Alikuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya CHADEMA
Mhanga wa Utekaji na Mauaji: Alitekwa nyara na watu wenye silaha akiwa kwenye basi la abiria mnamo Septemba 2024 akitokea Dar es Salaam kwenda Tanga.
Siku chache baadaye, mwili wake ulipatikana ukiwa umetupwa eneo la Ununio, Dar es Salaam, ukiwa na majeraha mabaya ya kuteswa (ikiwemo kumwagiwa tindikali).
Tukio lake lilizua hofu na mjadala mkubwa sana kitaifa kuhusu usalama wa raia, wanasiasa, na wimbi la utekaji nchini
Tume ya kuchunguza mauaji ya Kibao iko wapi? Uchunguzi kuhusu utekaji na mauaji umefikia wapi?
Siku zinakwenda miezi inakata, hakuna taarifa ya nani Kamteka na kamuua Kibao licha ya kuahidiwa tume ya kuchunguza tukio lile, ina maana tume huwa hazina kikomo cha kwamba baada ya muda fulani kupita...
Wasiojulikana? Inakuwaje taifa linakuwa na watu wasiojulikana?
Tangu afariki Mzee Kibao kwa kifo ambacho kilishangaza dunia kwa mtu kunyakuliwa kama kuku kwenye basi kisha kupatikana amekufa kinyama taifa letu limegawanyika na kupasuka.
Leo hii watu wanashangilia hadharani kwenye majukwaa ya...
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe akijibu maswali ya Waandishi wa Habari Februari 10, 2026 wakati akitoa taarifa kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini amesema matukio mengi yanayofanyika kama yale ya Mzee Ali Kibao na Humphrey Polepole, Polisi...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali tuhuma zinazomhusisha na mauaji ya aliyekuwa mjumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, Ali Mohamed Kibao, akitaja majaribio hayo kama mkakati wa kisiasa wa "kubambika kesi" na kuhamisha lawama kutoka kwa...
Mohamed Ali Kibao mtoto wa marehemu Ali Kibao amezungumza kuhusiana na ufuatiliaji na uchunguzi kuhusu kifo cha Baba yake (Mzee Ali Kibao) kilichotokea September 2024 baada ya kuchukuliwa na wasiojulikana wakati akisafiri kicha mwili wake kupatikana akiwa ameaga dunia
Mohamed ameeleza kuwa ni...
Anasema:
1. Ni mwaka mmoja sasa, hakuna ripoti yoyote juu mauaji ya kikatili ya baba yao yaliyofanywa na Polisi Wasiojulikana, waliomshusha kwenye bus wakaenda kumtesa na kisha kumuua kikatili na kuutupa mwili wake kama wa mbwa ktk pori la Ununio
2. Wanashangaa sana kwa sababu wanaona wazi...
Kila ngazi itapandwa. Hakuna cha Nywinywi sio. Mwaua watu kama mbwa koko mwasema tusilete nywinywi. Mwaua baba zetu mwatuita wahaini tukisema. Hehee!
Mwafunga mitandao ili dunia isijue. Hehee! Mwatishia watu maisha kisa nye ni immortal hamfi. Mayii! Nye miungu Nye. Mwatumia kodi zetu kutuua...
Watanzania sio wajinga hakuna cha Tume wala nini unaunda tume kwenye mambo ambayo yako wazi.
Tupe kwanza majibu ya tume uliyounda kuchunguza kifo cha mzee Ally Kibao?
Nashangaa unakimbilia kuunda Tume wakati Wewe ni batili kua hapo ndo umesababisha vifo vya watu maana walikua...
Tume zimekuwepo.
Maridhiano yamekuwepo.
Ahadi zimekuwepo.
Zote hazijaleta muafaka kwasababu lengo.soho kutatua matatizo, bali ni kupoza joto.
Haya majitu ni SHETANI wa DAMU.
Tanzania kwasasaa inahitaji UWAJIBIKAJI na HAKI vinginevyo MAUAJI ma UKATILI wa aina hii HAUTAKWISHA bali utaendelea...
Tume ya kuchunguza watu waliokufa alafu? Uliunda tume ya kuchunguza kifo cha mzee kibao alafu nini kilifuata baada ya tume?
Tume ya Kujichunguza mwenyewe wananchi sio wajinga na hiyo tume ni ya nini na ulisema waliondamana ni...
Sikuwa namfaham na wengi hawakumfaham. Ila baada ya kifo chake ambapo aliuwawa kikakitili watu walipokea habari ya kifo kwa uchungu sana.
Ni picha zake enzi za uhai wake ndo zilivuta hisia za wengi ambao hawakuwa wanamfaham.
Sura yake ilionesha innocence sana.
Lakini badala ya kutufariji...
Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka ! Nuksi yake bado ipo. Raisi Samia kupuuza na kusema kifo ni kifo mpaka leo hajarudi kama zamani
Waliofanya jambo hilo ni wanaulinzi, wahuni ama mamlaka za nchi lakini kitendo kile kilikuwa ni kosa kubwa sana.
Ni kosa la kupuuza katiba, sheria, haki na uhai wa taifa ambao kuundwa na uhai wa mtu mmoja mmoja.
Kwa alivyofanyiwa Ali Kibao ni uhalifu ambao lazima wahusika wapatikane ili...
Matukio mengi ya utekaji, na kuuawa kwa vijana wengi; hasa wafuasi wa CHADEMA yamehusishwa na maneno waliyo husishwa nayo yakielekezwa kwa viongozi au chama cha Mapinduzi. Maneno yaliyosemwa au kuandikwa kwenye mitandao.
Tofauti na hao wengine wote, yaliyomtokea Mzee Kibao kidogo yanaonekana...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema;
"Unaposema tusitetee Uhai wa Mtu, Mdude haonekani mpaka sasa hivi, alikuwa anachambua mambo ya Siasa ya Nchi wengine hawafurahi, sasa unaposema tusimtetee wakati sisi Kazi yetu ni kutetea Uhai wa Mtu...
Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa.
Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
Juni 1, 2025, baada ya mkutano wa hadhara Tanga Mjini, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara John Heche, na Katibu Mkuu John Mnyika wametembelea nyumbani kwa Mzee Ali Mohammed Kibao kwa ajili ya kusalimia familia.
Mzee Ali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.