akili unde

Akili Unde maana yake ya moja kwa moja ni Artificial Intelligence (AI).

Kwa ufupi, ni teknolojia inayoziwezesha kompyuta na mashine kufikiri, kujifunza, na kufanya mambo ambayo kwa kawaida huhitaji akili ya binadamu.

Neno "Unde" linatokana na kitenzi "kuunda" (kutengeneza). Hivyo, maana yake halisi ni "Akili iliyoundwa na mwanadamu" (Constructed Intelligence).
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hatari ya AI Isiyokuwa na Maadili: Wakati Teknolojia Inapogeuka Kuwa Tishio kwa Utu na Imani ya Binadamu

    Athari za Kimaadili na Kiroho (kupanda mbegu za chuki, kupoteza imani, na udhalilishaji wa utu) na Athari za Kiusalama na Kijamii (utengenezaji wa silaha za mtandao, habari za uongo za kuchafulia watu majina, na tishio kwa maisha ya binadamu). * Mtazamo wa Hatari za Kiufundi na Kiuhalifu Mtego...
  2. JamiiForums Tanzania Huduma ya AVA ya Akili Unde (AI) yazinduliwa leo Septemba 29, 2026

    Taasisi ya Jamii Afrika imezindua Huduma ya AVA (Ask Viamo Anything), teknolojia ya akili unde (AI) inayomuwezesha mtumiaji kuuliza maswali na kupata majibu kupitia simu bila kuhitaji intaneti Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Ziada Seukindo, Mkuu wa Programu kutoka Jamii Afrika, amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yaitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) kubuni Mitaala kuendana na AI

    Serikali imeitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kuharakisha maboresho ya mitaala na mafunzo ya uhasibu ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia, hususan matumizi ya akili unde (AI), kwa kuwa baadhi ya kazi zinazofanywa na wahasibu hivi sasa zinaweza kubadilika au...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia AI (Akili Unde) kuleta mada humu JamiiForums ni vizuri msisahau na somo la kufupisha

    Habari za humu jukwaani , niende moja kwa moja kwenye mada Matumizi ya AI (akili mnemba) kwa dunia ya sasa hayawezi kuepukika , na matumizi hayo yapo karibu kila sekta iwe ni biashara,elimu,jeshini, ma engineers ,Doctors ,waandishi wa habari ,content creators hata wengine ambao wanaitumia AI...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mtafiti wa Akili unde kampuni ya Athropic ajiuzulu, adai kuna tishio AI kuua Wanadamu Miongo ijayo

    Kujiuzulu kwa Jacob Coxon Mvutano kuhusu kasi kubwa ya maendeleo ya akili Unde (AI) umefikia hatua nyingine baada ya mtafiti maarufu kujiuzulu kutoka maabara ya AI ya Anthropic, akizishutumu kampuni kubwa za teknolojia kwa “kucheza kamari na maisha ya binadamu” akieleza kuna uwezekano wa zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Balozi Omar aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa Koafec-Korea Kusini kujadili akili unde katika maendeleo ya Bara la Afrika

    Na Benny Mwaipaja, Seoul, Korea Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasili Seoul nchini Korea Kusini, ambako anaongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 8 wa siku nne wa Jukwaa la Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na nchi za Afrika (Korea-Africa Economic...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Dodoma yamsimamisha wakili Kachenje kwa kutumia Akili Unde iliyopotosha kesi alizonukuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, imemsimamisha kufanya kazi ya uwakili kwa kipindi cha miezi sita Wakili Johnson Kachenje, baada ya kubainika kunukuu katika hoja zake hukumu za Mahakama ya Rufani ambazo hazikupatikana katika kumbukumbu rasmi za mahakama na ambazo huenda...
  8. JamiiForums Tanzania Akili Mnemba (AI) yatikisa Ajira: Kazi gani ziko Hatarini?

    Kampuni zinazojihusisha na nyanja ya akili mnemba (AI) hutoa madai mapana kuhusu uwezo wa zana zao kuchukua nafasi ya nguvu kazi ya binadamu. Baadhi ya kazi zitaendeshwa kikamilifu na mifumo ya kiotomatiki, huku nyingine zikibadilishwa na kuboreshwa kwa kutumia akili mnemba. Viongozi wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Akili unde (AI) itasaidia kuongeza ajira au itachukua nafasi ya binadamu?

    Teknolojia ya akili unde (AI) imeendelea kutumika katika maeneo mbalimbali kama elimu, uandishi wa habari, biashara, ubunifu na huduma kwa wateja. wapo wanaoona akili unde inarahisisha kazi na kuongeza ufanisi, huku wengine wakihofia kwamba matumizi yake yanaweza kupunguza baadhi ya nafasi za...
  10. JamiiForums Tanzania UDOM na wadau wajadili ukuaji wa akili unde katika muktadha wa Kiafrika

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela - (NM-AIST), kupitia Maabara ya Akili Unde Afrika - (AfriAI Lab) kwa udhamini wa Taasisi ya Wahandisi wa Umeme na Electroniki Tawi la Tanzania (Institute of Electrical & Electronics Engineers -...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza amteua Kanishka Narayan kuwa Waziri wa kwanza wa Akili Unde (AI). Tanzania tunaweza?

    Kanishka Narayan ameteuliwa kuwa Waziri wa Akili Bandia (AI) katika serikali mpya ya Waziri Mkuu wa Uingereza, Andy Burnham. Katika nafasi hiyo, atahudhuria vikao vya Baraza la Mawaziri (Cabinet). Narayan, ambaye awali alikuwa waziri mdogo anayeshughulikia AI na usalama mtandaoni, amesema hatua...
  12. JamiiForums Tanzania Ni aina ngapi za Akili Unde (AI) zinatumika Tanzania?

    Jaman nahitaj kujua Hadi sasa ni aina ngapi za AI zinazotumika Tanzania
  13. JamiiForums Tanzania Ripoti: Akili Unde (AI) yachochea ongezeko la ukatili mtandaoni dhidi ya Wanawake Duniani

    Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde (AI) umekuwa dharura kubwa ya kimataifa, ambapo kati ya asilimia 16 hadi 58 ya wanawake duniani...
  14. JamiiForums Tanzania Matumizi ya akili unde katika huduma za ultrasound kuboresha afya ya mama na mtoto

    Mwongozo wa matumizi ya teknolojia ya akili unde (Artificial Intelligence – AI) katika huduma za utra sound kwa afya ya mama na mtoto unatarajiwa kuwa suluhisho muhimu katika kuboresha ubora na upatikanaji wa huduma za afya nchini Tanzania. Mwongozo huo unaandaliwa kwa lengo la kuweka viwango...
  15. JamiiForums Tanzania China imezika Shahada 12,200+ zilizopitwa na wakati kupisha AI. Tanzania bado tumelala? Wasomi wetu wamejiandaa au tusubiri vilio vya 'hakuna ajira'?

    Kuna ukweli mmoja mchungu sana kuhusu mfumo wetu wa elimu ya juu hapa nchini ambao kama tusipoujadili sasa, kwa uwazi na bila kupepesa macho, tutakuja kujuta kama taifa baada ya miaka mitano au kumi ijayo. Wakati sisi hapa Tanzania bado tunapambana kuongeza udahili wa wanafunzi kwenye kozi...
  16. JamiiForums Tanzania AI imekuwa tishio kwao wakati wameunda wenyewe

    Teknolojia AI kwa sasa inataka kuwazidi waliounda. Kuna sera na sheria zitapitishwa kuzibiti kikomo cha uwezo ili kusaidia makampuni ya software na n.k kufanya biashara. AI zenye uwezo mkubwa na kusaidia AI ndogo zote zinatoka USA. Kuna mpango wa kuzibiti AI kuwa na nguvu ndani USA tu sio nje...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Kuna picha za akili unde na za matukio ya zamani zimeunganishwa na matukio ya Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media Salim Kikeke: Tukirejea kwenye tume, ripoti ya Jaji Chande, kuna picha za akili unde ambazo zilizitazamwa. Na kuna madai kwamba pengine kuna picha zinasingiziwa akili...
  18. JamiiForums Tanzania Mafunzo ya AI na DATA analytics Monitoring and evaluation in local government

  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, picha ya cheti cha UDSM kikidaiwa kufungiwa maandazi ni halisi?

  20. JamiiForums Tanzania UDOM yaongoza juhudi za Kitaifa kuimarisha huduma za Afya kupitia POCUS na Akili unde (AI)

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya nchini, kimeratibu kikao maalum cha kitaifa kilichowakutanisha wataalamu wa radiolojia na tiba ya mionzi kwa lengo la kuimarisha huduma za uchunguzi wa magonjwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Kikao hicho kilifanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…