amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. CHADEMA wanataka kuvuruga amani ya nchi, tuwe nao makini kama Taifa

    Ukweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania. Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu. Hawa watu ni watu...
  2. A

    SoC01 Mambo manne muhimu kwa mwanamke kuijenga amani ndani ya ndoa yake

    Salamu, Kwa ujumla ndoa ni jambo kubwa lenye wigo mpana na mambo mengi ndani yake ambayo si siku moja wala mwaka utatosha kuyaelezea yote. Hakuna ndoa iliyo kamilika kwa 100% wala binadamu aliye kamilika kwa 100%. Lakini yapo mambo machache angalau kwa kuyafuata yanaweza kukubadilisha kutoka...
  3. Communications and Fundraising Manager at Amani Center

    Amani Center for Street Children seeks an energetic Communications and Fundraising Manager who understands the critical relationship-building needed to grow financial support. The perfect-fit candidate will be an ardent writer, a detail-oriented multitasker and an organized doer enthused by the...
  4. Z

    Tuwe makini na wahamiaji haramu, wanaweza kuhatarisha amani ya nchi

    Kilichotokea Haiti kila mmoja wetu anakijua, ni jambo la kutisha kuuliwa Rais ktk makazi yake lkn waliotekeleza mauaji hayo ni wahamiaji haramu. Kwa nchi yetu yenye wimbi la wahamiaji haramu inapaswa vyombo vyetu viwe macho masaa 24, operation ktk mahoteli ziwe zinafanyika. Wapo wahamiaji...
  5. Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

    HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA Na, Robert Heriel Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba. Wanaohitaji Katiba Mpya wamegawanyika katika makundi Yafuatayo; 1. Wanasiasa hasa wa vyama vya Upinzani 2. Wanasiasa upande wa Zanzibar. 3...
  6. Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

    Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu. Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara. Amewataka wananchi kutokubali na kutunza amani iliyopo. Amesema hayo akiwa Morogoro kwa...
  7. Sina Amani: Mtoto wetu Njiti (Premature) halii

    Kama heading inavyoeleza hapo juu, Leo ikiwa ni siku ya 3, Mwenetu amezaliwa na weeks 32/miezi 7 na kdg, Physical yuko sawa, ana 3.2kg. Alipozaliwa tuu wakamuweka kwenye Mashine, baadae akaweza kupumua mwenyewe wakamtoa wakamhamisha kwenye chumba cha watoto njiti (premature) kwa ajili ya joto...
  8. Pumzika kwa amani Father Privatus Karugendo

    Huwa sijajua hadi leo kati ya tabia na mazoea ni kipi kilimtangulia mwenzake. Kwenye makuzi yangu nilikua katika mazingira ya usomaji kwa kuwa baba yangu ni mpenzi msomaji wa vitabu pamoja na maandiko mbalimbali. Alikuwa ni msomaji wa gazeti la Rai Mwema ambalo lilikuwa likitoka kila alhamisi...
  9. Amani na Usalama: Mitazamo yetu

    Wakuu, Kwa muda mrefu tumekuwa tukitumia hii misamiati katika maisha yetu: "amani na usalama". Hata hivyo ni dhahiri kuwa jinsi tunavyofafanua misamiati hii katika maisha yetu ya kila siku, kunaweza kuwa na utofauti. Tunaposema kuwa tunaitakia nchi yetu amani na usalama, je tunamaanisha...
  10. Viongozi waliopigania Uhuru wa Afrika, wapumzike kwa amani

    Ninaona Samora Matchel alimuiga Fidel Castro kuanzia mavazi. Dhamira yake ilikua kuifanya Msumbiji kuwa kama Cuba.
  11. Mnaoteuliwa kumbukeni kulipa Imani na Amani

    Bila shaka aliyekuteua anafahamu machache sana kuhusu wewe ila mengi unayo wewe mwenyewe kwenye akili na moyo wako. LAKINI bila shaka aliyekuteua katanguliza IMANI kwako kuwa utaweza kumsadia yeye kwenye malengo yake. Hivyo Imani lazima izae Imani. Wakati huohuo lazima ufahamu kuwa uteuzi wako...
  12. Mbowe: Kamati ya Amani ilikaa kimya wakati watu wetu wanauawa na kuteswa

    Mh.Mbowe anaongea..... Viongozi wa kiroho wanakataza watu wasilitumie neno MWENDAZAKE. Mimi ninapenda kuwaambia viongozi wangu ukifanyacho hapa duniani ndicho utakachovuna. Viongozi wetu hawa walikaa kimya watu wetu walipouawa, potezwa nk. Walikaa na kunywa mezani pa watesi weyu...... My Take...
  13. Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

    Kamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na...
  14. Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
  15. Raisi samia Suluhu Hassan tumwache aifanye kazi yake kwa amani, vinginevyo tutajikwamisha kwa namna hii

    Sasa hivi katika mitandao ya kijamii Kuna kundi ambalo linaweka mijadala mingi ya kumlinganisha Raisi huyu utendaji wa Marehemu Magufuli Hili kundi linaongozwa na Veronica France Ni kama kundi hili lipo kinyume,halijaridhika kuona Samia Suluhu akiwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  16. P

    Ni kivipi Serikali itajiwajibisha Kwa upotevu wa mabilioni ya fedha kuhamia Dodoma kumbe ni geresha?

    Upole wtu ni mzuri na unapaswa uendelezwe Kwa kila mtu, lakini endapo tunataka tuondokane na kichefuchefu cha umasikini uliotopea, some time ni kuvunja upole wetu hasa linapokuja swala la masilahi ya nchi yetu Kwa ujumla, Ni Kwa namna gani serikali tunaweza kuiwajibisha inapotumia fedha zetu...
  17. Mataifa ya kiarabu yadai wao kukaa kimya imesaidia dunia kuwa na amani

    Yeereeeeeh! Mataifa ya kiarabu pamoja na Iran yamejitetea na kudai kukaa kwao kimya kwenye mzozo kati ya Israel na Hamas ni kwasababu wanataka amani itamalaki duniani. Wanasema laiti wangeingilia kati sasa hivi kusingekalika na kuchimbika na Israel kufutika mara moja. Sasa hivi wanamtumia...
  18. L

    Ni utaratibu wa pande nyingi tu unaoweza kuijengea Afrika amani na maendeleo

    Tarehe 19, Mei, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa ngazi ya juu kuhusu “kuhimiza ujenzi mpya wa Afrika baada ya janga la COVID-19 na kuondoa mzizi wa mgogoro”. Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi aliendesha mkutano huo. Ikiwa nchi mwenyekiti wa zamu wa Baraza la...
  19. Sudan Kusini: Rais Salva Kiir avunja Bunge

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amelivunja bunge katika hatua iliyosubiriwa kwa muda mrefu, akipanga kuwateua wabunge wapya kutoka pande mbili zilizokuwa na mzozo nchini humo. Msemaji wa Kiir amewaeleza waandishi wa habari siku ya Jumapili kuwa bunge jipya litaunda muda si mrefu, ikiwa ni...
  20. Siku 40 bila mwamba: Ulituheshimisha sisi wanyonge na masikini, pumzika kwa amani Hayati Dkt. Magufuli

    SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM. Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara walikuwa na Jeuri za kila aina,kwa maana walianza kufanikiwa kuifanya CCM kuwa ya Wafanyabiashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…