Jambo nalowahakikishia kama Mh Polepole , Balozi, alifika Nchini hawakujua, Kakaa miezi yote hiyo hawakujua, Utasema wana INTELIJENSIA??.
Bisho Gwajima Kakaa Dar , muda wake wotee huo mpaka Leo hii, hata hawajui anapolala ,licha ya wao KUMFATILIA sana usiku na mchana , Utasema wana...
Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana.
Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
Kama alivyotoa tamko Jenerali Muhoozi Kabobi atafutwe apatikane akiwa hai au amekufa
Ila nimegundua ukishaitwa Polisi kidogo unakuwa hamnazo yaani zinafyatuka, hapo wakiulizwa mnamtafuta kwa kazi gani na wao watajibu ni order ya Jenerali
Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni.
Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole.
Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni?
Hyocrites pharisees
Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki.
Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ?
Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma.
Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud.
Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
Kampuni ya Microsoft imezindua kipengele kipya katika programu yake ya Teams kinacholenga kurahisisha ufuatiliaji wa mahali wafanyakazi walipo, hatua ambayo imezua mjadala kuhusu faragha kazini.
Kupitia kipengele hicho, waajiri wataweza kubaini kama mfanyakazi anafanya kazi ofisini au nje ya...
Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa.
Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa
Poleni...
Ndugu......
kama unadhani walikua hawajui alipo unakosea.....
Amegusa mzinga wa nyuki kwa kuuchokonoa baada ya kuandaa script ya Afisa Manyota ma3.
Manyota hamtomuona tena.
Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea.
Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya.
Andaeni mabango mpite mbele ya rais...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana
Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote
Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo
Asanten sana
LONDON BOY
"Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi...
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.
ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
Wapendwa Habarini!!
Leo nipo mbele yenu kwa wote ambao mpo mikoani na mnauhitaji wa bidhaa au mzigo wowote kama (Sim, electronics parts eg tv/redio, spare parts za magari na n.k) chakufanya wasasiliana nami utapata gharama zote za mzigo unao uhitaji mbaka pale ulipo kwa uaminifu mkubwa...
Katika usiku wa Mei 9 na 10, kwa kulipiza kisasi dhidi ya mvua ya drones na makombora ya Pakistan yaliyoelekezwa India, New Delhi ilizindua mashambulizi ya kulipiza kisasi, ikilenga mifumo kadhaa ya anga nchini Pakistan, ikiwa ni pamoja na msingi maarufu wa ndege wa Nur Ali Khan, ulioko karibu...
Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute.
Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.