amos makalla

Amos Gabriel Makalla (born 16 September 1971) is a Tanzanian CCM politician and has been a Member of Parliament for Mvomero constituency since 2010. As of 2013, he was the Deputy Minister of Information, Youth, Culture, and Sports.Makalla received his Masters of Business Administration degree from Mzumbe University.
As of 2018, Makalla was Regional Commissioner for Mbeya.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    PreGE2025 CPA Makalla: Hakuna mwenye ubavuwa wa kuzuia Uchaguzi Mkuu 2025, awataja Lissu na Heche

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema hakuna Chama au Kikundi Chochote Chenye Uwezo wa Kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu. Makalla ametoa Kauli hiyo mei 21, 2025 akizungumza na Wananchi Jijini Mwanza kupitia...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makalla ampasua Martha Karua: 'Tanzania Ni Taifa Huru Lenye Dola Imara

    Katika kile kinachoonekana 'kukazia' kauli iliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya Tanzania, Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
  3. W

    PreGE2025 Makalla: Wanasema wakishika nchi watawalipa Watanzania pensheni, sasa huendi kwenye uchaguzi utashikaje nchi?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kuwa mwalimu wa vyama vingine ili waendelee kujifunza kwao. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, CPA Amos Makalla, ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bukoba Mjini, mkoani Kagera, katika ziara...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

    Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: Rais Samia ana mchango mkubwa sana kwa timu ya Simba kufika fainali

    Chama cha Mapinduzi CCM kinaitakia kila la heri timu ya Simba katika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho "Rais Samia ana mchango kwa Simba kufika fainali kupitia hamasa ya goli la mama" -Amos Makalla katibu Mwenezi wa CCM.
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: CCM kuzindua Ilani mpya ya 2025–2030 na kufanya marekebisho ya Katiba katika Mkutano Mkuu Maalumu Mei 29–30

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha...
  7. CM 1774858

    PreGE2025 PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka

    Cde CPA Amos Makalla akiongea na Wananchi wa Kilosa. KILOSA: Inasemekana kwa mara ya kwanza Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Cde CPA Amos Makalla amehutubia mikutano mikubwa zaidi akiwa Wilaya ya Kilosa kuliko Wilaya yoyote hapa Tanzania bara na visiwani aliyofanya ziara akiwa Mwenezi wa...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Amos Makalla: Uchaguzi hauwezi kusogezwa, CHADEMA jipangeni 2030

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030. Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Makalla: Kuna mgogoro mkubwa ndani ya CHADEMA, inaenda kufa, Heche msitafute mchawi

  10. Ojuolegbha

    PreGE2025 Amos Makalla: Heche usirushe mawe ukiwa nyumba ya vioo

    HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao. Makalla amesema...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makalla: Changamoto za barabara, kukatika kwa umeme katika Wilaya za Ulanga na Malinyi zinashugulikiwa

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema kuwa pamoja na mafanikio ya miradi mingi ya maendeleo, amepokea pia changamoto kadhaa zikiwemo za barabara, ucheleweshaji wa miradi ya maji, matatizo ya mawasiliano, na kukatika kwa umeme katika Wilaya...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: Watanzania wameridhika na Utekelezaji wa Ilani, ushindi ni wa CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema ushindi mkubwa wa CCM katika maeneo mbalimbali ni ushahidi wa wananchi kuridhishwa na utekelezaji mzuri wa ilani ya chama hicho, pamoja na miradi iliyotekelezwa na...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Amos Makalla apiga goti akiomba kutogombea ubunge Mvomero

    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, CPA. Amos Mkalla, amepiga goti kuwaomba wakazi Mvomero, wamruhusu aendelee kumsaidia Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dk. Samia Suluhu Hassan na kwamba sasa siyo wakati muafaka kwa yeye kugombea Ubunge kwa kuwa, ana kazi kubwa aliyepewa na Mwenyekiti wake katika kazi...
  14. W

    PreGE2025 Makalla: Hakuna chama chenye mamlaka ya kuzuia uchaguzi

    Chama cha Mapinduzi CCM kimesema hakuna chama chochote ambacho kina mamlaka ya kuzuia kufanyika kwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika October mwaka huu na siyo matakwa ya chama hicho kufanya uchaguzi bali wanafuata kanuni na sheria za katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kutaka...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Amos Makalla ajipika kwa Machifu wa Waluguru Morogoro, sasa anaitwa 'Mbokeleni'

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla akisimikwa Kuwa "Mbokeleni" - Jina la Kichifu kwa Waluguru. "Mbokeleni" - jina la heshima la kichifu kwa jamii ya Waluguru. Hafla hiyo imefanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Morogoro, chini ya uongozi wa machifu wa...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Wanachama 54 CHADEMA Morogoro Vijijini wahamia CCM, wakabidhiwa Kadi na Amos Makalla

    Wanachama 54 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Morogoro vijijini wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wanachama hao wamerejesha kadi za CHADEMA na kukabidhiwa kadi za CCM na katibu wa NEC itikadi, siasa na mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: Kukamilika kwa SGR ni matokeo ya Utawala bora wa CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema kukamilika kwa miradi mikubwa ya kimkakati nchini, ikiwemo Reli ya Kisasa (SGR), ni matokeo ya sera madhubuti na mipango thabiti ya CCM inayolenga kuwaletea maendeleo...
  18. W

    PreGE2025 Amos Makalla: CHADEMA wapo kwenye harakati za kufanya Tanzania isitawalike

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kuwa baada ya uchaguzi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitageuka kuwa kama jukwaa la harakati kwa sababu wamepoteza muelekeo na malengo ya chama cha siasa ambayo lenho kuu...
  19. Manjagata

    PreGE2025 Porojo za CCM: Wanamdanganya nani?

    Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CPA Amos Makalla: CCM itafanya kampeni za kistaarabu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CCM CPA Amos Makalla akieleza namna chama hicho tawala nchini kilivyojipanga kufanya kampeni za kistaarabu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025 Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Back
Top Bottom