akili

Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.

Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).

Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:

  • Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
  • Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
  • Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
  • Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
  1. JamiiForums Tanzania Nimewachukia Generation Z kwasababu hawatumii akili

    Hivi ni kitu gani Mh. Ruto amekosea. Kwanini wanaharibu miundombinu. Mh. Ruto alikubali kuwapatia walichotaka kwanini bado wanataka aondoke. Nimewachukia hawa vijana Mh. Ruto ni kiongozi mzuri sana. Nimeamua kupost hii video nikiwa na machungu sana...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya fursa inayotokana na teknolojia ya Akili Bandia watu wengi wanaichukulia kama tishio kwa ajira zao

    Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima ya teknolojia na kuonesha uwezo wa kugusa nyanja nyingi za maisha ya kisasa. Kwa sasa inaonekana...
  3. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Akili bora, Tanzania bora!

    Khatib ni kijana mwenye umri wa miaka 27 aliyeweza kusoma na kuhitimu katika chuo kimoja jijini dar es salaan na kutunukiwa shahada ya uhandisi. Katika safari ya kuanza ajira yake na hapo aliweza kutumika katika kampuni isiyo ya kiserikali. Baada ya muda kadhaa Khatib alianza kuonyesha dalili...
  4. JamiiForums Tanzania Sasa wewe unataka Teuzi/ Umeteuliwa kisha unajifanya kutumia akili? Utaona sasa.

    Haya maneno yamenifikirisha sana. Aliyekuwa ananiambia ni Katibu Wizara flan. Na ni sababu nimemuuliza mbona jina langu halipelekwi kwenye teuzi mbalimbali nami tayari nina uzoefu nshafiri sana na mama na Elimu inaruhusu. Jamaa hakuuma uma maneno.kanichana live(watoto wa mjini mnasema hivyo)...
  5. JamiiForums Tanzania Waafrka wenye Akili nchini Kenya na wanaojua Haki zao na Wasioogopa wanapambana, ila Miafrika mingine iko busy na Usajili na Adhabu kwa Mbunge

    Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!!
  6. JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato Yesu Kristo ni Alfa na Omega, Mnadai alianza kufanya upelekezi wa matendo yetu miaka ya 1860's, haingii akilini, mnamshushia hadhi yake!

    Moderator naomba mada hii isiunganishwe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Nimekuja tena na hoja kuwa Yesu Kristo ni Alfa na Omega na amekabidhiwa mamlaka yote haitaji kufanya upelekezi kujua dhambi anazozifanya mwanadamu! Ndiyo yeye ndiye mwenye mamlaka makuu na uwezo wake haufananishwi na...
  8. JamiiForums Tanzania Hili ndilo kundi la wanadini wenye uwezo mkubwa kuliko wasioamini dini na wanadini wengine

    Kuna propaganda kubwa zinaendelea duniani na JF za kuwaponda wanaoamini dini, na kuwaona wanaopuuza mambo ya imani kuwa ni majiniasi. Hii ni kweli kwa aina flani ya wanadini na sio sahihi kabiss kwa kundi kubwa la wanadini pia. Dini namaanisha watu wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu na nguvu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kupata tunda ni akili tu

    Nawapa salamu wanaJF, Leo nawapa story flani jinsi nilivopata tunda kwa kutumia akili ndogo tu with zero money cost. Kuna Binti mmoja anaitwa Angel ni binti anafanya kazi katika pharmacy. Huyu Binti nilipofika maeneo haya kitaani niliambiwa kuwa anapenda sana pesa yani yeye pesa mbele kama...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwa rafiki yangu mwenye dada mgonjwa wa akili. Ni mtihani mzito kusema kweli

    Miaka kadhaa nyuma nilipata kuishi kwenye familia ya rafiki yangu mkazi wa Dar es salaam. Rafiki yangu huyo kwa miaka yote toka tumefahamiana alikua amenieleza ana dada yake mkubwa (kwa sasa ana miaka 40+ dada yake) mwenye matatizo ya akili. Sikua nimewahi kumuona mpaka nilipoishi kwa wiki nzima...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi ndogo yenye "akili" kubwa

    Namba hazidanganyi! Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2022, Zanzibar ina ukubwa wa kilomita za mraba 2,460 na watu 1,889,773. Imeuzidi mkoa mmoja tu wa Tanganyika, Dar Es Salaam! Dar Es Salaam ina ukubwa wa kilomita za mraba 1,393. Hata hivyo, inaizidi Zanzibar kwa idadi ya watu. Kwa mwaka 2022...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  13. JamiiForums Tanzania Mahusiano ni maisha: Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako

    Shalom, Mishaa mishangazi na maisha matamu, amua utakavyo mapenzi ni maisha kupanga ni kuchagua Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako. Tuendelee na maisha matamu Wadiz
  14. M

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Warumi ni watu wenye akili sana!

    Warumi! Warumi! Warumi! Ni watu waerevu, wajanja na wenye akili sana. Dunia yote ipo mikononi mwa Roma. Barabara zote duniani zinaelekea Roma. Wana siri nyingi na nzito kweli kweli. Wanapigwa vita na makanisa ya kiprotestanti kupitia kanisa lao Katoliki ila huwakuti kujitetea wala kujibu...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi nyie Uongozi wa Simba SC mna Akili sawa sawa Kweli? Sasa Waziri Junior 'Shentemba' wa nini Simba SC yetu?

    Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa nimemuuza 'Kisela' klabu moja akaanze kucheza Timu yao ya Vijana ila najua kwa Kipaji chake Msimu ujao...
  16. JamiiForums Tanzania Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA asema "Waandishi wengi wa Habari hawajui kusoma tarakimu"

    Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Inj. Andrew Kisaka, amesema asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawajui kusoma tarakimu hasa wakiandikiwa ili wasome, kwani wamezoea maneno isipokuwa tarakimu za laki kwani ndizo wanacheza nazo kila wakati, hivyo hivyo ameiomba Tume Huru ya Taifa ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Je Marekani itabadili mtazamo wake baada ya mazungumzo ya ngazi ya juu kuhusu akili bandia kati ya Marekani na China

    Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze kudhibiti mauzo ya nje kwenye chip za hali ya juu, na kuiondolea uwezo China wa kupata chip za hali ya juu...
  18. JamiiForums Tanzania Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

    Sijue huko kwenu vipi lakini mwenzenu ninayokutana nayo sio mepesi, lakini kwasababu mimi ni mtu makini huwa nafanikiwa kutoka, si Rahis ni mkono wa Mungu tu 😁 Ndani ya kipindi kifupi nimedate na wasichana watatu wa hovyo, unajua kuna vitu huwezi elewa wala kueleza hadi ukutane navyo upate...
  19. JamiiForums Tanzania Zamani ukisikia huyu ni "kiongozi wa UVCCM" unajua hapa akili ipo

    Hadi kufikia mwaka 2010 ukiambiwa huyu ni kiongozi wa Umoja wa Vijana unaanza kumpandisha kuhusu uwezo wake kichwani. Hata kama ni wa ngazi ya Kata ukimuona tu unasema "this boy is bright. Ila siku hizi unakutana na kiongozi wa UVCCM Taiga ambaye uwezo wake kichwani hawezi kutosha kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kukaa kimya ni mbinu wanayoitumia Watu wajinga kuficha udogo na ufinyu wa akili zao

    Mara nyingi sana ,popote pale, Mtu mjinga, ukamkuta amekoswa hata ule uelewa wa kitu kilicho mikononi mwake. Njia pekee anayotumia kutoonekana ni Mjinga Huwa ni kukaa Kimya , wao Huwa wanajificha kwenye Mwamvuli wa "Kukaa kimya pia ni Jibu". Watu wa aina hiii hata Makazin, hawaishi kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…