Ukipita mtaani utasikia walokole wakitamba, yaani haya maisha bila Mungu sijui yangekuaje,
Haya madai ya kwamba mungu ndio anasimamia amani ya maisha ya huyu mnyama ni ya Nani, Amekufa Amekufa Amekufa
Nimlete kwenu, mwali mpya, mwali wa asili, mwali asiyejali kuhusu uongo na ukweli, mwali huyu...