amavubi gfsonwin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Joshua Mollel umewasili nchini Tanzania

    Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel aliyeuawa na Hamas kuwasili leo kutoka Israel Maelezo ya picha,Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel ukiagwa nchini Israel kabla ya kurudishwa Tanzania, aliuawa na Hamas katika shambulizi la oktoba 7. Mwili wa Joshua Loitu Mollel, raia wa Tanzania mwenye umri wa...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha Yangu ya Leo Baada ya Uchaguzi Mkuu Wa Tanzania

    Mchora vibonzo wetu =AZVodGy-7VfJFtYauXKiSJ4maIdCuy7mr4LBz2CewgRmTb8mD-KjNErSe4fMel81EGoMLYz5XAhtECJrdgA7jKf4TzdM0j_lf9YPzUuDneRtYd8jX-B19kXtRtoMED5O8d7RMSVBZMO0U0ZrsnwtNo9AZfsGjFrBu2-IbzEJAqQQkByqtI6ddpaHt1ZUtD6i3Kv-PvrekjAlm3qFHcUdK1Y&__tn_=-]K*F']Said Michael 'Wakudata' anatupia jicho...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema

    Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema mamia ya watu waliuawa. Haya ni kwa mujibu wa wakili mmoja Peter Kibatala na vyanzo vya mahakama vilivyoliarifu shirika la habari la AFP. Hapo jana, Kibatala...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania THRDC NA TLS Walani Mauwaji Na Ukandamizaji huko Tanzania

    Muungano wa Shirika la Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, wamelaani vitendo vya mauaji na ukandamizaji wa raia wasio na hatia vilivyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya uchaguzi. Katika taarifa ya pamoja, mashirika hayo yamevitaka vyombo vya...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Moja ya hotuba ambayo iligusa moyo wangu nakubadili kila kitu kwenye moyo wangu kuhusu siasa Pumzika JPM

  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Vurugu za uchaguzi Tanzania: Waandamanaji wakaidi amri ya Mkuu wa Majeshi

    Chanzo cha picha,Reuters Maelezo ya picha,Rais Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani mwaka 2021 baada ya kifo cha mtangulizi wake na huu ni uchaguzi wake wa kwanza wa kugombea urais. 31 Oktoba 2025 Waandamanaji wameingia mitaani nchini Tanzania kwa siku ya tatu mfululizo, kukaidi amri...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania KHRC, Global Rights Group Confront Samia Suluhu as Post-Election Violence Rock Tanzania

    Tear gas fills the air as police confront protesters in Tanzania, October 29, 2025. Kenyan and international human rights organisations have issued a joint set of demands to President Samia Suluhu Hassan’s government, calling for an immediate end to what they described as escalating...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Dunia imeisha! Stori ya mwanamke aliyetokea nchi ya Torenza ambayo haipo duniani

    Who is the Torenza Passport woman and why is the JFK Airport video going viral? Explained. A viral video showing a woman at JFK presenting a passport from the nonexistent country ‘Torenza’ has sparked theories of AI-generated misinformation. A bizarre video from John F Kennedy International...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Dah Wanaume hii ni Dhambi Kabisa MunaMcheat Mpaka Bubu?

  10. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kibati Kikipasuka, sisi tuko nao, ninayezungumza ni Amirijeshi mkuu, Tokeni mkapige Kura Oktoba 29, 2025

    "Tumedhamiria kufanya kazi. Tumefanya kazi mmeiona na tunajiamini kwamba tutaweza kufanya tena kazi kipindi cha pili cha awamu ya sita, kazi ya kuonekana kwamaana hiyo niombe mtuchague Chama Cha Mapinduzi “Na hapa niseme ndugu zangu ili niwatoe hofu, kuna watu wanatishatisha ili kuwafanya watu...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Majangaa Makubwa hayaa Mfanyakazi wa Kike aka (Dada) Mwenye Asili ya Ki-Tanzania ameuwa familia yote ya boss wake nchini Oman kwa kuwatilia sumu

  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya Tanzania imeongeza ukandamizaji wa kisiasa, jambo linalozusha wasiwasi mkubwa kuhusu iwapo uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29

    Serikali ya Tanzania imeongeza ukandamizaji wa kisiasa, jambo linalozusha wasiwasi mkubwa kuhusu iwapo uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu utakuwa huru na wa haki, Human Rights Watch imesema leo. Mamlaka zimekandamiza Matangazo ya Mchana: Upinzani wa kisiasa na wakosoaji wa...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Tunakwenda Kutimiza ahadi yetu kwamba hakutakuwa na Taifa la Palestina eneo hili ni letu

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Moja ya hotuba ambayo iligusa moyo wangu nakubadili kila kitu kwenye moyo wangu kuhusu siasa. Pumzika Hayati JPM

  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Usiku Mwema Marafiki Zangu

  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mtu anapaswa kunywa maji kiasi gani ili kuweka figo zake salama?

    Figo ni moja ya viungo muhimu vya mwili wa mwanadamu, ambavyo vina majukumu mengi ya kuweka mwili katika afya njema. Madaktari mara nyingi wanashauri kwamba ili kuweka figo kuwa na afya njema, kula kiasi cha chumvi, kuepuka sukari ya ziada na kutotumia dawa za maumivu bila ushauri wa daktari...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Dalili sita za kugundua ugonjwa wa figo

    Figo hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja katika mwili wetu. Huondoa taka katika mwili. Kuweka uzaini wa maji na madini ya elektroliti. Figo hufuatilia shinikizo la damu na pia kusaidia katika kutengeneza seli nyekundu za damu. Lakini mara nyingi watu hupuuza dalili za mwanzo za figo kushindwa...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Nchi 7 'hatari' zaidi kwa usalama Afrika

    Maelezo ya picha, Makumi ya watu nchini Kenya wametekwa nyara na kuuawa tangu maandamano yalipozuka mwezi Juni 2024Maelezo kuhusu taarifa Afrika ya Kusini mwa Jangwa la Sahara imeshuhudia kushuka kwa viwango vya amani katika mwaka uliopita, ambapo wastani wa hali ya amani katika eneo hili...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kuna Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu

    Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula. Mtu mmoja anaweza kula...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania War No More Trouble Live At The Rainbow Theatre, London 1977

Back
Top Bottom