alikiba

  1. JamiiForums Tanzania Je Harmonize atahimili visa alivyofanyiwa Alikiba?

    Mimi binafsi ni binadamu ambaye nikifika mwisho au nikisema inatosha, jua ama zako au zangu. Hakuna suluhu. Tafuta chaka lako la kujificha. Moja ya sifa za msanii King Kiba ni kuhimili mikikimikiki. Ni kuhimili nyakati ngumu na kukimbilia kusema kwa mama yake. Lakini ukweli msanii Harmonize...
  2. JamiiForums Tanzania Professor J asema tumemwachia Mungu ugomvi kati ya Diamond Platnumz, Alikiba na Harmonize

    Ugomvi kati ya mastaa wa bongo kutoka Tanzania, Diamond Platnumz,Harmonize na Alikiba umezidi kuongeza baada ya Harmonize kufichua mambo kadha wa kadha hivi majuzi. Ni ugomvi ambao umeshuudia na wengi pamoja na mashabiki wao, huku mashabiki wao wakiegemea upande waupendao na kuchukia baadhi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Shilole amchana Alikiba

    NUKUU YA SHILOLE: Anandika shilole katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram. “Hapana kila siku nakosewa nitaka kuongea washauri wangu wanasema nikae kimya. Hili nimekosewa siwezi kukaa kimya mnanionea officialikiba nakushukuru sana leo umeuthibitishia ulimwengu mambo yafuatayo ...
  4. JamiiForums Tanzania Alikiba: Nilinusurika kubakwa Marekani!

    Alikiba akiwa kwenye kipindi cha mahojiano cha Salama Jabir. Amefunguka kwamba alinusurika kubakwa nchi Marekani. Jambo hili lilitokea after party show iliyofanyika kwenye chumba kimoja cha baadhi ya vyumba alivyokuwa amekodi kwenye hotel. Alijisikia kuchoka na kuhamua kwenda kujipumzisha...
  5. JamiiForums Tanzania Alikiba anakutaka usiwe na wivu

    Wivu ni hisia zinazotokana na mapenzi na zinazalishwa haswa na uoga wa kwamba mtu anayempenda anapenda zaidi kwingine. . "We ndo my pain killer kushinda hata panadol umejaa mapenzi mashetani wanakaa kando, Oooh Shushu you for me, from Zero to Hero, bado tuko pamoja why you getting jealous?"-...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au? Ni wiki sasa Jealous ya Alikiba haijashika namba 1 trending licha ya views nyingi

    Mmakonde kaamua kumkata matumaini kabisa Binafsi nashangaa kuona hii ni video ya pili mfululizo ya kiba haijafika kilele cha trending, Nahisi ni sababu Ali kiba kaanza kulipia matangazo ya kulipia fb na insta ya sponsored (kama la kwenye picha ya chini), haya matangazo unaweza kuchagya...
  7. JamiiForums Tanzania Alikiba kwa Hali hii hauwezi kuwa wa kimataifa unatuletea kwaya

    Tuwe wakweli nilidhania kuwa Alikiba amejifunza kitu kutoka kwa Mwalimu wake Diamond Platinumz kuhusu on how to sing international collabo ila cha ajabu ametutia aibu tu. Jelaous ya Alikiba imedhihirisha kuwa hakuna kitu anaweza fanya naona hata Ile salute kaotea sana. Rayvanny na Mayorkoun...
  8. JamiiForums Tanzania Alikiba alamba dili nene

    Msanii wa muziki wa bongo fleva "Ali saleh kiba" maarufu km kingKiba au alikiba amepata ubalozi wa kampuni ya uzalishaji wa vinwaji vya energy drink vinavyofaamika kama "HORSE POWER ENERGY " kutoka Australia.Ifaamike kua kampuni io ni moja kati ya wadhamini rasmi wa timu ya ligi kuu ya England...
  9. JamiiForums Tanzania Zuchu anajua kuimba kuliko Alikiba?

    Jamani nashangaa kuona hili hivi mnasema alikiba hajui kuimba kuliko zuchu? nyimbo ya alikiba salute ya mwezi huu imekata vizuri tu. na hii ya bibie inaitwa nyumba ndogo kazi kwenu nani mkali
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Ali Kiba alimaanisha nini alipoimba kwa kusema 'Ushamba mwisho kwa mtoto wa Kariakoo'?

    Wakulungwa inakuwaje? Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana...
  11. JamiiForums Tanzania Alikiba ni msanii mwenye taste unique

    Tangu nimeanza kufuatilia mziki huu wa Kitanzania, Bongo fleva nimesikiliza nyimbo za wanamuziki wengi. Lakini huyu mwanamuziki Ana taste flani ukiwa unamsikiliza iko unique Sana. He knows how to sing, kiukweli tukiachana na drama au siasa kwenye mziki it's not a shame to say hata ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

    Tukianza na mm km mimi wimbo wangu pendwa kutoka kwa mfalme huyu wa bongo fleva ni "MBIO". Kwanini mbio?ni wimbo ambao uandishi wake naupa 100%...melodies99.9%...beat..99.8%...mm co mtaalam sana ila naeza sema utunzi wake umejitoshelezaa.! Wewe je ni upi wimbo wako pendwa na kwanini!?
  13. JamiiForums Tanzania Alikiba is the only best musician found in Tanzania

    Without any vague , Alikiba has achieved to maintain the game of Bongo fleva almost seventeen years without any opponent. This new song Infedile which mixed by French words is very untouchable .... #Domo Nyange is outdated musician.
  14. JamiiForums Tanzania Siku ya tatu hii Alikiba kashindwa kung'ara YouTube, tatizo nini?

    Naona alikiba tangu atoe juzi ngoma yake ya mediocre hakaweza kabisa kuwa trending namba one youtube, Tatizo ni nini?
  15. JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania. Mimi kama Matola nitatumia effort zangu binafsi kuhakikisha nakutana na Kiba na manegement yake ili kuwapa mikakati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Uwezo wa kujenga hoja wa mashabiki wa Ali Kiba unasikitisha na kuhuzunisha

    Mimi ni mshabiki halisi wa CEO na mwanamuziki Diamond platinumz, nimejitahidi sana kumantain principle hiyo niliyoieleza hapo juu kwa msanii huyu ila nimeshindwa maana anapendwa na watu wengi sana ila tofauti na watu wengine wengi mimi na wengine wachache ninamkubali zaidi mtu huyu kutokana na...
  17. JamiiForums Tanzania Kinachomfanya Alikiba asishuke kimuziki sio huruma ya watanzania bali ni tungo zake Matata sana

    Habari JF Watu baadhi walikuwa wakizusha, kuwa Alikiba anatumia huruma ya Watz , hili kuendelea kusumbua hapa Tz. Lakin sio kweli msanii Alikiba amejaliwa sauti nzuri yenye mvuto wa aina yake na, pia katika uandishi amefanikiwa kuliteka soko. Huwezi kuwa na akili timamu ukasikiliza nyimbo za...
  18. JamiiForums Tanzania Man Water: Ali Kiba hajanilipa, kaenda kurudia nyimbo tulizofanya kwingine

    Man Water ni miongoni mwa ma producer hodari aliewatoa wasanii wengi kama kina 20% ila baada ya kutoelewana 20% akapotea. Katika mahojiano na Azam TV, amesema kuwa kuna nyimbo kadhaa alizofanya na msanii Ali Kiba lakini hawajazirelease kwa sababu hazijalipiwa. Anasema kuwa licha ya kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Siri ya ukimya wa mfalme(KING) Alikiba kutoa nyimbo ya bumburuka, Man walter kamwaga mchelee kweupe

    Nikitia neno hapa nitaambiwa napendelea, msikilizeni wenyewe Man Walter
  20. N

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Alikiba, shikamoo Diamond!

    AliKiba: huyu jamaa ni mwanamuziki mzuri kwakweli. anafanya kazi kivyake na hana shobo za kijingajinga. anatoa nyimbo anapoona inafaa kufanya hivyo. anapondwa kweli humu JF na watu wanaojiita ni magreat thinkers. ukiziangalia sana sababu zenyewe za kupondwa kwake, utagundua kuwa shida ni wivu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…