Ni aina ngapi za Akili Unde (AI) zinatumika Tanzania?

Ni aina ngapi za Akili Unde (AI) zinatumika Tanzania?

Kuna akili ngapi za akili unde (AI)?.
Tupe elimu na lete kirefu cha LLM
Kirefu cha LLM ni Large Language Model hizi kupredict words au tuseme ni text based ambazo unachat nazo

AI ni learning software then inapredict
Kwaiyo kama Model ineundwa iwe kwa ajili ya maandishi tu itapredict text, kama picha itapredict pixels

Naenda church nanyi mwende.
 
Back
Top Bottom