AliKiba:
huyu jamaa ni mwanamuziki mzuri kwakweli. anafanya kazi kivyake na hana shobo za kijingajinga. anatoa nyimbo anapoona inafaa kufanya hivyo. anapondwa kweli humu JF na watu wanaojiita ni magreat thinkers. ukiziangalia sana sababu zenyewe za kupondwa kwake, utagundua kuwa shida ni wivu...
Hiv karibuni wakati Diamond akifanya press conference ya kuzindua tamasha lake la Wasafi Festival akaulizwa swali na mwandishi "Ali Kiba hivi atakuwepo?
Diamond akamjibu bifu hazisaidii kitu Kama tutakubaliana sawa anaweza kuwepo. Baada ya hayo Kiba akalipuka huko kwenye insta "mithili ya mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.