafunzo, Amos Makala, amesema Mbeya itabaki kuwa ngome ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hakuna jimbo ambalo watamwachia mtu. Amesema kata zote zitakuwa chini ya CCM na vivyo hivyo kwa majimbo. Makalla, ameyasema hayo leo, jijini Mbeya, wakati...
Back
Top Bottom