albert ojwang

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kenya: Baada ya Mtuhumiwa Kufariki dunia akiwa selo, IGP achukua hatua kali — Ingekuwa Tanzania, Ungeambiwa 'Alizidiwa Ghafla'

    Kwa Jeshi la Polisi Tanzania ungesikia habari za kufabricate tu, ilimuladi kulinda walioua. Pia soma > Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X Linalodaiwa Kumkashifu Kiongozi Mkubwa ---- Mkuu wa Polisi, Douglas Kanja, ameagiza kusimamishwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba wa Albert Ojwang' alilia baada ya mwanawe kupatikana amefariki katika Kituo Kikuu cha Polisi

    Baba wa Albert Ojwang' alilia baada ya mwanawe kupatikana amefariki katika Kituo Kikuu cha Polisi, saa chache tu baada ya kukamatwa na maafisa wa DCI huko Homa Bay na kusafirishwa hadi Nairobi. Soma Pia: Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X...
Back
Top Bottom