ali kibao

Alikuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CHADEMA

Mhanga wa Utekaji na Mauaji: Alitekwa nyara na watu wenye silaha akiwa kwenye basi la abiria mnamo Septemba 2024 akitokea Dar es Salaam kwenda Tanga.

Siku chache baadaye, mwili wake ulipatikana ukiwa umetupwa eneo la Ununio, Dar es Salaam, ukiwa na majeraha mabaya ya kuteswa (ikiwemo kumwagiwa tindikali).

Tukio lake lilizua hofu na mjadala mkubwa sana kitaifa kuhusu usalama wa raia, wanasiasa, na wimbi la utekaji nchini
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Taifa linaelekea kubaya watawala wasiwe viziwi kwa haya matukio

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa. Amesisitiza haja ya...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea, picha inaongea

    Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼 ====== Mohamed Dewji ameandika: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna chama hapa, Chadema ni kikundi cha Wasemaji na watoa maoni mitandaoni

    Mgongano wa ndani ndani ya uongozi wa Chadema unaonekana wazi katika namna wanavyoshughulikia Masuala nyeti kama uchunguzi wa utekaji na mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu wanatofautiana waziwazi, jambo linalodhihirisha ukosefu wa mshikamano...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza vyenyewe sakata la Mauaji na Utekaji nchini

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameibua wasiwasi juu ya uwezo wa vyombo vya usalama nchini kuchunguza kesi za mauaji na utekaji zinazoshika kasi hivi karibuni. Lissu amesisitiza kuwa ni vigumu kwa vyombo hivyo kujichunguza vyenyewe na kutoa haki, akidai kuwa uchunguzi wa huru...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume amuumbua Tulia Ackson kuhusu Mauaji ya kinyama ya Ally Kibao

    Japo inafahamika kwamba Tulia Ackson hana Aibu yoyote kutokana na uzoefu wake kwenye Mambo ya ajabu, Ukizingatia kwamba Alikuwa anatembea na Majeneza kule Mbeya wakati akisaka Ubunge (Ishara ya Ushirikina). Hata hivyo Wakili Msomi Fatuma Karume amemuumbua kutokana na kujifanya kupata uchungu...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hakufa kizembe: Nina hakika kuna watu walichezea vitasa. Tena vya maana

    Huyu alikuwa ni mwanajeshi mstaafu tena wa rank za juu. Ni wapi ni mtu aliyekuwa amekamilika kwenye medani za kivita hasa mbinu za kujilinda self defence tactics na ndio maana hata utekwaji wake ulikuwa wa kikomandoo Imformer Gari mbili za kazi 'Watu' wenye silaha za moto Pingu Haukuwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo: Mashehe na Masharif wa Tanga wafanye jambo Ili iwe fundisho, siyo kila jambo aachiwe Mungu kuamua!

    Bondia Maarufu nchini mh Mwakinyo amewataka Mashehe na Masharif wa Tanga kufanya jambo Ili iwe fundisho kwa wengine Mwakinyo amesema Tanga ina wanazuoni wakubwa wanaoheshimika hivyo Kifo Cha Ally Mohamed Kibao kikatoe somo kwa Wote wanaouchezea mkoa wa Tanga ========= Mwakinyo ameandika haya...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video: Hii ndiyo hotuba ya M/kiti - CHADEMA Freeman Mbowe akiongea kwa hasira kwenye mazishi ya msiba wa Mzee Ally Mohamed Kibao, Tanga

    Sijui Mch. Peter Msigwa anaweza kuwa na maoni gani akimwona mwamba Freeman Mbowe hasimu wake akiwa katika ubora wake kama hivi Hii ilikuwa ni baada ya kuwa tukio la kuzomewa kwa Waziri Hamad Masauni na kushindwa kutoa hotuba yake kutokea na Freeman Mbowe kutuliza waombolezaji na baadaye...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Familia yaomba uchunguzi wa haraka Kifo cha Ali Kibao, Waziri Masauni akabidhi Tsh. 5m ya Rambirambi

    Familia ya aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Marehemu Ali Mohamed Kibao aliyezikwa jijini Tanga wameiomba Serikali kuharakisha uchunguzi wa kifo cha baba yao ambae mwili wake ulipatikana maeneo ya Ununio, Dar es Salaam akiwa ameuawa baada ya kutekwa...
  11. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tutegemee kuhama kwa wanasiasa baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa na pia atakayeongoza huo ndiye mshindi 2025

    Uchaguzi wa serikali za mitaa ni turufu kwa vyama vya siasa vyama hivyo ni CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO hivi ndiyo vyama leo vinazungumzwa ata vijiweni. Japo nchi yetu kutokuwa na chaguzi za huru na haki kama ikitokea uchaguzi unakuwa wa huru na haki kwa 80 % basi tutakuwa tumepata uelekeo wa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    C&P from Face Book. KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI Na Bollen Ngetti SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili lililofunika kutekwa, kuteswa na hatimaye kuuawa kikatili Mzee Ally Muhammed Kibao al-maarufu MeD...
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

    Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao. Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni arudi kwa familia ya Hayati Ali Kibao kuipa pole

    Mariam, mtoto wa aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ali Kibao akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni (kulia), baada ya kufika kuwafariji kwa kifo cha baba yake. Kibao aliuawa baada ya kutekwa na watu wenye silaha, jioni ya Ijumaa ya...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku ashangazwa na IGP Wambura kutojiuzulu

    Mzee Joseph Waryoba Butiku, Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere amshangaa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura "anasubiri nini kujiuzulu?" kufuatia matukio ya kuuawa na kutekwa kwa raia nchini. Soma pia: => Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

    Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama . Kawaida...
  17. Bams

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuwakamata wauaji wa Marehemu Ali Kibao ikiwepo dhamira ya dhati na iwapo Polisi watatumia mbinu hii

    Kwa kawaida hawa watekaji na wauaji wanapofanya uharamia kama waliomfanyia Ali Kibao RIP, huwa wana watu wao ambao huwa wamewapanga barabara zote watakazopita ili wasipate kizuizi mahali popote wakiwa na mateka. Hata wasipokuwa na mateka, wakishafanya tu uharamia, huwa hawataki wasimamishwe...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Taarifa za miili 3 kuokotwa eneo alilotupwa Mzee Kibao ni kweli? Imeshatambuliwa ni akina nani?

    Je ni kweli kuna miili mingine mitatu iliokotwa sambamba na marehemu Kibao? Kama ni kweli, kwa nini polisi haitoi taarifa kuhusu kupatikana miili hiyo? Watanzania mlioko nyumbani, nendeni hospitali ya Mwananyamala kufuatilia hili suala. Iwapo miili hiyo ipo, DNA zichukuliwe kutambua next kin...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nukuu tata kutoka kwenye tukio la kutekwa Hayati Ally Mohamed Kibao

    Aliyosema Mnyika: Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi. Hawakujitambulisha kama polisi. Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa. "Hawa hawakuwa polisi."...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Shuhuda adai Hayati Ali Kibao wa CHADEMA alipigwa kichwani na kutobolewa macho

    Msikilizeni huyo shuhuda. Anadai Mzee Ally Kibao aliumizwa vibaya kichwani, na alitobolewa macho. "Nilikuwa na abira wangu sasa wakati napita nilikuta watu wengi sasa hapa ilibidi nipaki nilikuja kuaangalia tulikuta mtu amakekufa, kapigwa kichwani, amevia damu, amaetobolewa macho unaona...
Back
Top Bottom