albert ojwang

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania ALBERT OJWANG DEATH...

    Camera ikionyesha mwamba alivyofikishwa kituoni mpaka akafa aisee Rip AO https://www.facebook.com/share/v/19GaXEpL7A/ Ojwang
  2. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kesi ya marehemu Albert Ojwang; Polisi wanatajana mmoja mmoja

    Ee Mungu, uturehemu na utujaalie tuione dunia yenye haki na amani. Dunia imebadilika, watu wengi wamekuwa na mioyo migumu isiyo na huruma. Kwa wanaofuatilia kesi ya Albert Ojwang nchini Kenya, kila kinachoendelea kinaumiza na kuacha maswali mengi. Mungu tusaidie. Leo hali ilikuwa hivi... ---...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Albert Ojwang Murder Trial: CCTV Footage ya Central Police Station Ilifutwa Deliberately, Court yaambiwa

    Nairobi – Kesi ya mauaji ya Albert Omondi Ojwang imeanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu ya Kibera, huku ushahidi wa kwanza ukitoa picha mpya kuhusu kile kilichotokea ndani ya Central Police Station. CCTV technician Aloni Okwako aliiambia mahakama kuwa alipofika kituoni mnamo Juni 9, 2025...
  4. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maelfu ya vijana waandamana wakiwa wamebeba jeneza la Marehemu Albert Ojwang na kisha kuvamia na kuchoma kituo cha Polisi

    Maelfu ya vijana siku ya Alhamisi walivamia na kulichoma kituo cha Polisi cha Mawego kilichopo Rachuonyo Mashariki, Kaunti ya Homa Bay, huku wakibeba jeneza la marehemu mwanablogu Albert Ojwang’ ambaye anatarajiwa kuzikwa kesho (Ijumaa). Mwili wa Albert ulikuwa umepangwa kupelekwa kwa ajili ya...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Inspekta Jenerali Eliud Lagat anatoa maelezo kwa IPOA kuhusu mauaji ya Albert Ojwang

    Naibu Inspekta Jenerali aliyeandamwa na tuhuma, Eliud Lagat, ametoa maelezo kwa Mamlaka Huru ya Kusimamia Utendaji wa Polisi (IPOA) kuhusiana na kifo cha mwalimu Albert Ojwang’. Awali, Lagat aliwasilisha malalamiko dhidi ya Ojwang’, akimtuhumu kwa kusambaza taarifa za uongo. Mwalimu huyo...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifo cha Albert Ojwang: IPOA yamuita Naibu Inspekta Jenerali, Eliud Lagat kutoa maelezo

    Mamlaka Huru ya Uangalizi wa Polisi (IPOA) imemuita Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Eliud Lagat, kuhojiwa kuhusiana na kifo cha mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang, aliyefariki akiwa kizuizini. Soma, Pia: Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boniface Mwangi, Aliye Pigwa Risasi Nairobi CBD, yuko katika Uangalizi KNH

    Boniface Mwangi Kariuki, mfanyabiashara wa umri wa miaka 22, ambaye alipigwa risasi kwa umbali mfupi katika CBD ya Nairobi wakati wa maandamano ya Jumanne, yupo katika utaratibu wa kupona Kenyatta National Hospital baada ya kufanyiwa upasuaji uliofanikiwa, anasema baba yake, Jonah Kariuki...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya Albert Ojwang Wasema Hakuna Mazishi Hadi Haki Itakapopatikana

    Baba wa marehemu Albert Omondi Ojwang’, Meshack Ojwang’, amesema kuwa familia inaendelea kuzingatia kumsafirisha mtoto wao mahali pa mwisho pekee tu baada ya kuthibitishwa kuwa haki imekamilika. Bw. Ojwang’ asema kuwa hakuna maandalizi ya mazishi yaliyopangwa kwa sasa, kwani familia inajitolea...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifo cha Albert Ojwang watatu wakamatwa

    Mamlaka ya Uangalizi wa Polisi Huru (IPOA) nchini Kenya imewakamata raia watatu kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Albert Ojwang’, aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha akiwa mikononi mwa polisi. Watuhumiwa hao; Gin Abwao, Collins Ireri, na Brian Njue walikuwa wakishikiliwa katika Kituo...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albert Ojwang Kenya: Angalia CCTV camera zilivyowaumbua police wakikana kuhusika kuhusika na mauaji yake

    IGP wa Kenya alisema kuwa Ajwang alijipiga kweye kuta za gereza na kujiua. Ona CCTV camera zilivyomuumbua!
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Wafichuka, Albert Ojwang’ Alifikishwa Hospitali Akiwa Tayari Amefariki

    Video ya ulinzi (CCTV) iliyopatikana hivi punde imethibitisha kuwa Albert Ojwang’ alikuwa tayari amefariki wakati alipofikishwa katika Hospitali ya Mbagathi na maafisa wa polisi kutoka Kituo Kikuu cha Polisi, kinyume na kauli za awali zilizotolewa na polisi kwamba mwalimu huyo alikimbizwa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Askari James Mukhwana Akamatwa na kuhusishwa na Kifo cha Albert Ojwang

    Maafisa Polisi wamemkamata Askari anayefahamika James Mukhwana kwa kuhusika na mauaji ya cha mwalimu na mwanablogu, Albert Omondi Ojwang aliyefariki akiwa kizuizini baada ya kushikiliwa kwa kuchapisha taarifa za uongo Kwa mujibu wa ripoti ya Polisi imesema kuwa Askari James wa Kituo cha Polisi...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtaalamu aliyevuruga mfumo wa CCTV kwenye kituo cha polisi alichoshikiliwa Ojwang' kwa malipo ya Ksh 3,000 amekamatwa

    Mtuhumiwa wa pili amekamatwa kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mwalimu mwenye umri wa miaka 31, Albert Ojwang’, hatua inayozidi kuongeza uzito wa uchunguzi wa tukio hilo la kusikitisha. Vyanzo vya karibu na Citizen Digital vimethibitisha kuwa fundi aliyedaiwa kuvuruga mfumo wa CCTV katika...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Bunge la Seneti Kenya lasitisha shughuli zake kujadili kifo cha Albert Ojwang wakati Tanzania Spika aligoma utekaji kujadiliwa kwa hati ya dharura

    Wakuu, Yaani wakati Tanzania, Spika anajitokeza hadharani na kusema kuwa Bungeni sio sehemu ya kuongelea utekaji, huko Kenya mambo ni tofauti sana. Wameamua kusitisha vikao vya bunge kujadili Kifo cha mwananchi mmoja tu. Hapa ndio mjue tuna viongozi wa aina gani nchi hii...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inspekta Mkuu wa Polisi Kenya athibitisha, mwanablogu Albert Ojwang alizuiliwa rasmi katika kituo kikuu cha polisi Nairobi

    Inspekta mkuu wa polisi nchini Kenya, Douglas Kanja amethibitisha kuwa mwanablogu, Albert Ojwang alizuiliwa rasmi katika Kituo Kikuu cha Polisi chini ya OB nambari 136/7/6/2025. Kanja alisema kuwa Ojwang alikamatwa kufuatia malalamishi yaliyowasilishwa na Naibu Inspekta Jenerali Eliud Lagat...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli ya Seneta Cheruiyot Kuhusu Kifo cha Albert Ojwang hatujajulishwa hata ni maafisa gani waliomfuata Ojwang' kule Homa Bay

    Seneta wa Kericho, Aaron Cheruiyot, alisema: "Wakati mmoja wetu (Mbunge wa Kasipul) alipopoteza maisha, tulikuwa tunapewa maelezo ya kila hatua, saa kwa saa, lakini hadi sasa, hatujajulishwa hata ni maafisa gani waliomfuata Albert Ojwang' kule Homa Bay. =============== Kericho Senator Aaron...
  17. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi umebainisha kuwa Ojwang hajajiua kama taarifa ya polisi ilivyoeleza awali bali ameuliwa

    Uchunguzi uliofanywa kwenye maiti ya Albert Ojwang' umebainisha 'kujidhuru' si sababu ya kifo chake ndani ya Kituo cha Polisi Nairobi (Central Police Station). Uchunguzi huo umebaini kuwa Albert alifariki kutokana na majeraha ya kichwa, kubanwa shingo, na majeraha mengi ya tishu laini, ambayo...
  18. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanaandamana muda huu kufuatia mauji ya Albert Ojwang mikononi mwa Polisi. Waimba ''Ruto Must Go, tumechoka''. Hakuna mabomu wala virungu

    https://www.youtube.com/watch?v=YEjvE7ZuX34 Wakenya wamejitokeza kwa wingi mitaani muda huu kuandamana kwa amani wakilaani mauaji ya Albert Ojwang, kijana aliyepoteza maisha mikononi mwa Polisi. Tukio hili limewaacha wengi wakiwa na hasira na huzuni, wakiona kuwa haki inakanyagwa na wale...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wathibitisha kifo cha Albert Ojwang wasema alijigonga Ukutani akiwa selo

    Polisi wamethibitisha kuwa Albert Ojwang alikuwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za uongo na alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kudaiwa kujigonga ukutani akiwa katika selo. Uchunguzi umeanzishwa. Soma Pia: Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kenya: Baada ya Mtuhumiwa Kufariki dunia akiwa selo, IGP achukua hatua kali — Ingekuwa Tanzania, Ungeambiwa 'Alizidiwa Ghafla'

    Kwa Jeshi la Polisi Tanzania ungesikia habari za kufabricate tu, ilimuladi kulinda walioua. Pia soma > Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa ---- Mkuu wa Polisi, Douglas Kanja, ameagiza kusimamishwa...
Back
Top Bottom