amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Mlalamikaji daily

    Kwamba maandamano yatakuwa ya amani Serikali haiwezi kukubali..lazima ichomeke wafanya vurugu ili ipate uhalali wa kuyatawanya

    Naona wengi wanasema eti yatakuwa ya Amani kwamba watashika mabango na kutembea tuuu mpaka ikulu bila kugusa mali ya mtu!! Aiseee.. Kwanza tuelewe : maandamano ya amani nchi hii yanayokubalika labda yawe kwa ajili ya kumpongeza mama! Mfano ile kampeni ya mama asemewe! Kinyume na hapo hakuna...
  2. Yoda

    Wanaosisitiza amani zaidi badala ya HAKI ni wajinga au wanufuika wa mfumo kandamizi. Haki ikitamalaki amani inakuwepo automatically

    Ukiacha vichwa panzi wachache na mapoyoyo wa hali ya chini na wale wenye maisha duni wanaoimbishwa wimbo wa amani bila haki na wanaimba kwa sababu ya ukosefu wa maarifa, taarifa sahihi au udini wengine wote wanaoimba zaidi amani badala ya kuimba zaidi haki ni wanufaika wa mfumo ulioondoa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Huko mtandaoni Waislamu wamshukia sheikhe Pembe kwa kusema Amani ndio inaleta Haki

    Habari za jioni! Sheikhe Pembe alikuwa akitoa maoni yake kama watu wengine lakini akasahau cheo chake cha usheikhe na dini aliyomo ambayo ni uislamu inamtaka awe mwingi wa tahadhari anapozungumza mbele ya Umma kwani anaweza kuudhalilisha uislamu na waislamu wa Tanzania. Pembe alikuwa anajaribu...
  4. K

    Amani inaletwa na vitendo sio maombi

    Mtaomba mpaka kesho lakini Amani inaletwa na vitendo vya haki vya kila siku sio sala wakati vitendo ni vibaya. Bila vitendo vya haki mtakuwa mnapoteza muda
  5. R

    Vijana wajasiriamali Dar es Salaam wahimiza vijana wenzao kulinda amani na kuepuka vurugu

    Hizi ni propaganda na miradi ya Serikali, sidhani kama ni akili zao timamu :COFFEE: Vijana kwa sasa tunapanga Disemba 9 kudai haki ------------- Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na...
  6. Mafyangula

    CCT: Haki, Utu na Upendo ndio nguzo ya Amani ya kweli

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imeeleza huzuni na masikitiko makubwa kutokana na matukio ya uvunjifu wa amani, mauaji ya wananchi, na uharibifu wa mali yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Askofu Dkt. Stanley...
  7. K

    Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali

    Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali Zambia , malawi, kenya wana haki na Amani Uganda, Rwanda na Burundi wana amani hawana haki Tanzania haina amani wala haki
  8. S

    Kati huyu Mama anaekula na kusaza, na Mtanzania anaekula mlo mmoja kwa siku, nani mwenye amani kwa sasa?

    Hili ndio swali langu kumuhusu yule Mama wa Magogono anaeishi kwa kodi zetu. Mpaka hapo uzii umekamilika kwani kila kitu kinajulikana. Nyongeza: Kama anaumizwa na matusi, hizo picha kweli hazimuumizi? Majibu tafadhali.
  9. R

    GE2025 Askofu Shoo: Tumesikitishwa na Matukio yaliyotokea Oktoba 29, vurugu hazijawi kuleta amani

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Onael Shoo, amesema vurugu katika Taifa lolote hazijawahi kuleta amani, akirejea machafuko yaliyoshuhudiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu akiwaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa bidii...
  10. uhuruborn

    Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  11. Carlos The Jackal

    Mwambieni Msajili aifute haraka CHADEMA au Mahakama iwafunge viongozi wake. Wampe chama Mbowe, Wakae wafurahie amani yao wanayoiimba

    Si mnajitoa ufahamu? Mnaangushia Jumba bovu CHADEMA. kifuteni haraka, wafungeni CHADEMA ,Mpenzi Mbowe chama Kwa lazima. Alafu sasa Mtulie mfurahie hiyo Amani ya Matumbo na familia zenu. Mnazidisha sana Hasira za Wananchi , DEC 9 mtaelewa tu mbona Ugaidi ni nini na Uhaini ni nini ...
  12. figganigga

    GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  13. mwehu ndama

    Napata amani nikijitambulisha kama MTanganyika kuliko MTanzania

    Siku za hivi karibuni ,nimejikuta napata faraja Kila nikilitamka neno Tanganyika. Najisikia fahari sana kujitambulisha mbele za watu hususani wageni kama MTanganyika na sio mTanzania.. Inanifanya nijihisi karibu zaidi na asili yangu , chimbuko langu, wazee wangu na watu wetu wazuri ..Kila...
  14. The Burning Spear

    December 9 Tunatoka kwa Amani KULAANI Mauaji ya October 29 Wapenda Haki na Asasi zote za Kiraia Mtuongoze.

    GT. Tunaomba watanzania wote kwa umoja wetu tushikamane kuhusu hili mauaji ya October 29 hayakubaliki hiyo December 9 tutoke kwa amani kuukemea huu unyama wa samia. 1. Asasi za kiraia zote muwe mstari wa mbele 2.TLS na THRC Mtuongoze mstari wa mbele kabisa 3. Akina mama wote mliouliwa...
  15. MamaSamia2025

    Hata Mungu hawezi vumilia huu uhalifu wa kutaka kuivuruga amani ya nchi

    Nimeona watu wengi wakitamka kuwa Mungu atalipa kwa yaliyotokea baada ya uhalifu uliofanyika. Mimi kama mkristo ninayeijua biblia vizuri niwakumbushe tu kuwa waliofanya uhalifu kuanzia siku ya uchaguzi ni kuwa Mungu pia hafurahishwi na huo upuuzi. Mungu hutoa adhabu kali sana kwa watu kama hao...
  16. Waterlemon

    Wito wa kudumisha amani. Tusibaguane kiTanganyika na kiZanzibari

    Ndugu wananchi wenzangu, Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole kwa yote yaliyotukuta. Mungu awalaze pema vijana wetu waliopoteza maisha kwenye harakati hizi za uchaguzi haramu. Vile vile napenda kuchukua fursa hiii kuzungumza nanyi kama ndugu, marafiki na kizazi kinachobeba matumaini ya...
  17. H

    Tafuta HAKI na WAJIBU wa kulinda AMANI

    1. Wapigania haki ambao walikuwa na haki ya kukata vidole vya wenzao ila vyao visikatwe kisa ni wafuasi wa chama fulani kilichogoma kuingia kwenye uchaguzi Wapigania haki waliokuwa na haki ya kuuwa wenzao ila wao wasiuawe kisa tu wao hawajaenda kuchagua Wapigania haki waliokuwa na haki ya...
  18. R

    GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Wanaovuruga amani wanataka kutusahaulisha makubwa aliyofanya Rais Samia

    Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
  19. B

    GE2025 Makambako; Wananchi wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya Watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo

    Wakazi wa Makambako Mkoani Njombe wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo ya watu waliopata changamoto wakati wa uchaguzi. Hayo yameelezwa wakati Wananchi hao wakitoa maoni yao leo Novemba 6, 2025, mbele ya Mkuu wa Mkoa wa...
  20. funaku

    KISAIKOLOJIA :ALIYESHIRIKI KUHARIBU MALI NA KULETA VURUGU ILIYOPELEKEA VIFO HATOISHI KWA AMANI

    Ukishashiriki katika harakati zenye kuishia katika kuharibu mali ya mtu au yenye maslahi na roho za watu basi ujue hutokaa salama kihisia na kiroho. Leo hii wapo waliopoteza ndugu zao au baba zao kisa ulishiriki kuleta vurugu hakika danu yako na vizazi vyako havitokuwa salama kiroho. Hilo ni...
Back
Top Bottom