Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia...