amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Israil Taifa Teule Lililobarikiwa na Mungu

  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Baadhi ya Nchi za Kiarabu Haziwaungi Mkono Wa-Palestina?

  3. JamiiForums Tanzania Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

    Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua dereva katika moto.
  4. JamiiForums Tanzania Waislamu wa Burundi walinunuwa Kanisa na kuufanya kuwa Msikiti

  5. JamiiForums Tanzania Afya ya mwanamke: Vitu vitano mwanamke anatakiwa kujua katika sehemu zake za siri

    kuna imani potofu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sehemu za siri za wanawake, mwanamke mmoja ameamua kujitoa kuelezea masuala hayo. Dr Jen Gunter amekua daktari wa kina mama huko Marekani na Canada kwa miaka 25. Ametoa kitabu hivi karibu kinachoitwa biblia ya sehemu za siri za wanawake...
  6. JamiiForums Tanzania Wachungaji wa Tanzania na Wachungaji wa Kenya

  7. JamiiForums Tanzania Wosia wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    "...uwe na uwezo wa kuwaambia jamaa zako na marafiki zako, Ikulu ni mahali patakatifu, Mimi sikuchaguliwa na wananchi wa Watanzania kuja kupageuza kuwa pango la walanguzi.."
  8. JamiiForums Tanzania Wale mnaotaka kuja Ulaya kufanya kazi na hamna elimu, kazi pekee mtakayopata ni kuzoa taka

  9. JamiiForums Tanzania Sababu ya maambukizi (infection) ya sikio kwa watoto

    MAAMBUKIZI au Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu tatu ya ndani, nje na kati. Matatizo mara nyingi yanashambulia sehemu ya kati ya sikio (Otitis media) inashambulia watoto wachanga na watoto wadogo na nyingine ni sehemu ya ndani ya sikio (Otitis...
  10. JamiiForums Tanzania Bonde la Mkwajuni lafurika maji

    Serikali hili jambo imelifumbia macho halishughulikiwi kabisa Serikali ya CCM imelala usingizi mnono.............................
  11. JamiiForums Tanzania Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Gadaffi

    MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI 1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote 2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba. 3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake...
  12. JamiiForums Tanzania President Erdogan welcomed President Hassan of Tanzania with an official ceremony

    https://www.youtube.com/watch?v=1Ite7nd1omc&ab_channel=HaberL%C3%BCtfen
  13. U

    JamiiForums Tanzania Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    #LIVE UPDATES: SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL Jumanne April 16, 2024 Jeshi la anga la Israel linakamilisha maandalizi ya mwisho Ili kuivamia Iran Israel yaitaarifu Marekani kuwa italipiza kisasi dhidi ya Iran Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak kuzungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera Mjukuu wangu (Mwarabu Mwenye Viatu vyekundu) Mr Abdul Hemed Ghafoor kwa kushinda pambano la ngumi....................

  15. JamiiForums Tanzania Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu. Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu? Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
  16. JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

    Wanabodi, Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is the man who can stand alone!", hivyo na mimi, katika jambo ambalo nina uhakika nalo na ninaamini ni...
  17. JamiiForums Tanzania Uvumi unaendelea kuhusu unga kutiwa vitu vya kupunguza nguvu za kiume na kuchochea ushoga

    Kuna uzushi umeenea sana kwenye magroup ya WhatsApp kuhusu unga wa mahindi kama inavyoonekana kwenye picha. Mwanzoni nilipuuzia ila kila group naikuta. Kimsingi wabongo elimu ya fortification (uongezaji virutubishi kwenye unga kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na udumavu bado hawajaielewa. Kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  19. JamiiForums Tanzania Who is Ekrem Imamoglu, the Turkish mayor who could challenge Erdogan?

    ISTANBUL, April 1 (Reuters) - Newly re-elected Istanbul Mayor Ekrem Imamoglu has emerged as the main challenger to Turkish President Tayyip Erdogan's reign. But in some ways, he is following in the footsteps of the Turkish leader who ran the city in the 1990s. Aside from having led the country's...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amesema Watu 2 akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kulawiti mtoto

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko (pichani kulia) amesema Watu wawili akiwemo Mwalimu Emmanuel Mbigili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumlawiti Mwanafunzi wa awali katika Shule ya Mount Moriah na kumuharibu sehemu zake za siri ambapo taratibu za kisheria zikikamilika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…