Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,093 Reaction score 34,909 Friday at 11:35 AM #1 HOW DO YOU EXPLAIN THIS?
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,061 Reaction score 48,540 Friday at 11:37 AM #2 Kwamba Uganda hakuna barabara nzuri kama hii ya Burkina Faso, na Burkina Faso hakuna barabara mbaya kama hii ya Uganda?
Kwamba Uganda hakuna barabara nzuri kama hii ya Burkina Faso, na Burkina Faso hakuna barabara mbaya kama hii ya Uganda?
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 2,575 Reaction score 5,582 Friday at 11:39 AM #3 Kumbe hiyo miti inawez kia ndani ya Miaka 4
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,412 Reaction score 129,956 Friday at 6:17 PM #4 Mtu anakwambia akajipange msituni, huyu hawezi kuwa na akili ya kuongeza nchi
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,675 Reaction score 27,663 Yesterday at 8:38 PM #5 Hivi Tanzania inaizidi Uganda kwa kitu gani kwa wale mliokwishafika huko !?