amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Zambia aliyeonesha dharau kwa Tanzania afuatiliwe anachafua nchi yetu anatumiwa na wasiopenda Amani ya nchi yetu.

    "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia mbinu za Tanzania. Zambia si Tanzania na Tanzania si Zambia. Hii ni Zambia, hatuwezi kutumia mbinu za nchi zilizofeli katika demokrasia. Wale wanaofikiri wanaweza kutumia mbinu zilizotumiwa na Tanzania, hawawezi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Amani ni Msingi wa Maendeleo

    RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI "Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa...
  3. JamiiForums Tanzania FURAHA AU AMANI? Mtazamo wa kiteolojia na kijamii

    FURAHA AU AMANI : Mtazamo wa Kiteolojia na Kidiplomasia katika Ustawi wa Tanzania Na Mch Emanuel Malembela (Mchambuzi wa Mambo ya Kijamii Na kiimani) "Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru" Yn 8:32 Ni nini tofauti ya Furaha na Amani katika Taifa?,Je watawala na watawaliwa kwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kigamboni: Ukarabati wa daraja la Amani Gomvu na barabara yake iliyobomolewa vibaya umesimama, na Mkandarasi haonekani

    Wakazi wa Cheka, Manispaa ya Kigamboni, tunatumia Daraja la Amani Gomvu ambalo limekuwa na changamoto kubwa kutokana na ubovu wake. Ukarabati wa daraja na barabara hiyo ulianza mwaka jana, kipindi ambacho uchaguzi ulikuwa ukikaribia, lakini hadi sasa kazi hiyo haijakamilika na mkandarasi...
  5. JamiiForums Tanzania Magaidi wanaotekeleza "dini ya amani" walivyouawa na Marekani !

    Osama bin Laden: Kiongozi na mwanzilishi wa Al-Qaeda, aliuawa na vikosi maalum vya Marekani nchini Pakistan mnamo Mei 2011. Abu Bakr al-Baghdadi: Kiongozi mkuu wa kundi la Dola ya Kiislamu (ISIS / Daesh), alijiua kwa kulipua bomu wakati wa operesheni ya jeshi la Marekani nchini Syria mnamo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wandondi na Wandwewe yaomba amani Tanzania na Afrika

    Na Mwandishi Wetu. JAMII ya Wandondi na Wandwewe, imetoa mwito wa kitaifa na kimataifa kwa watu wote wenye nia njema kuungana katika Dua Maalum kwa ajili ya Amani, Umoja, Maridhiano, Mshikamano na Ulinzi wa Maisha ya Binadamu. Dua hiyo ni mwito wa pamoja unaolenga kuwakutanisha watu wa imani...
  7. T

    JamiiForums Tanzania CCM Sio tena chama cha siasa, tusijidangaye kuwa itatoka madarakani kwa amani

    CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi. Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau...
  8. JamiiForums Tanzania Haki uleta amani pale Palipo na Amani Haki inapatikana Ukiona mwana Siasa anatanguliza Amani baada ya HAKI huyo ni Tapeli

    Palipo na Haki amani hipo watu wanaotaja Amani huku neno HAKI kwenye vinywa vyao hao ni matapeli wanatumia neno amani kwa maslahi yao...
  9. JamiiForums Tanzania Pumzika kwa Amani Mwalimu Nisetas Dimoso wahusika lazima wachukuliwe hatua!

    Nimeguswa sana na kifo cha kikatilli cha mwalimu huyu ambaye alipigania "standards" kuhakikisha kuwa eneo la shule ni eneo kama yalivyo maeneo mengine yanayotambulika kama "smart area" Mwalimu huyu amedhulumiwa uhai wake na wanaojidai kuwa ni wafugaji wenye fedha na wasioguswa au kuheshimu...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Ukitunyima amani tunakunyima amani

    Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya. Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. 'Ukitunyima amani tutakunyima amani'...
  11. JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  12. JamiiForums Tanzania MADA: Kati ya Amani na haki ipi ianze mwanzo

    Mimi maoni yangu  Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki. MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza? Wadau, Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki". Swali langu...
  13. JamiiForums Tanzania UKIMYA SIO UTUPU: Bali ni lugha ya Ndani na ukuta wa Kujilinda, na Safari ya Kurejesha Amani ya Akili Katika Maisha

    UKimya sio utupu wala amani bali ni lugha nzito inayozaliwa pale mtu anapochoka kupigana na dhoruba za maisha zilizomwandama kwa muda mrefu. Katika safari ya maisha na mahusiano, tunakutana na changamoto nyingi zinazotupima uvumilivu wetu, kuanzia migogoro ya kifamilia, marafiki wanaosaliti...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kuishi na mwanamke kwa amani, mnafikie

    Ndugu.. Kama unataka amani ukiwa na hawa viumbe hakikisha unakua mnafiki kwao. Wewe kua mnafiki tuu utatoboa
  15. JamiiForums Tanzania Hotuba za kishujaa za Rais Dr.Samia S.H., zinahamasisha uzalendo na utayari wa kupambania taifa letu kijasiri dhidi ya maadui wa amani ya taifa letu.

    Ni hotuba ambazo ni za kipekee sana, za kizalendo na kijasiri mno, ambazo kwa kiwango cha juu sana zinahamasisha uzalendo na kufanya waTanzania wote kua tayari kulilinda taifa kwa wivu mkubwa, kwa nguvu zote na gharama yoyote ile. Asante sana Dr Samia Suluhu Hassan kwa uzalendo wako na kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Makatibu Wakuu wa SADC wakutana Malawi kujadili amani na usalama

    Mkutano wa 28 wa Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), ngazi ya wataalamu umefunguliwa leo Julai 13, 2026, mjini Salima, Malawi ambapo wajumbe watajadili agenda mbalimbali, zinazolenga kuimarisha ulinzi na usalama, demokrasiaa na utawala...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Pesa ni tool muhimu iwe Pascal mayala au Robert Heriheri sijui Heriel kasema amani ni mafanikio ila pesa ni chanzo

    Ni kweli mafanikio yanahusisha furaha, amani na utulivu wa moyo. Lakini tusidharau nafasi ya pesa. Ukiishi maisha ya kukosa chakula, kushindwa kulipa ada, kodi au matibabu, ni vigumu kuwa na amani ya kweli. Pesa si furaha yenyewe, bali ni chombo muhimu kinachorahisisha maisha na kupunguza...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye amani, hitaji la kila mmoja wetu

    Kuna maumivu ambayo hayaponi kwa dawa yanabaki kuishi kwenye kumbukumbu za wale waliopitia mateso yake. Oktoba 29 iliacha simulizi ambayo wengi hawataisahau, Ilikuwa siku ambazo vilio vilizidi tabasamu, hofu ikazidi matumaini, na ukimya ukazidi sauti za biashara zilizokuwa zimezoeleka kila...
  19. JamiiForums Tanzania Afande Sele: Tarehe 7/7/2026 kulikuwa na Utulivu sio Amani. Tusitamani hii hali ijirudie tena

    Msanii wa Bongo Fleva Selemani Msindi(Afande Sele), amesema Tarehe 7/7/2026 kulikuwa na Utulivu sio amani. Amesisitiza watu wapewe kilichofanya watake kuandamana. Kasema wanaingiziwa Posho na Mishahara ndo Wanasema kulikuwa na amani. Lakini wanaotegemea miguu ili kula wanasema kulikuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu wanasema wanarinda Amani ya nchi alafu mseme nchi ni salama mnaelewekaje kwa mtazamo.

    Ni aibu sana sana kusema nchi ina haki na domo crazy maana sio democracy mnayo sema ina tawala kwa haki. Leo tarehe 7/7 mnaweza kusema mumeweka amani hapa mfano kariakoo kuwa watu waendelee na shuguli zao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…