Taarifa ya Ally Kamwe kufungiwa itatoka lini?

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
21,977
Reaction score
50,082
Nashawishika kuuliza hivyo kwakuwa naona Priva ni kama rasmi sasa ameshika mikoba ya usemaji wa Club.

Je amefungiwa? Kama amefungiwa taarifa itatolewa lini?

Au wanasubiri taarifa ya bodi ya ligi kuhusu Derby? Ili wazitoe kwa pamoja ili taarifa moja itumike kufunika taarifa nyingine?

Soma Pia:
Mnao jua kinachomsibu huyu dogo ambaye hivi karivuni kamzawadia mama yake nyumba mtujuze tafadhali
1742838407408.jpeg
 
Soma Pia: Ally Kamwe: Habari za kufungiwa sio za kweli TCRA washughulikie taarifa kama hii

Mnao jua kinachomsibu huyu dogo ambaye hivi karivuni kamzawadia mama yake nyumba mtujuze tafadhali
View attachment 3281926
Labda wanasubiri LIGI ianze!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom