akwilina

Akwilina Akwilini (pia anajulikana kama Akwilina Akwilini Bafta) alikuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji Dar es Salaam (NIT). Maelezo mafupi:
  • Alizaliwa: 1 Aprili 1996
  • Alifariki: 16 Februari 2018 (akiwa na umri wa miaka 22)
  • Alitoka kijiji cha Olele, Rombo mkoani Kilimanjaro.
Alipigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya upinzani (Chadema) mjini Dar es Salaam, na kifo chake kilizua mjadala mkubwa nchini Tanzania kuhusu polisi na haki. Familia yake na wengine wengi bado wanaomba haki itendeke hadi leo.
  1. one one chief

    JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Dkt. Akwilina Victor Kayumba?

    Katika mjadala wa maendeleo ya sekta ya afya na usalama kazini nchini Tanzania, jina la Akwilina Victor Kayumba haliwezi kupuuzwa. Ni miongoni mwa wataalamu waliopitia safari ya kitaaluma yenye uzito—kuanzia utafiti wa kisayansi hadi kushika nafasi ya juu ya uongozi serikalini. Dkt. Kayumba ana...
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020 , watu wanataka kujua maendeleo yake ya Afya maana kuna ile karma ya Akwilina je imemrudia?

    Huyu Jamaa anaitwa Mtulia aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni 2015-2020. Mwaka 2017 alijiuzulu ubunge na akahamia Ccm . Wakati wa uchaguzi mdogo chadema walinyimwa viapo kwa mawakala wake. Na ndipo waliandamana na mwisho kikatokea kifo cha Akwilina. Naomba kujua ile dua na karma imeshamfikia...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Meya Jackob akumbuka CCM ilivyowafadhili yeye na viongozi wa CHADEMA, akiwemo Mbowe, iliwahifadhi katika Ofisi zao wakati wa mauaji ya Akwilina

    Ni mwendelezo wa mahaba ya wanachadema kwa uungwana na urahimu wa CCM. Meya Boniphace katika ukurasa wake wa twitter ameonekana "kukunwa" na uungwana wa Wana CCM baada ya kupewa hifadhi wakati wanakimbia kipondo kikali na Cha haja kutoka kwa Polisi. Meya Boniphace Jackob na Mbowe pamoja na...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Naumia, nalia, nasononeka kila nikiliona kaburi la Akwilina Akwilin. Serikali ilipe fidia familia yake; marehemu alipanga kuwajengea wazazi wake

    Nimeona kabla ya kufika tarehe 1/04/2022 niwakumbushe Wana JF ya kuwa hilo hapo ni kaburi la kijana wetu mtoto wetu Akwilina Akwilin aliyefariki kwa kupigwa risasi Na Askari polisi aliye kuwa anazuia maandamano ya Chadema. Polisi alifyatua risasi na kuua mwananfunI ambaye hakuwa hata kwnye...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kibatala: Nani alimuua Akwilina? Iundwe tume

    "Sasa hivi hukumu imewaachia huru akina Mbowe wito wangu kwa wale wote wenye Mamlaka ambao wanalifuatilia suala hili wafanye juhudi waweze kuwaambia wananchi ukweli nini hasa kilitokea kuhusu yule binti (Marehemu Akwilina)" - Wakili Peter Kibatala
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Baada ya kushinda kesi ya Mbowe, nini hatma ya mauaji ya Akwilina?

    "Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje? Kwanini hakutoa barua za mawakala? Athari walizopata warufani. Uhuni huu utaisha lini?" - Mch...
  7. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni sawa kutaka tuanze upya lakini lazima tuwe na pa kuanzia

    Rais Samia mara baada ya kuapishwa alisema, tuanze upya. Sentensi ile ilibeba maana nzito iliyofichika kwa wasiotaka kutafakari. Unaanza upya pale ambapo unaamini ulikosea, na ili uanze upya ni lazima ufahamu ulipokuwa, ulipokosea na namna ulivyokosea, ili unapoanza upya usiingie kwenye makosa...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania What the reasons behind about assassination of little girl Akwilina by police ?

    You can't beg our votes for deals with crimes deu to your own politics interests ,why you sent police to assassinate little girl Akwilina this issue remained as remarkable .
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania’s Elizabeth Maruma Mrema appointed as Executive Secretary of the U.N. Convention on Biological Diversity (CBD)

    JUST IN - United Nations Secretary-General António Guterres has appointed Elizabeth Maruma Mrema of Tanzania as Executive Secretary of the U.N. Convention on Biological Diversity (CBD), which is based in Montreal, Quebec, Canada. ======= United Nations Secretary-General António Guterres...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta wakili ili kuisimamia familia ya Akwilina katika kuishtaki Serikali kwa mauaji

    Viongozi wa Chadema wamesha hukumiwa, Siku hiyo hiyo tulimpoteza Akwilina kwa kupigwa risasi katika mazingira ya kutatanisha. NATAFUTA wakili ili kuisimamia familia ya Akwilina katika kuishtaki Serikali kwa mauaji. PIA SOMA - Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

    WASIFU WA AKWILINA AKWILINI Akwilina Akwilini alizaliwa tarehe 1 April, 1996 katika Kijiji cha Olele-Marangu, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, akiwa ni mtoto wa sita kati ya watoto nane wa familia ya mzee Akwilini Shirima. Akwilina alipata sakramenti mbalimbali katika kanisa Katoliki la...
  12. Geeque

    JamiiForums Tanzania Faini ya Milioni 350 dhidi ya viongozi wa Chadema itumike kuwalipa fidia wazazi wa Akwilina

    Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
Back
Top Bottom