ali kibao

Alikuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CHADEMA

Mhanga wa Utekaji na Mauaji: Alitekwa nyara na watu wenye silaha akiwa kwenye basi la abiria mnamo Septemba 2024 akitokea Dar es Salaam kwenda Tanga.

Siku chache baadaye, mwili wake ulipatikana ukiwa umetupwa eneo la Ununio, Dar es Salaam, ukiwa na majeraha mabaya ya kuteswa (ikiwemo kumwagiwa tindikali).

Tukio lake lilizua hofu na mjadala mkubwa sana kitaifa kuhusu usalama wa raia, wanasiasa, na wimbi la utekaji nchini
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bunge la Ulaya: Pesa zetu za Umoja wa Ulaya zinatumika kusaidia Serikali kandamizi Tanzania

    MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Msitu wa Mabwepande alipotupwa Ali Kibao ndipo walipotupwa majeruhi 21 waliokamatwa na polisi

    "Jumla ya majeruhi mpaka jana usiku tuliwapeleka hospitali na wakapata matibabu walikuwa ni majeruhi 21 na nitawataja majina yao na hali zao, walipigwa na kutupwa Mabwepande porini msituni, ndio msitu ambao baadhi ya watu ambao tunawafahamu waliuawa na wakatupwa katika msitu huo akiwemo...
  3. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania TBT: Tashriff wafunguka mkasa mzima alivyotekwa Mzee Kibao. 'Tuliogopa walikuwa na silaha za moto'

  4. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Dili la kumtetea limekata, wameshauriana wanamkataa sasa hivi wakiamini watamsafisha aliyepo sasa

    Uzi tayari?!? Yeah uzi tayari
  5. N

    JamiiForums Tanzania John Marwa: Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vijana wa CHADEMA haijachukua hatua yoyote?

    Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri, Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA

    Kumbe Mzee Ali Kibao alikuwa ni Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, na sasa ni marehemu. Ilibidi nitafute taarifa za wajumbe wa kamati kuu ambao wamefariki kabla ya kikao cha kamati kuu kilichojadili ishu ya pesa za Abduli na ambao wapo hai mpaka hivi sasa. NI MZEE ALI KIBAO PEKE YAKE NDIYE KAFA...
  7. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Mbowe anafahamu walipo wanachadema waliowahi kupotezwa.

    Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli. Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Siku 100 Toka Mauaji Ali Kibao: Ukimya Watanda Juu ya Hatma ya Uchunguzi

    Leo Disemba 16, 2024, zinatimia siku 100 tangu aliyekuwa mwanasiasa mwandamizi wa chama cha upinzani cha CHADEMA, Ali Mohamed Kibao, alipotekwa Septemba 6, 2024, na mwili wake kupatikana Ununio, Dar es Salaam, Septemba 7, 2024, akiwa ameuwawa huku mwili wake ukiwa umeharibiwa vibaya. Tukio hilo...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Utekaji kuhusishwa na uhasama wa kibiashara ni namna ya kuwaepusha wahusika halisi kuwajibika? Tukio Dar24 limeishaje?

    Wakuu, Nadhani wengi tumekutana na tulio lililotrend jana, video ya inayomuonesha 'Bonge' akipambana na watu waliokuja kumteka na kufanikiwa kuwazidi nguvu, wakimuachia zawadi ya pingu. Kama mpaka sasa hujakutana na tukio hilo basi pitia hapa. Kutokana na taarifa ya polisi, Bonge ni...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Albadil ya wazee wa Tanga dhidi ya waliomuua Mzee mwenzao Ali Kibao imeanza kufanya kazi?

    Nauliza tu any update concerning with Albadil kurujuan which took place in Tanga few days ago.
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Padre Dkt. Kitima: Aliyemuua Kibao tunamlaani, amefanya kosa baya, ni chukizo kwa Mungu

    Padre Dkt. Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), ametoa kauli nzito akisema kuwa viongozi wa dini lazima waonyeshe wazi kwamba aliyehusika katika mauaji ya Ally Mohamed Kibao amefanya kosa kubwa na ni laana kwa Mwenyezi Mungu. Pia, Soma: Dar: Ali...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji

    Familia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali Kibao huku ikimsihi Rais Samia Suluhu Hassan, kutoa kauli kali dhidi ya wahusika ili kurejesha imani kwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mbio za Mwenge Cde. Mzava amkabidhi Rais ripoti ya miradi 16 iliyotafunwa fedha. Hivi ripoti ya kifo cha Kibao alishakabidhiwa?

    Watu bado wanatafuna pesa tu za serikali? Posho zimerudi, semina zimerudi, Shimiwi imerudi, washa zimerudi, mikutano imerudi, kongomano zimerudi, overtime zimerudi, fulana na kofia za semina wanavaa, kule Morogoro jioni baada ya semina wanakesha Star Park, Terminal Pub na Samakisamaki siku...
  14. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Hivi majibu ya Postmortem ya Kifo cha Mzee Ali Kibao yameishia wapi? Tuliambiwa yanatoka baada ya Saa 24 tu mbona kimya?

    Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa mwezi mzima umepita tangu mauaji ya kikatili ya Mzee Ali Kibao, lakini mamlaka bado zimeendelea kuwa kimya kuhusu ripoti ya uchunguzi wa kifo chake. Awali, ziliahidi kwamba matokeo ya uchunguzi yangewekwa wazi ndani ya masaa machache, lakini hadi sasa hakuna...
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo nchi pekee mtu anatekwa mchana, anauawa na mpaka sasa hakuna aliyewajibika

    Hali hii si ya kawaida, Mamlaka zinatambua, watu wameshuhudia Marehemu Kibao alivyokamatwa na kutokomea na gari lenye plate namba ambazo hata kama hazijulikaniki, ni wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama kufanyia kazi haraka. Lakini mpaka sasa hakuna aliyefikishwa mahakamani kwa tuhuma za...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tanga: CHADEMA yakutana tena na Familia ya Ally Kibao, Yatoa Rambirambi

    Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama hicho Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 8 Oktoba 2024, akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tanga Mhe Jonathan Bahweje wamefika nyumbani kwa marehemu Ally Kibao, Jijini Tanga na kutoa rambirambi za pole kwa...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kimya Cha Rais Samia kuhusu kifo cha kiongozi wa CHADEMA, Ally Kibao, kinaanza kutia wasiwasi mkubwa

    Watanzania tunaendelea kushangazwa sana na kimya kizito kinachoendelea Cha Rais Samia, kuhusu kifo Cha kiongozi wa CHADEMA, Ali Kibao kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita. Nakumbuka Rais Samia ali-react mapema sana baada ya kusikia kifo hicho kilichotokea tarehe 7 mwezi uliopita na mwili wake...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Chadema ituambie iliwezaje kufuatilia simu ya Ali Kibao?

    Hivi karibuni tulisikia namna chadema walivyotoa taarifa kuhusu ufuatiliaji wa simu ya Ali Kibao na wakatoa hadi namba ziliziwasiliana naye mara ya mwisho. Je, utaalamu huu wa kufuatilia simu wameutoa wapi? Je, katika tukio la lisu hawakuhusika kufuatilia pia?
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunawasikia watawala wakiomba watanzania tutunze amani yetu. wakati hadi sasa hatujapata majibu sahihi ya watu kutekwa

    Kuna "contradiction" ya hili neno amani namna inavyotafsiriwa na hawa watawala wetu, wakati mambo yanayoendelea hapa nchini, mara Kwa mara tunawasikia watawala wakirudia msemo huu wa kuwaomba watanzania tutunze amani yetu tuliyojaaliwa na Mungu Kwa nguvu zote, wakitolea mifano wa nchi nyingine...
Back
Top Bottom