amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    Huenda Polepole akaishi kwa kukosa amani bali kwa kujificha for fear of unknown maisha yake yote

    Ni huzuni sana, kwamba muungwana hatawahi tena kupata utulivu na amani moyoni mwake. Fikra za yuko wanted zitakua zikimjia mara kwa mara, ili hali hakuna mwenye haja nae. Ni wazi atakua akihisi umbea, upotoshaji, kusingizia wengine uongo na uropokaji wake, vinaweza kuwaudhi anaowachafua kwa...
  2. Setfree

    Lijue jambo hili ambalo shetani analificha, linalofanya nchi hizi 5 kuwa na viwango vya juu vya amani na furaha

    Kila mwaka, watu wanafuatilia World Happiness Report ili kujua ni nchi gani zipo kwenye "top ten" ya nchi zenye viwango vikubwa vya amani na furaha. Kinachoshangaza ni kwamba nchi tano za Skandinavia: Finland, Denmark, Iceland, Sweden na Norway, zimekuwa zikishika nafasi za juu mwaka baada ya...
  3. Waufukweni

    GE2025 Mwabukusi: Kumekuwa na msisitizo mkubwa kwenye amani lakini watu wakasahau haki

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amesema kumekuwapo na msisitizo mkubwa wa kulinda amani nchini huku haki ikisahaulika. Amesema ni muhimu kutambua kuwa amani ya kweli haiwezi kuwepo...
  4. M

    Tuzidi kuiombea nchi yetu amani, maelewano yanapokuwa hayana nafasi Vita hunukia, Tafadhali tusifike huko

    Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya amani hasa pale panapokua na sauti kubwa inayohitaji mabadiliko. Lakini pale yanapokosekana, resistance huanza kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, matamko, harakati za mitandaoni, malalamiko, n.k. lakini na huko wakianza kufunga viongozi wa...
  5. Just Pray

    Ukipata muda sikiliza wimbo huu wa kikatoliki wa kuombea haki na amani

    Amani ni Tunda la Haki (Yak. 3:18). Kazi ya haki ni kuleta amani (Isa. 32:17) Pasipo Haki, hakuna Amani. Furaha na upendo ni matunda pacha na amani (Wagalatia 5:22) Mama Kanisa anatutuma kama Taifa kusimama pamoja na Kuomba Haki ikatawale nchini mwetu, na Amani itokanayo na hiyo Haki, hasa...
  6. ELI COHEN

    Kama unataka amani ya moyo usifanye miamala siku ya jumapili kupitia CRDB

    Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu. This bank is 🚮🚮
  7. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki Kongamano la Amani, leo Agosti 24, 2025

    https://www.youtube.com/live/YJTPFaK3cVM?si=iZMZR7wQq3I2HsEA
  8. Roving Journalist

    GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  9. DuaZaMama

    GE2025 Viongozi wa Dini na Polisi Wasisitiza Utunzaji wa Amani Mtwara

    Watanzania wamekumbushwa kuendelea kuilinda na kudumisha Amani iliyopo hapa Nchini hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025. Hayo yameelezwa kati Dua Maalumu iliyoandaliwa na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Mtaa wa Mtepwezi kata ya Likonde Halmashauri...
  10. Roving Journalist

    Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025

    https://www.youtube.com/live/bsMXcScNS8E Muliro: Polisi kusubiri hadi tukio lifanyike hapo ni sawa na kufeli Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza katika mdahalo huo leo Agosti 20, 2025.
  11. McLaren

    GE2025 Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar: Kama hakuna amani na haki pia haipo. Kikishanuka kwelikweli unaweza kwenda mahakamani kutafuta haki yako?

    Wakuu, Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu Sheikh Anasema pamoja kwamba kuna ukweli kwenye kauli ya kwamba hakuna amani bila haki lakini pia ni...
  12. G

    Alshabab, walikua wanauza tani 30 ya makaa ya mawe kwa laki mbili, kule kwenye Amani na utulivu tani 30 ulikua elfu thelathini.

    Kweli dunia hadaa Jamaa walikomaa miaka Ile wakiwa vitani wakawa wanauza kwa laki mbili tani 30 makaa ya mawe. Kule mahala wao walikua tani 30 wanauza kwa elfu thelathini au ambaye anapajua kule walishabadilisha au bado
  13. Mto wa mbu

    Ndani ya mwaka kuna mwanasiasa kutoka Afrika mashariki atakuwa nomited kuwania tuzo ya Nobel

    Hii habari imenishtua mno. Hapa marekani nimekutana na taasisi Moja, nimeambiwa ndani ya mwaka kuanzia Sasa kuna mwanasiasa kutoka Africa mashariki atachaguliwa kuwania tuzo ya amani ya Nobel. Binafsi nimefurahi mno, maana tuzo hii alishinda mkongo mmoja mwaka 2018, tunataka na mtu kutoka East...
  14. Z

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Changamkia Fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  16. Msanii

    Nawatakia majaji na mahakimu wote nchini Tanzania amani

    Binafsi ninawatakia amani kwenu Majaji wote na mahakimu wote wa mahakama zetu na mabaraza yote ya haki nchini. Amani, baraka na afya tele viweke makazi kwenu mmoja mmoja iwapo mnakidhi bila kupunguza hata moja katika haya yafuatayo:- Meza yako inatoa hukumu ya haki Hauruhusu mahakama yako...
  17. K

    Mwanafunzi Yohana Amani Konki 17,auliwa na wanafunzi wenzake,kwa ramli ya mganga,kuwa ksiba simu

    Mwanafunzi auliwa na wenzake,anayeitwa Yohana Amani Konki 17,kwa ramli ya mganga,kuwa kaiba simu
  18. JanguKamaJangu

    GE2025 Sheikh Hameed Jongo: Walioichangia CCM wamechangia Amani na Maendeleo

    Imam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
  20. Wakusoma 12

    Tundu Lissu awe huru, huru itakayounganisha tena!

    Amani iwe nanyi. Hii ni baraka ya kiroho na wito wa kuishi kwa mshikamano, upendo na haki. Yesu mwenyewe alisema: “Nawaachieni amani, nawapa amani yangu; si kama ulimwengu utoavyo, mimi ninavyowapa.” (Yoh 14:27). Hii ni zawadi ya amani ya kweli inayotufundisha kwamba bila haki, amani haiwezi...
Back
Top Bottom