amerika

  1. Echolima1

    Wahamiaji 225 wakikutoka Amerika kaskazini watua kwenye uwanja wa ndege wa Ben-Gulion

    ✈️🇮🇱 Siku ya kihistoria nchini Israel, safari ya 65 ya ndege ya kukodi ya aliyah ya Nefesh B’Nefesh ilitua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion, na kuleta olim wapya 225 kutoka Amerika Kaskazini. Ndege hiyo ilibeba watoto 125 (mtoto wa mwisho akiwa na umri wa miezi 9 tu), wasio na...
  2. M

    Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  3. The Father of All

    Ni kweli kuwa Afrika, Amerika, na Australia hakuna sehemu takatifu isipokuwa Asia na Ulaya au ni bangi na uzwazwa wa imani?

    Makka "al kahaba" iliyokuwa na vinyago kwa mamia Yerusalemu mji wa mwenda usiku Vatican pamoja na kashfa za ngono Ukitazama mabara yote, ni mabara mawili yenye kuwa na sehemu 'takatifu' isipokuwa Asia na Ulaya. Utasikia miji mitakatifu ya Makka na Madina (mji kwa kiarabu), Yerusalem, na hata...
  4. Webabu

    Hiki ndicho walichogundua Amerika ikabidi kuiokoa India kutokana na kipigo cha Pakistan

    Baada ya siku mbili tu za majibu ya Pakistan kupitia opereshi Marsoos tulimsikia Mark Rubio wa Marekani akisema wamepata intelijensia na wakatumia usiku mzima kuzungumza na waziri mkuu wa India,Modi ili kufikia suluhu ya kusitisha vita haraka.Tukawa tunajiuliza ni habari gani hizo za siri...
  5. secretarybird

    Msemo usemao 'Christopher Columbus aligundua Amerika'ufutwe mara Moja na usitumika wakati wa kuwafundisha wanafunzi wa Tanzania

    Kwa miaka mingi tumekuwa tukiwatukuza wazungu kwa vitu vya ajabu ambavyo ukikaa na kutafakari utagundua kuwa na upuuzi mtupu. Mi huwa najiuliza kuwa Columbus alipoenda America hakukuta watu? Kama alikuta watu kwa nini tumwite mgundizi wa America wakati hata wale aliowakuta hawajawahi kudiriki...
  6. TUKANA UONE

    Baadhi ya Watanzania waishio nchi za Ulaya na Amerika Wana matatizo ya Afya ya Akili

    Wakati ninapokuwa Sina kazi ya kufanya nikiwa nimepumzika,mara nyingi huwa napita pita mitandaoni kutazama hiki na kile ilimradi tu kuipumzisha akili yangu! Nimekuwa nikiona akaunti kadhaa za wabongo waishio nchi za Norway,Finland & Sweden na wachache Canada wamekuwa wakitoa maneno ya dhihaka...
  7. H

    Kwanini Ulaya na Amerika majina kama"Bush",""Liver", "Crew" na "Langstone" yamefanikiwa lakini Afrika majina ya Mohamad, John, Abdala,nk ni masikini?

    Ukitafakari kwa kinahuko ulaya na Amerika wanatumia majina yasikuwa kwenye biblia/quruan na yasiyo na maana kabisa kama"bush",""liver", "crew" na "langstone" wenye majina hayo wanafanikiwa lakini Afrika majina ya kibiblia/quruan yenye asili ya kiarabu na kizungu waliyoaninishwa kuwa ni ya Mungu...
  8. Msela Wa Kitaa

    Mpira wa Amerika Kusini huwa ni vita vita muraaa

    Hapa ni Peru, yasemekana kwenye Peru Cup refaree usipojilinda hatima yako ni hospitali ama kufa kabisa Hapo refa alikuwa ametoa red kwa mchezaji, mbeba vifaa wa timu akaona usitutanie kaokota chupa sema kakutana na refa nae chizi kama wa kwenye mieleka
  9. Crocodiletooth

    Amerika angestahili kumaliza mgogoro kati ya Ukraine na Russia, na kuisaidia Ukraine.

    Toka kiongozi mpya wa Marekani aingie madarakani, ameonyesha ulafi wa rasilimali za nchi zingine / Lakini si kwa namna hii. ---------- The White House says Pres. Trump is "very frustrated" with Ukrainian Pres. Zelenskyy. The Trump administration allegedly pressured Ukraine to sign a deal to...
  10. X

    Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  11. T

    Ni lini na sisi tutakusanya Marais wa ulaya au Amerika au Asia waje kwa pamoja tujadiliane fursa za kibiashara!?

    Najisikia vibaya sana jinsi Marais wetu huitwa kwa hawa ndugu zetu weupe kama vile unaita vitoto vyako vya kuvizaa. Natamani siku ifike na sie Africa kama si Tanzania tuwaite eu au Amerika waje hapa bongo alafu tukae nao mbele ya meza ya duara tujadili kwa usawa kabisa fursa za kibiashara baina...
  12. bahati93

    Nwo washirika na wajumbe

    Ukitafakari matukio ya Ugaidi yanayotokea hapa Duniani, mengi yanaonesha dalili ya kuwepo uhusiano baina yake na mipango ya kuundwa kwa Serikali Moja kubwa kutawala dunia nzima. Wahusika wa wakuu wa mpango huo makao makuu yao yapo Marekani wakiwatumia waislamu kama mojawapo ya vifaa vyao...
  13. L

    Ziara ya Bw. Wang Yi barani Afrika na Latin Amerika yaonesha kuwa China inaendelea kupanua ushirikiano wa kunufaishana duniani

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bwana Wang Yi, amemaliza ziara ya kidiplomasia ya mwaka huu kwa kuzitembelea Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire, ikiwa ni sehemu ya desturi ya zaidi ya miongo mitatu kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara ya kwanza barani Afrika. Lakini safari hii...
  14. L

    Ziara ya Wang Yi barani Afrika na Amerika ya Kusini yaonyesha uhusiano wa kirafiki wa China na nchi nyingine za Kusini

    Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, alifanya ziara barani Afrika na Amerika ya Kusini, ikiwa ni ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2024. Imekuwa ni desturi kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya China kufanya ziara yake ya kwanza ya mwaka mpya katika bara la Afrika, desturi...
  15. tutafikatu

    Acha nikuonjeshe "ninavyojisikia" kuwa Muislamu huku Amerika

    ✅🇺🇸 Baba yangu hakuwa na budi kuwa mtumishi wa daraja la pili kwa mmoja wa madhalimu wengi wa nchi za Kiislamu wanaotumia wahamiaji kutoka India, kama familia yangu, kuwa mtumwa muhimu. Mnamo 1975, baada ya kupata PhD yake huko Rutgers, alikuwa karibu kwenda Libya - nchi ya Kiislamu -...
  16. Gang Chomba

    Kwanini Nyota wa Soka wa Amerika Kusini wanachukiana Ulaya?!

    Kwa wageni wa Soka na watoto waliouvamia mchezo huu kwa kusukumwa na shetani la kamari ndio wanaweza kushangazwa na umwamba wanao wekeana nyota wa klabu ya PSG Edinson Cavani raia wa Uruguay na Neymar jr raia wa Brazil. Lakini kwa wenyeji wa mchezo huu, ambao tulianza kuufuatilia mchezo wa...
  17. R

    FIFA kuandaa Kombe la Dunia 2030 kwenye Mabara Matatu; Amerika Kusini, Ulaya na Afrika

    Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034. Kombe la Dunia la Soka...
  18. J

    Bunge la Amerika lilivyomzuia Rais wao kuridhia DP World kuendesha shughuli za bandari zao

    Mwaka 2006 DP World ya Dubai ilinunua kandarasi ya kuendesha shughuli za Bandari sita za Marekani. Wabunge wa chama tawala na upinzani kwa pamoja waliopinga DPW kupewa kazi hiyo. Wananchi nao walipinga 3:1 katika kura za maoni. Bunge likapitisha muswada wa Sheria kuzuia kampuni za kigeni...
  19. Librarian 105

    Amerika katika njia panda. Atatoboa dhoruba hii?

    Uchumi wake unaendelea kudorora kwa dola yake kuadimika, ukomo wa deni la taifa ni kitendawili.... Electrol collage! Je, tulaumu electrol collage kuchukua nafasi ya wananchi katika demokrasia?!
  20. and 998 others

    Tanzania kuuza magari Japan, Ulaya na Marekani

    Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani) na wasomi nguli waliosomeshwa Kwa Kodi zetu.
Back
Top Bottom